Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

11.jpg

Mbunge wangu wa Ubungo akiwa amepozi na maharusi

n.jpg

Mpiganaji Lema

DSC_5707.jpg

Kama kawa ulikuwa mwendo wa kombati jeusi

5.jpg

Mwenzangu pokea pete hii.

Kwa hisani ya Mithupu.

Nianze kwa SAMAHANI KUBWA! Mbona Bibi Harusi anaonekana kama Mzee tayari na Bwanaharusi bado Mbichi???
 
Kwa wanaojua, hii ndo imefungiwa wapi? Kanisani au Bomani kwa DC? na il;e ndoa yake ya kwanza na DJ Nelly wa clouds ilifungiwa wapi? Kanisani au kwa DC?
 
Kanisani.

nelly.jpg

Thanks, so how comes mkataba wa kanisani unaodai ni mke mmoja na mume mmoja hadi kifo sasa umevunjwa na kuruhusiwa kufungwa kwa ndoa nyingine?? Au hii ndoa haina cheti kama ile ya kanisani? I get confused here
 
Uporoto let me tell u this, kuzaa its not a deal, kuachika inategemea kaachika katika mazingira yapi, cha msingi ni kuwaombea wawe na maisha mazuri yenye fanaka na waendelee na mapambano yao katika kulisaidia taifa, wote wapambanaji! God bless them!
 
Amen....watu wana chuki/wivu balaa.
 
Wakuu mnijuze, inawezekana mimi mshamba, mfano wa kuigwa ni upi hapo?
-Kuvaa kombati za blue/nyeusi kwenye harusi
-Kuvaa gauni la harusi/kufunga ndoa mara mbili kwa kipindi kisichopungua miaka miwili
-Kuomba talaka kwa nguvu zote kwa lengo la kufunga ndoa na mtu mwingine baada ya kuona kuna future zaidi
-Mbowe, Mnyika, Godbless Lema kuhudhuria sherehe ya harusi ya dada aliyeomba talaka ya nguvu kwa mumewe wa ndoa baada ya kuona amechoka kiuchumi
Nami niungane na mwenzangu aliyeomba radhi hapo juu, Bwana Harusi anaonekana kinda zaidi kuliko Bi Harusi. Sasa sijui Bi Harusi ni effect ya mikorogo! Maana Bi Harusi rangi yake ya asili ni mweusi
 
non of our biznec...nice couple!
 
umeandikia hii habari kijiwe gani mbona picha hakuna au ulikuwa kwenye daladala ukaskia watu wanapiga stori ukaamua
kuifanya uzui hapa vipi bana na hili ni jukwaa la picha si udaku
?????????????????????????????????????????????????????
umeniharibia siku kabisa

Yule katibu wa mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam na mwanadada joyce kiria mtangazaji wa EATV siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake bwa godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo, wengi wawashiriki walipongezasherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hawo.
 
umeandikia hii habari kijiwe gani mbona picha hakuna au ulikuwa kwenye daladala ukaskia watu wanapiga stori ukaamua
kuifanya uzui hapa vipi bana na hili ni jukwaa la picha si udaku
?????????????????????????????????????????????????????
umeniharibia siku kabisa

watu wanaosoma vipic vipic utawajua tu......
 
Back
Top Bottom