Hii imekaeje?

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
new-mcdonalds-burger.jpg
New Burgers.jpg

Walio tumia hii new burger ya McDonald's tuambieni ina ladha gani?
 
Mna matatizo aisee

MadameX siyo matatizo, ni maumbile na asili yetu, ni kazi kubishana na hili. Japo siyo kweli kwamba wakati wote tunakuwa na mawazo hayo, ila na nyie mnachangia katika hali hii kwa kiasi kikubwa. Mavazi yenu yanachangia kweli.
 
Wanawake hawajui tu,wakitembea "wanavuliwa" nguo kweli kwa hisia.Huo ndo ukweli,mleta uzi wala hujakose, hiyo ni sehemu ya mawazo ya wanaume.
 
Back
Top Bottom