Waislamu waanza kurudi tena kwa wingi kula McDonald's na KFC

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,764
Siku za mwanzo wa vita kati ya wateule na wapalestina. Waislamu wote duniani walionywa wasitumiena kususia bidhaa zozote za wateule wayahudi.

Wakasusa kwenda McDonald's na KFC. Pia kunywa Pepsi na Coca-cola. Ila wengi wao walikuwa wanakula na kunywa kwa kujificha. Delivery nyingi za McDonald's walikuwa wanaagiza majumbani mwao. Nakushindilua faraghani.

Sasa hivi uvumilivu umewashinda wamesalimu amri. Kama kawa wanafurika McDonald's, KFC, sturback etc kwa makundi bila uwoga na kubughia baraka za wateule.

Hata yale maandamano ya free Palestine from the river to the yamefifia hayapo tena wakisingizia baridi pupwe linapuliza nakutamani hii vita ingekuwepo wakati wa summer.

Ukimlaani Israel utalaaniwa. Ukimbariki utabarikiwa-

Mungu wa kweli mweyewe.

God bless Israel.

Israel Forever.

Israel the land Jews the People.

adriz Ritz incharge ITR green rajab Malaria 2 Adiosamigo FaizaFoxy
 
We umewaona wapi wanakula? Si kila mwenye jina la kislamu ni muislam, mimi toka vita vimeanza sina shida na Pepsi au coca cola kwanza ni maradhi tu, pili sina shida na KFC au McDonald's haviwezi nisaidia chochote kwanza ukila hicho chakula unakuwa kama jinga kitandani bora tupige chakula cha kislamu Wali na mchuzi wa supu afu pembeni unasukumia na nyama ya mishkaki.

We kale KFC na McDonald's si ndio sababu wanawake wakikristo wanawalilia vijana wa kislamu.

View: https://youtube.com/shorts/BII9SkrZToQ?si=IDWy_5UDUjEZOf8_

Hichi ndio chakula chetu wanaume, KFC na McDonald's kuleni nyie
 
Siku za mwanzo wa vita kati ya wateule na wapalestina. Waislamu wote duniani walionywa wasitumiena kususia bidhaa zozote za wateule wayahudi.

Wakasusa kwenda McDonald's na KFC. Pia kunywa Pepsi na Coca-cola. Ila wengi wao walikuwa wanakula na kunywa kwa kujificha. Delivery nyingi za McDonald's walikuwa wanaagiza majumbani mwao. Nakushindilua faraghani.

Sasa hivi uvumilivu umewashinda wamesalimu amri. Kama kawa wanafurika McDonald's, KFC, sturback etc kwa makundi bila uwoga na kubughia baraka za wateule.

Hata yale maandamano ya free Palestine from the river to the yamefifia hayapo tena wakisingizia baridi pupwe linapuliza nakutamani hii vita ingekuwepo wakati wa summer.

Ukimlaani Israel utalaaniwa. Ukimbariki utabarikiwa-

Mungu wa kweli mweyewe.

God bless Israel.

Israel Forever.

Israel the land Jews the People.

adriz Ritz incharge ITR green rajab Malaria 2 Adiosamigo FaizaFoxy
😂😂😂 sasa wewe Muisrael mweusi wa bonyokwa utajua dunia inavyoenda soma hii wewe na wenzako…

Starbucks loses USD11 billion due to poor sales, boycotts

Starbucks stocks declined for 12 consecutive stock market sessions, the longest-ever recorded streak since the company went public in 1992, and the stock currently hovers at around USD95.80 per share, down from its yearly high of USD115
The recent boycott of Starbucks comes in part of a large boycott of several global brands over their support of Israel. Starbucks in Egypt reportedly laid off workers in late November after being financially affected by the boycott - forcing it to cut expenses.
 
Back
Top Bottom