HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

jana nimepost nikihoji lot 3 itatoka lini imetoka baada ya kuangalia still.............the student with index number 's0204.0045.2011' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the lots 1, 2 & 3 (new) of allocations.nimeishiwa nguvu,nimekata tamaa naomba sasa wahusika wa bodi wajitokeze hadharani na waruhusu maswali ya moja kwa moja.chuo kimefunguliwa tangu trh 9 nov 2015 na wenzangu wamekwisha anza masomo.


inakatisha tamaa sana had unajihisi ulivamia nchi we sio mtanzania jaman mala tatu zote wananinyima mkopo kwel hii sio hak hata kidigo na hawana la kusema mbele za mungu zaid ya hukumu
 
S0823.0224.2008
Institution:TIAMBEYA
Course:BPLM
Year of Study:1
Loan Breakdown

Meals and Accommodation (MA)2,099,500
Books And Stationary (BS)200,000
Field Practical and Trainings (FPT)0
Tuition Fee95,000
Research0
Special Faculty Requirements (SFR)0
TOTAL AMOUNT2,394,500
-->
 

Attachments

  • 1447349091095.jpg
    1447349091095.jpg
    40.2 KB · Views: 303
wakuu nipo kijijini na cim yangu haina uwezo nisaidieni tafadhali
S1206/0118/2012
 
Kuna walopangiwa Geomatics na wamepata mkopo maana mi naona wamenisusa mwanzo mwisho na sidhani kama watatoa lot nyingine tena
 
wakuu nipo kijijini na cim yangu haina uwezo nisaidieni tafadhali
S1206/0118/2012
The student with Index number 'S1206.0118.2012' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the Lots 1, 2 & 3 (New) of allocations.
 
Back
Top Bottom