Mwanamke Umejitunza Sanaa, Sawa but Where Is Your Happy Ending? Part 3. Yamkuta Mazito.

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,116
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hili swali linazidi kunimaliza na kuniletea utata day and night. Sio kwamba na justfy why i didnt try harder to be a better person not that i was a terrible person or i am regreting not being eviler than i had been hoping for some compensation of the little good i have done and i have received none yet. No! Not at all! Najaribu tu kuilewa hii PARADOX ya mwanamke kujitunza, future na happy ending. Hainipi logical relationship. Correlation zote zimekataa, multiple linera regression imegomaa, CHI Square imegomaa, T test ndo kabisaaa, ANOVA na MANOVA zote zimegomaaa hataqualitative analysis pia imenigomea kabisaa na kuniacha njia panda. Unaweza jiuliza WHY today of all days nimeliongelea hili? Well i will tell you why!

Maybe you think I am different, or i am really different, well I was neverborn different. Life made me different. Back in the days i am talking about late 1990s tulikuwa wadogo sanaa, probably primary we were 4 girls, four young clueless girls. Happy and full of life. Cousins, sisters and best friends for life.:biggrin1:.We were young committed and there is nothing we couldn’t do, absolutely nothing. Sasa bwana katika familia kunakuwa na wale wadada wakubwa. Ikatokea tu dada yetu mmoja akawa yuko nje, ikawa anasumbuliwa na mzee, umri sawa na bamkubwa na maana dingi mdogo kwake. Hio ilikuwa Copenhagen, Denmark 1998. Basi akamwambia maza, wakawa wanaomba na kufunga na nini si unajua waroma sisi ili huyo babu amuachie sis. Umeonaaaa. Sasa sis alivoudi ndo nikakaa nae hapo i was like STD 4, nikamuuliza issue nzima unfiltered version. Akaniambia wewe mtoto hata matiti huna unataka issue za wakubwa.:biggrin1:.Akasema Copenhagen kulikuwa na party ya wabongo, akaenda ilikuwa after kama 1 year hivi toka afike, na anavodai alienda virgin na akawa hataki kupaparika kajituliza tulii. Sasahilo jibaba limutu la Malawi likauliza hivi bongo huko jiranizangu siwezi kupata mtoto alietuliaa, mtoto mlitooo anajihehimu nioe maana umri umesongaa. Akaambiwa bwana hapa kuna binti wa Kichaga anaitwa Lara 2, katuliaaa, mzuriii, na kila mwanaume anamtaka ila mgumu kinomaa. Ndo kuja kwenye party kumuona huyo Lara 2 afu she stole his heart. Akaamua kutumia gharama yoyote kumpata.

She wasnt my sister for nothing nae anapenda mambo makubwa kishenziiii. Yaani mi kwake siingii, sahivi mmama ila hajabadilika. Yule baba akaingia na gia namba 5, apartment, fully furnished, mavacation all over Europe and Asia, yaani babu alikuwa mjedaa afu Diplomatic wa Malawi hukooo, afu mkubwa kivyeo maana si mnajua umri unakuja na baraka zake. Na maombi yote kaingia kingi mzima mzima. Kuna mtu akaja kusema home bwana flani hakai chuo, anaishi uzunguni kwenye very expensive appartments, ana drive very expensive car, kuliko watoto wa mawaziri huko Denmark, mmmh! Kuulizwa karuka futi mia 5. Mana akajitia namuamini mwanangu kuliko mtu baki, i raised her better than that. Mmmmh! Hakurudi tena home mpaka 2003 maana aliover stay pia. Akarudi na mtoto wa babu! Khaaaa! Wa yule baba. Basi sababu alirudi na ndinga benz la hatari, furniture za hatari kila kitu ndani, acha mshiko mrefu akanza kujenga nini, watu hawakuuliza kitu. In no time akapata kazi UN, ikawa she got away with it. Not even once sikumsikia maza akisema alichofanya si kizuri, zaidi tu ya kutania yule mjukuu wake baba yake kama babu yake. Hahahaaa! Na huyu akaja akaolewa na mtu mwingine mbongo nae anae anapesa ndefu tu, na anaishi kwa raha kishenzi manake yule babu bado anamtumia hela ndefu tu kila mwaka ya mtoto, na mumewe anamlea, bado zake i can conclude she got her happy ending.

By 2003 wale 4 musketeers tulikuwa form 3, wengine form 4. Nido zimechomoka sasa, ready and ripe to take over the city. Mmoja hapa kati yetu akaokoka, na mamake pia ni mlokole. Wengine tukawa tunangaa sharubu sasa kulivamia jiji. Mi nimesoma mjini kati kati hapo, wawili wakasoma kwa masista huko mkoani, binti mlokole akawa anasoma Jangwani. Likizo tunaulizana, tayari badoo? Utasikia tayari, bado, bado bado. Mpaka ikafikia tayari, tayari, tayari bado binti mlokole peke yake. Hapo form 4. Dada kubwa akawa yupo likizo ya form 4, weee, alikuwa ana danga hilo lipo tours, tunakula kuku jumatatu hadi jumatatu. Wine hazikauki. Bi mkubwa akirudi mbona hampashi viporo nyie mabinti. Mnakula nini? Tupo kwenye diet. Hahahaaa! Sipendi tabia za ajabu ajabu. Tushashiba kuku saa nyingi. Akawa na simu kaliii, anavaa harudii nguo, sasa kutokana na economic power akawa ndo mzuri kuliko wote. Basi anatuambia nyie wakubwa bwana mi nimewazidi mwaka mmoja tu, banieni vitaliwa na nyenyere huko chini ya mchanga! Hahahahaaaaaaaaaaa! Mi kuwaza na kuwazua nikamwambia kichaa wangu mmoja bwana eee i am joinig th industry. Akawa anaista sita, alivoona sahivi mimi na dada kubwa mabeste tunarui na tooth pic tu mdomoni nae akajiongezeza hivi flani anafaaa! Hahahaaa! Bi mkubwa anajua anakaa na watoto kumbe anakaa na wakubwa wenzie. Jamani sina hela wanangu, chukua hizi nitakutumia zingne, unasikia usijali zitatosha anaona kale kweli kumbe angejua ni balaaa.

Ikaja tukiwa A level dada kubwa alishusha engine akaugua almanusra kufa, bi mkubwa was devastated ila alikuwa tu understanding, akawa anatuhusia msiwe kama mwenzenu, angejua it was too late. Akafukuzwa shule, ikabidi aseme ada yote in millions, hard earned millions, katafuta shule ingine ya millions afu akafeli form 6, ikawa yule muke ya babu akamtafutia kazi UN ya kujishikiza tu, tempo, bi mkubwa akasema No way nitamlipia tu hio ada asome chuo, maisha ya sahivi sio ya mtu kutoenda chuo. Ikawa bahati tu akapat scholarship so akaenda chuo bila bi mkubwa kutoa ada, maana baada ya soo mdingi ashasema sitoi hata sh 10 yangu, nilizopoteza zimetosha. Akawa ana reconsider kuwatoa wasichana wote private maana ni anajitia shoti tu. Mmmmh! Mi nishafukuzwaga kwa masista longi kiburi, jeuri na majibu nikawa niko zangu government kitambo nishasema sitaki private, walivotolewa wale nikawa nacheka tu, wakabakia wavulana tu. Basi binti mlokole akarudi Jangwani tenaa, tukawa close, mabestee. Akampataga rafiki yangu anafanya casino sahivi wakaenda enda wakaachana tulivokuwa chuo.

Basi chuo binti mlokole ndo akapata ki bf, ikawa tayari sasa na yeye, dada kubwa alivomaliza tu akaa mwaka akiwa 22 akaleta mchumba akaolewa kanisani. Sahivi ni mama bora ana watoto 3, mumwe mtu safi, ana uwezo fresh na anampenda sanaa dada kubwa. Naweza kusema she got her happy ending too. Mimi bado nabewak bweka mjini tu hapa sijajua bado nitoke vipi. Bado nausoma mchezoooo. Yule kichaa wangu mie alienda Malasia, akarudi akaenda tena London ndo yupo mpaka sahivi, we still close, nae bado hajafanya maamuzi yoyote, ananiskilizia miea mjanja wake bado. Inshort wote tunategemea dada kubwa bado. Huku kutanga tanga we deserve every prt of it, tunamuomba Mungu atusamehe na kutufanyia wepesi malipizi yetu.

Sasa binti mlokole maskini, yule bwana akampa mimba, akatufichaaa, akazaa kwa tabu huko kwa wakwe sasa, kukawa na complications za labor mtoto ubongo ukachezaa. Aiseeeeeee! Kuja kutuambia too late. Too late mtoto ana miezi 9 hakai. Ndo kumnyofoa kule kwa wakwe na mtoto, maana alikuwa anaogopa kurudi home, maza akamkokota Dingi wamfate ili kidogo apate confidence ya kurudi home, Dingi alivomuona alivokondaaa, kachakaa ukauzu wote ukamuisha ndo kumrudisha nyumbani na kukubali kulipia chuo tena. Mtoto kuzunguka kila mahali wanasema ashacheleweshwa, hata kumpeleka India haifai, afanyiwe tu mazoezi maybe atakuja kuwa retarded lakini anaenda chooni mwenyew, anajihudmia lakini shule sio rahisi. Aiseeeeeeeeee! Mtoto mzuriii, bongee huyo, ana afya yake. Nikimuangaliaga naliaga machozi weeee! Mamake mwenye mdogo, bwana kaingia mitini, hatoi hata kumi ya malezi wala ada ya mama mtu. Wanaume hawa waone tu barabarani. Mama mtu is only 26 afu ana mtoto wa hivo anehitaji attention all her life. Ukiwa na mtoto mzima buheri wa afya kazi kupata mume, je mtoto mwenye matatizo? Mmmmh! Bi mkubwa ndo hivo kajitahidi kumfunga tumbo na nini shepu isiaribike, anamnyima misosi asiongezeke na kumrudisha chuo na nini, na kumpimp kwa wakaka mradi tu apate mume haraka iwezekanavyo amsaidie mzigo ule bado mambo magumu. Anakwambia sikati tamaa, nitapambana mpaka mwisho. Yaani SHE WAS A VERY VERY VERY GOOD GIRL KWA KWELI. Mpaka najiulizaga WHY GOD? WHY? Sawa shit happens to good people every day na nini lakini sio namna hio. Leo kuna mu kajifungua mtoto wa kike, bi mkubwa akajisemea namhurumia mtoto na mama yake, kulea mabinti sio kazi rahisi.

Ndo nikakumbuka zile 2 hardest test in life.

1. THE PATIENCE TO WAIT FOR THE RIGHT MOMENT

2. AND THE COURAGE TO ACCEPT THAT YOU HAVE WAITED FOR NOTHING!!!!!!!!!! (Hili ndo linaninyima usingizi)

ha ha ha ha sis right moment wait for it :lol:............ once u decide i will be in your back watching the movement of the game... wanaume si ndugu zetu ni ndugu wa mbunye over
 
Da Lara 1 Hii part 3 inamaana alikuja kujua mme akiwa chuo makubwa kwenye utandawazi huu.. Ndiyo Maana Juzi nikutana Na Mtu aliye okoka , akawa anasema hivi, wao kila siku wanasimama kwenye majukwaa kanisani mchungaji anakeme pepo la ngono, pepo la kuolewa bila ndoa, Lakina akaniambia baada ya miezi mitatu utasikia mdada flani kajazwa mimba, akaniambia makanisa mengine kama Luther,Roman na NK hawana upuuzi huu, mimi naona mtu kujilinda si mpaka kuokoka
 
Yule sio kwamba aliokokaa, alizaliwa familia ya wokovu, wazazi wake wote wameokoka. Alivokuja kwetu kuishi maza akamuacha tu aendelee na wokovu wake. So it is something anachoamini all her life. I can say wokovu umemsaidia sababu SHE IS STILL VERY STRONG KATIKA MAJARIBU HAYA MAZITO! Sisi wa mataifa tunakumbwa na majinamizi tukilala usiku juu ya hili swala la huyu mtoto manake mama mtu is somebody we have known all our life, lakini yeye muhusika is very calm ANAAMINI MUNGU WA ELIA ATAMSHINDIA YOTE. Kuna majaribu kama huna Mungu una sandaaaa!
 
Nadhani kila mmoja ana mabaya yake si mwanamke wala si mwanaume ispokua kwa wakati mwingine mwanamke amezidi ubaya. Pia tatizo kubwa lipo kwenye malezi,mtoto wakike hatakiwi apate uhuru hata tone mpaka aolewe na akiolewa mwendo huohuo,wazazi wameluzi sana kwenye hilo, pia hawa watoto wa kike wanapenda mno vya bure tena visivyo vya maana,sijui sim nzuri,nguo nzuri,sijui magari,mara vyakula vizuri na matokeo yake ndio kama hayo
 
Yule sio kwamba aliokokaa, alizaliwa familia ya wokovu, wazazi wake wote wameokoka. Alivokuja kwetu kuishi maza akamuacha tu aendelee na wokovu wake. So it is something anachoamini all her life. I can say wokovu umemsaidia sababu SHE IS STILL VERY STRONG KATIKA MAJARIBU HAYA MAZITO! Sisi wa mataifa tunakumbwa na majinamizi tukilala usiku juu ya hili swala la huyu mtoto manake mama mtu is somebody we have known all our life, lakini yeye muhusika is very calm ANAAMINI MUNGU WA ELIA ATAMSHINDIA YOTE. Kuna majaribu kama huna Mungu una sandaaaa!

*****
lara1 ni shigdaaah...
cha ajabu kiila kitu unakijua,
yan ww inabid upate mwanaume smart n clever pia anaemove na sekunde ndo mtaelewana vizuri.
ila ukipata hawa wa kawaida hutaenjoy love/marriage maana utahisi una miss kitu fulani kwenye maisha ......
nimekusoma lara1.
mungu akujalie kwa lifestyle yako na kipaji chako.
 
Katika yote yeye alie juu hufanya kwa kusudi Maalum, ktk vitabu vya mapokeo kuna sehemu inasema "usifurahie kufanikiwa kwa waovu nawe ukatamani kujiunga nao kwani kuanguka kwao ni kwa ghafla" Nampa pole shosti Lakini huo sio mwisho wa maisha azidi kukomaa.
 
lala bwana iyo namba mbili mbaya sana kwi kwi kwi kwi kwi kwi unaweza kujiua ujue
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hili swali linazidi kunimaliza na kuniletea utata day and night. Sio kwamba na justfy why i didnt try harder to be a better person not that i was a terrible person or i am regreting not being eviler than i had been hoping for some compensation of the little good i have done and i have received none yet. No! Not at all! Najaribu tu kuilewa hii PARADOX ya mwanamke kujitunza, future na happy ending. Hainipi logical relationship. Correlation zote zimekataa, multiple linera regression imegomaa, CHI Square imegomaa, T test ndo kabisaaa, ANOVA na MANOVA zote zimegomaaa hataqualitative analysis pia imenigomea kabisaa na kuniacha njia panda. Unaweza jiuliza WHY today of all days nimeliongelea hili? Well i will tell you why!

Maybe you think I am different, or i am really different, well I was neverborn different. Life made me different. Back in the days i am talking about late 1990s tulikuwa wadogo sanaa, probably primary we were 4 girls, four young clueless girls. Happy and full of life. Cousins, sisters and best friends for life.:biggrin1:.We were young committed and there is nothing we couldn't do, absolutely nothing. Sasa bwana katika familia kunakuwa na wale wadada wakubwa. Ikatokea tu dada yetu mmoja akawa yuko nje, ikawa anasumbuliwa na mzee, umri sawa na bamkubwa na maana dingi mdogo kwake. Hio ilikuwa Copenhagen, Denmark 1998. Basi akamwambia maza, wakawa wanaomba na kufunga na nini si unajua waroma sisi ili huyo babu amuachie sis. Umeonaaaa. Sasa sis alivoudi ndo nikakaa nae hapo i was like STD 4, nikamuuliza issue nzima unfiltered version. Akaniambia wewe mtoto hata matiti huna unataka issue za wakubwa.:biggrin1:.Akasema Copenhagen kulikuwa na party ya wabongo, akaenda ilikuwa after kama 1 year hivi toka afike, na anavodai alienda virgin na akawa hataki kupaparika kajituliza tulii. Sasahilo jibaba limutu la Malawi likauliza hivi bongo huko jiranizangu siwezi kupata mtoto alietuliaa, mtoto mlitooo anajihehimu nioe maana umri umesongaa. Akaambiwa bwana hapa kuna binti wa Kichaga anaitwa Lara 2, katuliaaa, mzuriii, na kila mwanaume anamtaka ila mgumu kinomaa. Ndo kuja kwenye party kumuona huyo Lara 2 afu she stole his heart. Akaamua kutumia gharama yoyote kumpata.

She wasnt my sister for nothing nae anapenda mambo makubwa kishenziiii. Yaani mi kwake siingii, sahivi mmama ila hajabadilika. Yule baba akaingia na gia namba 5, apartment, fully furnished, mavacation all over Europe and Asia, yaani babu alikuwa mjedaa afu Diplomatic wa Malawi hukooo, afu mkubwa kivyeo maana si mnajua umri unakuja na baraka zake. Na maombi yote kaingia kingi mzima mzima. Kuna mtu akaja kusema home bwana flani hakai chuo, anaishi uzunguni kwenye very expensive appartments, ana drive very expensive car, kuliko watoto wa mawaziri huko Denmark, mmmh! Kuulizwa karuka futi mia 5. Mana akajitia namuamini mwanangu kuliko mtu baki, i raised her better than that. Mmmmh! Hakurudi tena home mpaka 2003 maana aliover stay pia. Akarudi na mtoto wa babu! Khaaaa! Wa yule baba. Basi sababu alirudi na ndinga benz la hatari, furniture za hatari kila kitu ndani, acha mshiko mrefu akanza kujenga nini, watu hawakuuliza kitu. In no time akapata kazi UN, ikawa she got away with it. Not even once sikumsikia maza akisema alichofanya si kizuri, zaidi tu ya kutania yule mjukuu wake baba yake kama babu yake. Hahahaaa! Na huyu akaja akaolewa na mtu mwingine mbongo nae anae anapesa ndefu tu, na anaishi kwa raha kishenzi manake yule babu bado anamtumia hela ndefu tu kila mwaka ya mtoto, na mumewe anamlea, bado zake i can conclude she got her happy ending.

By 2003 wale 4 musketeers tulikuwa form 3, wengine form 4. Nido zimechomoka sasa, ready and ripe to take over the city. Mmoja hapa kati yetu akaokoka, na mamake pia ni mlokole. Wengine tukawa tunangaa sharubu sasa kulivamia jiji. Mi nimesoma mjini kati kati hapo, wawili wakasoma kwa masista huko mkoani, binti mlokole akawa anasoma Jangwani. Likizo tunaulizana, tayari badoo? Utasikia tayari, bado, bado bado. Mpaka ikafikia tayari, tayari, tayari bado binti mlokole peke yake. Hapo form 4. Dada kubwa akawa yupo likizo ya form 4, weee, alikuwa ana danga hilo lipo tours, tunakula kuku jumatatu hadi jumatatu. Wine hazikauki. Bi mkubwa akirudi mbona hampashi viporo nyie mabinti. Mnakula nini? Tupo kwenye diet. Hahahaaa! Sipendi tabia za ajabu ajabu. Tushashiba kuku saa nyingi. Akawa na simu kaliii, anavaa harudii nguo, sasa kutokana na economic power akawa ndo mzuri kuliko wote. Basi anatuambia nyie wakubwa bwana mi nimewazidi mwaka mmoja tu, banieni vitaliwa na nyenyere huko chini ya mchanga! Hahahahaaaaaaaaaaa! Mi kuwaza na kuwazua nikamwambia kichaa wangu mmoja bwana eee i am joinig th industry. Akawa anaista sita, alivoona sahivi mimi na dada kubwa mabeste tunarui na tooth pic tu mdomoni nae akajiongezeza hivi flani anafaaa! Hahahaaa! Bi mkubwa anajua anakaa na watoto kumbe anakaa na wakubwa wenzie. Jamani sina hela wanangu, chukua hizi nitakutumia zingne, unasikia usijali zitatosha anaona kale kweli kumbe angejua ni balaaa.

Ikaja tukiwa A level dada kubwa alishusha engine akaugua almanusra kufa, bi mkubwa was devastated ila alikuwa tu understanding, akawa anatuhusia msiwe kama mwenzenu, angejua it was too late. Akafukuzwa shule, ikabidi aseme ada yote in millions, hard earned millions, katafuta shule ingine ya millions afu akafeli form 6, ikawa yule muke ya babu akamtafutia kazi UN ya kujishikiza tu, tempo, bi mkubwa akasema No way nitamlipia tu hio ada asome chuo, maisha ya sahivi sio ya mtu kutoenda chuo. Ikawa bahati tu akapat scholarship so akaenda chuo bila bi mkubwa kutoa ada, maana baada ya soo mdingi ashasema sitoi hata sh 10 yangu, nilizopoteza zimetosha. Akawa ana reconsider kuwatoa wasichana wote private maana ni anajitia shoti tu. Mmmmh! Mi nishafukuzwaga kwa masista longi kiburi, jeuri na majibu nikawa niko zangu government kitambo nishasema sitaki private, walivotolewa wale nikawa nacheka tu, wakabakia wavulana tu. Basi binti mlokole akarudi Jangwani tenaa, tukawa close, mabestee. Akampataga rafiki yangu anafanya casino sahivi wakaenda enda wakaachana tulivokuwa chuo.

Basi chuo binti mlokole ndo akapata ki bf, ikawa tayari sasa na yeye, dada kubwa alivomaliza tu akaa mwaka akiwa 22 akaleta mchumba akaolewa kanisani. Sahivi ni mama bora ana watoto 3, mumwe mtu safi, ana uwezo fresh na anampenda sanaa dada kubwa. Naweza kusema she got her happy ending too. Mimi bado nabewak bweka mjini tu hapa sijajua bado nitoke vipi. Bado nausoma mchezoooo. Yule kichaa wangu mie alienda Malasia, akarudi akaenda tena London ndo yupo mpaka sahivi, we still close, nae bado hajafanya maamuzi yoyote, ananiskilizia miea mjanja wake bado. Inshort wote tunategemea dada kubwa bado. Huku kutanga tanga we deserve every prt of it, tunamuomba Mungu atusamehe na kutufanyia wepesi malipizi yetu.

Sasa binti mlokole maskini, yule bwana akampa mimba, akatufichaaa, akazaa kwa tabu huko kwa wakwe sasa, kukawa na complications za labor mtoto ubongo ukachezaa. Aiseeeeeee! Kuja kutuambia too late. Too late mtoto ana miezi 9 hakai. Ndo kumnyofoa kule kwa wakwe na mtoto, maana alikuwa anaogopa kurudi home, maza akamkokota Dingi wamfate ili kidogo apate confidence ya kurudi home, Dingi alivomuona alivokondaaa, kachakaa ukauzu wote ukamuisha ndo kumrudisha nyumbani na kukubali kulipia chuo tena. Mtoto kuzunguka kila mahali wanasema ashacheleweshwa, hata kumpeleka India haifai, afanyiwe tu mazoezi maybe atakuja kuwa retarded lakini anaenda chooni mwenyew, anajihudmia lakini shule sio rahisi. Aiseeeeeeeeee! Mtoto mzuriii, bongee huyo, ana afya yake. Nikimuangaliaga naliaga machozi weeee! Mamake mwenye mdogo, bwana kaingia mitini, hatoi hata kumi ya malezi wala ada ya mama mtu. Wanaume hawa waone tu barabarani. Mama mtu is only 26 afu ana mtoto wa hivo anehitaji attention all her life. Ukiwa na mtoto mzima buheri wa afya kazi kupata mume, je mtoto mwenye matatizo? Mmmmh! Bi mkubwa ndo hivo kajitahidi kumfunga tumbo na nini shepu isiaribike, anamnyima misosi asiongezeke na kumrudisha chuo na nini, na kumpimp kwa wakaka mradi tu apate mume haraka iwezekanavyo amsaidie mzigo ule bado mambo magumu. Anakwambia sikati tamaa, nitapambana mpaka mwisho. Yaani SHE WAS A VERY VERY VERY GOOD GIRL KWA KWELI. Mpaka najiulizaga WHY GOD? WHY? Sawa shit happens to good people every day na nini lakini sio namna hio. Leo kuna mu kajifungua mtoto wa kike, bi mkubwa akajisemea namhurumia mtoto na mama yake, kulea mabinti sio kazi rahisi.

Ndo nikakumbuka zile 2 hardest test in life.

1. THE PATIENCE TO WAIT FOR THE RIGHT MOMENT

2. AND THE COURAGE TO ACCEPT THAT YOU HAVE WAITED FOR NOTHING!!!!!!!!!! (Hili ndo linaninyima usingizi)

The secret behind is to wait LONG ENOUGH; just waiting isn't that sufficient to bear fruits....
 
ukianza kuwaza hivyo ujue ndo unazeeka ila unazeeka unakuwa malaika..........hope you will have a happy ending
 
Inabidi ufanye analysis kwa kutumia "Kalman Filter" au "Covariance Matrix" au "Adjustment Theory"
I think you can make... big kama utaandika kitabu cha maisha ya mjini, story zako zinafurahisha, kuchekesha, kufundisha. Kama Shingongo ana-make money kwa udaku, what about you using real life story, waaaaa!
 
Hiyo kawaida tu.
Ni sawa na wezi, yale majambazi kukamatwa ni issue ila tule tuvibaka ndo kila siku vinapigwa na kuchomwa moto regardless kaiba big gee au kipande cha mua.

Ila haya maisha bhana, siri yake anaijua muumba. Bora huyo kaambulia mtoto no matter yupoje.
Kuna dada mmoja ye alienda kubanjuliwa akiwa chuo 2nd year, akaambulia kudungwa mimba na UKIMWI juu. So sad!!!
 
Hahaaaaaa inaweza kuw long enough for nothing! Hahaaaaaa!

The gods have never lied in this life; thats why the word is 'ENOUGH' meaning there is always a limiting value which you have to gather before things works in your favor.......
 
Mkuu huyu apate tu lijanaume lijinga ndo watadumu sana. Chanya kwa chanya haziwashi umeme mkuu hata iweje
 
The gods have never lied in this life; thats why the word is 'ENOUGH' meaning there is always a limiting value which you have to gather before things works in your favor.......

When do you decide it whether to quit or go on? What makes you decide that? What if you is wrong?
 
Back
Top Bottom