HELP!!!!! I think am sick. And it is not about SEX!!

Ndahani my kirusha roho, ulikuwa wapi? nahis kupona mimi. teh teh teh.

mwenzio naumwa na kuomba ushauri unaita vituko? is it fea?

Pole sana, kumbe na wewe moyo wako umemdondoshea mtu! Anyway, kila mtu ananasa kwa mtu mwingine kivyake vyake. Ila Kwa mwanamke wa shoka kama wewe, si umetokeee ana kwa ana, ukalishe chemba na kupima mwelekeo ukoje kabla ya kumwaga sera. Usianze kumwaga sera hata kujua unayeongea naye anafikiria nini ndani ya kichwa chake
 
Pambana naye mpaka kieleweke ili aache kukubughudhi kwa namna yoyote ile....kama unahitaji majeshi ya kukodiwa LOL! nifahamishe nitakupa jeshi la JF likusaidie :):)

nahitaji majeshi BAK. :israel:
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana, kumbe na wewe moyo wako umemdondoshea mtu! Anyway, kila mtu ananasa kwa mtu mwingine kivyake vyake. Ila Kwa mwanamke wa shoka kama wewe, si umetokeee ana kwa ana, ukalishe chemba na kupima mwelekeo ukoje kabla ya kumwaga sera. Usianze kumwaga sera hata kujua unayeongea naye anafikiria nini ndani ya kichwa chake

ugumu ndio unakuja hapo Ndahani, wengi wanasema niongee nae.

nitaongea nae vipi hali simpendi na kumchukia na ananisababishia kupoteza taratibu zangu

za shughuli za kimawazo na hifadhi ya rohoni? kirusha roho can u tel me unafikiria nini ndani ya kichwa chako?
 
Last edited by a moderator:
Kama mmoja wa members wa MMU, if you do not show up yourself I wonder where would you be hiding! But dont you think am a stranger to you?

It does not matter kama wewe ni stranger, kama unakumbuka I sleep with strangers.

mimi na fazaa or gfsonwin nani unamkumbuka zaidi akipotea mmu? ingawa me likey kuwa unanimisigi.
 
Last edited by a moderator:
ugumu ndio unakuja hapo Ndahani, wengi wanasema niongee nae.

nitaongea nae vipi hali simpendi na kumchukia na ananisababishia kupoteza taratibu zangu

za shughuli za kimawazo na hifadhi ya rohoni? kirusha roho can u tel me unafikiria nini ndani ya kichwa chako?

Family, Duty and Honor...those are the things that are in my mind. Halafu nataka kuserebuka ila hela imeondka na awamu ya tatu.Awamu ya nne ni inflations
 
It does not matter kama wewe ni stranger, kama unakumbuka I sleep with strangers.

mimi na fazaa or gfsonwin nani unamkumbuka zaidi akipotea mmu? ingawa me likey kuwa unanimisigi.
How do you do it....sleeping with a stranger! How???? Explain....as a human being I like those that I come across in many different ways....but not in dreams
 
Family, Duty and Honor...those are the things that are in my mind. Halafu nataka kuserebuka ila hela imeondka na awamu ya tatu.Awamu ya nne ni inflations

nikimuuliza hilo swali ulilosema nimuulize akanijibu kama ulivo jibu, namwambia nini?
 
How do you do it....sleeping with a stranger! How???? Explain....as a human being I like those that I come across in many different ways....but not in dreams

can we controll our dreams? the stranger had over powered my senses,

what was i to do, me jst a weak gal in those strong arms of his?
 
Majeshi ya JF yanahitaji kujua adui ni nani na yuko mpaka upi ili majeshi yamwagwe huko haraka sana ili kuanza mashambulizi :):)

kweli nina mtihani!! ngoja Kaunga arudi walikoenda

na Kaizer ili aje amtaje, so far katoa tu hint.
 
Last edited by a moderator:
can we controll our dreams? the stranger had over powered my senses,

what was i to do, me jst a weak gal in those strong arms of his?

But it looks like it was not your weakness a problem....you enjoyed a company of the stranger...and you seem to like enjoying the strangers.
Mikono ina nguvu, mhhhh! Uliionaje ukiwa usingizini? Au mlianza naye gym kwanza
 
Nani sasa unayemuulizia? Unaongea kwa lugha za picha picha kama sio mafumb mafumbo....mi dont understand you

huelewi hutaki kuelewa? nasema nikimuuliza anafikiria nini akanijibu

kama wewe, nin kinafuata? nimwambie nin? wewe si ndio uko kunipa ushauri?

au umesahua umenijibu vipi?
 
Back
Top Bottom