HELP!!!!! I think am sick. And it is not about SEX!!

huelewi hutaki kuelewa? nasema nikimuuliza anafikiria nini akanijibu

kama wewe, nin kinafuata? nimwambie nin? wewe si ndio uko kunipa ushauri?

au umesahua umenijibu vipi?

Read his mind first and make a strategy....don't rush into telling him you know...just rush t capture Al Bashir because his head might worth 25mil $ for people in the Hague...
But understand before being understood is crucial in this scenario
 
But it looks like it was not your weakness a problem....you enjoyed a company of the stranger...and you seem to like enjoying the strangers.
Mikono ina nguvu, mhhhh! Uliionaje ukiwa usingizini? Au mlianza naye gym kwanza

Kirusha roho kama unakumbuka vizuri ile ndoto mie nilikua sijitambui nilishangaa

tu najikuta naona raha ya ajabu toka pale ambapo tulikuwa twacheza dance floor.

of coz nili enjoy sana. hio ndio imenijengea weakness?
 
Read his mind first and make a strategy....don't rush into telling him you know...just rush t capture Al Bashir because his head might worth 25mil $ for people in the Hague...
But understand before being understood is crucial in this scenario

twende taratibu. naomba weka kwa kikwetu nikupate vema.
 
Kirusha roho kama unakumbuka vizuri ile ndoto mie nilikua sijitambui nilishangaa

tu najikuta naona raha ya ajabu toka pale ambapo tulikuwa twacheza dance floor.

of coz nili enjoy sana. hio ndio imenijengea weakness?

Sijui bwana kama ni hiyo au la...ila ninachojua matamanio ya mioyo yetu yanaweza kutupa strength au weakness. Inategemea sana tunachagua nini
 
Sijui bwana kama ni hiyo au la...ila ninachojua matamanio ya mioyo yetu yanaweza kutupa strength au weakness. Inategemea sana tunachagua nini

hili somo limeeleweka. mwaaaah. tuendelee....................
 
twende taratibu. naomba weka kwa kikwetu nikupate vema.

Msogelee karibu umuelewe ni mtu wa aina gani na anafikiri nini...usikurupuke mara hoo yu know me you know me..befriend him while looking at the best angle to make an attack....Ukishajua mtu yukoje hata timing ya mkakati wako inakuwa rahisi. Hujawahi kuona maprofesa wanawafanyia shopping wapenzi wanafunzi wao huko vyuoni? Wanaenda sokoni wabeba vikapu
 
what if i say ni wewe? :A S 12:
 
Why does this person give you a sickness? na wewe hutaki kupenda, unataka voda fasta sijui!!!Maana kupenda itabidi urudi kesh na kesho kutwa

teh teh teh. vodfast is gd. hapo hapo mnamaliza kila mmoja anashika zake.
 
Sina shida ya kumuwaza mtu kila mara sababu huwa nawaza watu 7 ama 8 kwa mpigo.
Yaani naweza mkumbuka mmoja kwa ucheshi, hapo hapo nikamkumbuka mwingine jinsi alivo handsam,
huku nikimkumbuka mwengine kwa utalaamu wake wa kunikuna n.k. Au wakati mwingine
naguswa moyoni hata mara 10 na watu 10 tofauti kwa siku, kutembelewa na watu kama 7 katika
ubongo wangu ama kama 13 rohoni kwangu.

Sasa ya leo kali, nina siku ya 4 namuwaza huyu mmoja tu! Sipendi na wala sijawahi maishani mwangu
kuwaza mtu mmoja, sioni mantiki na naona nikiwaza mmoja wengine nitawapoteza sababu huwa nakuwa
nao na kuwatafuta sababu nao nawawaza. Sasa amekuja huyu kawa king’ang’anizi ndani ya moyo wangu,
akiwa kama ganda kwenye ubongo wangu na kajenga kivuli cha muonekano wake machoni pangu.
Kila saa ni yeye hapishi wengine. Ananiboa na ananiharibia mood maeneo mengine ya mwili.
Na kubwa kuliko ananiharibia mipango yangu ya kuwa mama wa watoto mapacha.
Uzuri yupo hapa hapa jf kwahio msg sent! Kaka tafadhali nikome!

Kaunga my sweetest I need you now more than ever! wea ar u my love?

Nisaidieni wapendwa katika bwana, ni ugonjwa gani huu? mwenzenu Ero haujawahi nipata!
Dr. Mzizi Mkavu na wengineo msaada plz. Am I sick? Na kama naumwa dawa yake nini?

No mwaaaaah. I think am Sick.:A S cry:

Erotica, Nilikuwa sijaiona hii but first hope its me (Lol) anyway previously ulikuwa unatumia kichwa (akili) kuwaza but now unatumia moyo kitu ambacho najua wewe mwenyewe hukuwa unakitaka lakini ndio kimetokea. Now ni kwamba i believe kwa binadamu wa kawaida the situation you are in now is the right one na sio ile ya awali ya kuwaza kumi kwa wakati mmoja..........go with it but try not to break down
 
Back
Top Bottom