MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 404
- 258
Wakuu hiyo ndio ya mwisho au...maana mdogo wangu peupe lots hii tena.
Sorry, naipata wapi hiyo olas?
Maana nafungua kwangu hairespond kabisa, na mtandao uko vizuri??
S.1361.0316.2009 Msaada Please
inakatisha tamaa sana had unajihisi ulivamia nchi we sio mtanzania jaman mala tatu zote wananinyima mkopo kwel hii sio hak hata kidigo na hawana la kusema mbele za mungu zaid ya hukumu
The student with Index number 'S1163.0243.2011' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the Lots 1, 2 & 3 (New) of allocations.wakuu msaada s1163.0243.2011
Iyo hapo
Asante mungu kidogo changu hatimae nae kapata....pongezi kwa ukawa kwa kutia presha serikali sasa imeanza kujielewa
S0125.0167.2007 Msaada pliz
Ee Mungu Baba nkasema ahsante.
Wakuu nmepata mkopo kupiga tia-Mbeya campus. Nkwel tia-Mbeya campus nmechaguliwa pa. Lakni kwenye profile yangu ya Nacte inaonyesha nmechaguliwa tia -dsm campus nanikweli hata kwnye website ya tia -dsm Jan langu Lipo.
NOTE :Wote TIA dsm campus na TIA Mbeya campus kwenye website zao wamethibtisha kunchahua. Ispokua kwnye profile ya Nacte inaonyesha nmechaguliwa Tia dsm campus. Sasa issue inakuja mkopo umeenda tia Mbeya campus. Ushaur wako mwanaJF plz, ninachohofia nkwawatu wa Nacte kunipeleka TIA dsm camup afu niende TIA Mbeya campus. Hapa ctapata majanga wakuu?
wewe jinga kweli ukawa eamefanyaje ivi kuna watu wengine akili zenu zinsmaji 100%
S0823.0224.2008
Institution:TIAMBEYA
Course:BPLM
Year of Study:1
Loan Breakdown
Meals and Accommodation (MA)2,099,500
Books And Stationary (BS)200,000
Field Practical and Trainings (FPT)0
Tuition Fee95,000
Research0
Special Faculty Requirements (SFR)0
TOTAL AMOUNT2,394,500
-->
Ee Mungu Baba nkasema ahsante.
Wakuu nmepata mkopo kupiga tia-Mbeya campus. Nkwel tia-Mbeya campus nmechaguliwa pa. Lakni kwenye profile yangu ya Nacte inaonyesha nmechaguliwa tia -dsm campus nanikweli hata kwnye website ya tia -dsm Jan langu Lipo.
NOTE :Wote TIA dsm campus na TIA Mbeya campus kwenye website zao wamethibtisha kunchahua. Ispokua kwnye profile ya Nacte inaonyesha nmechaguliwa Tia dsm campus. Sasa issue inakuja mkopo umeenda tia Mbeya campus. Ushaur wako mwanaJF plz, ninachohofia nkwawatu wa Nacte kunipeleka TIA dsm camup afu niende TIA Mbeya campus. Hapa ctapata majanga wakuu?
Mkuu naomba msaada s0364/003/1989,