THE NIGHT WALKER! MMU LADY COLLECTOR OF ORGASMS! "I slept with them all and i don't regret it!"

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,116
JAMANI HUUU NI MUENDELEZO WA THE SILENT KILLER AUTO BIOGRAPHY! Baada ya kutoa ofa ya MEMOIR, akajitokeza huyu mdada na kudai her story is BIGGER THAN A MEMOIR so na yeye kama THE SILENT KILLER anahitaji AUTOBIOGRAPHY. Tukapiga kura ndo kitu kimetirirshwa. Mimi nimeiandika kama alivosimulia muhusika. I dont take any resposibility whatsoever.

KUFAIDI ZAIDI JITAHIDI UPITIE KWANZA AUTOBIOGRAPHY BABA YA THE SILENT KILLER, NDO UJE HII MAMA YA THE NIGHT WALKER!



Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

THE AUTOBIOGRAPHY AS WRITTEN BY LARA 1, APRIL 2014.

Msiponisikiliza mtanielewa vipi, na nitaloose, heshima tena vipi? Kuweka Avatar nzuri, hawaamini nina ziki, Eti nikicheka wanadhani niko fresh, Nilichofanya huku BALAA TUPU MKOSI, Mnalia na Mola kumbe mwanga ndo nina mix, sio hadithi za Sungura na Fisi, hata hii thread itakuwa ndefu . Mtanifikiria kifo na bado sifi ngoooo! Fanyeni kununa, mtavimba ila hampasuki.

Mjue mimi nimekaa sanaa nje, kabla ya kurudi Bongo, nimekaa Eastern Europe sanaa. Almost 3 years na ndo nikaujua huu utamu wa ONLINE DATING. Sasa kuleiko more open kama badoo, watu wanaweka picha zao kabisaaa. Nimerudi bongo sababu ya big supply ya D sikuona umuhimu wa kuendelea na onlin dating. Huwezi kuamini kukaa kote nje i never considered JF. Ila kurudi ofisini kuna mtu akasuggest JF kuna noga hio ilikuwa 2012. Nikajiunga rasmi. It was all Hypocrisy mpaka June walipokuja new generations. JF became hot.

By that time i had a well paying job, steady BF, i was engaged and i was seriously considering having a baby. I WAS THE HAPPIEST WOMAN ON EARTH. I could neve be happier. Basi nilipojiunga na JF watu wakisema people are dating people in here, i was like I CAN NEVER BE ONE THEM. Not in a million years. My online dating years were so over. Basi nikawa nasoma tu. Mdada akija kuanikwa huku kaliwa na nani sijui nani nasikitika tu, WHY THEY WERE NOT DOING IT RIGHT! IF THEY WERE DOING IT ANYWAY AT LEAST THE LEAST THEY COULD DO IS DO IT RIGHT! Mara chache mdada aliwe humu aje atoe testimony mayb mkaka sijui yuko hivi hivi, never! They go down QUIETLY! IN SHAME! Maybe wanahama ID at times. Nikasema tu, their problem is they dont have HONOR in their little fantasies. They lack passion and satisfaction of what they doing anyway. It just crossed my mind, never thought i could be WORSE OF THEM ALL. Not in a minute it ever crossed my mind.

Like they always say Karma is a bitch, my then BF, the cock sucker now called off the engagement, why? He met the love of his life in 3 months and he was going to marry her. What about me? I could go https://jamii.app/JFUserGuide myself all he cared. If i was hanging on the cliff and all i needed was just 1, only 1 https://jamii.app/JFUserGuide he was not going to give it. Sikuamini ujue nikaona kama naota. Nikajikaza roho kweli akaoa. Hivi hivi. Niliwaza kunywa sumu mara kadhaa nikaona well i kwanini ninywe sumu? Kila nilichoncho nilikuwa nacho while nakutana nae. If he dosnt want it any more, other people will want it. Sasa u busy kazini, na kila mtu alijua niko engaged nikawa sipati vichwa. Ndo nikawaza hata humu kuna watu wa maana tu. Watu ni watu haijalishi umekutana nao wapi, if i play it right haitokuwa issue.

Muhogo wa jangombe huku MMU nilionusurika kutukana wakungaa humu umegeuka keki ghafla. Nyie mabinti wa humu mnaojifanya HOLIER THAN THE POPE HIMSLEF, Acting as somekind of hotshots constantly dissing JF men, msitukane wakungaa uzazi ungalipooo. Dunia hii mabinti, oooh! Tabia yenu ya unok nok mnakuwa watu wa kupakazia, msiyoyajua kuingilia siku mpaka mtu aje asutwe na Mashujaa band ndo mta tia akili. Hatuwataki wanaume wa JF, hatuwataki hata kwa kupewa buree MBONA HAWAWAKAUKI VINYWANI? Hamjawahi kuwaona ila mpaka size za chupi zao mnazijua kwa kupekenyua huko pm. Naomba niwakumbushe ONE WOMAN'S POISON IS ANOTHER WOMAN'S MEAT! Ole wenu niwaone mnawasema wanaume wa jf fyoko fyoko utafiri vibwana vyenu vya mtaani vya maana kumbe ushuzi mtupu. Ngoja muone kwenye Atobiography yangu Jf ilivo na watu wa maana.

Baada ya kukutwa na ya kukutwa nikawa very lonely , basi mda wote niko humu ndani, nilikuwa nishatia nia, kufaidi utamu wa kikubwa na mtu humu lakini sikutaka kurush sikutaka masanturaaa, i wanted to take my time, hata nikitoka na mtu ni on my rules, terms and conditions, and i do the selection. Sitaki mtu anikurupukie huko kunichagua hahaaa! My motto was nitalala na wanaume wa JF lakini ONLY THE BEST OF THE BEST! Sitaki watu wa ajabu, lazima ID iwe ya siku nyingi, azima huyo mtu awe anatajwa tajwa kidogo humu ndani, na lzima awe ashawahi kuonekana na mebers wengine. Mtu wa kujificha sikutakaa kabisaa maana mtu mpaka unajificha manake ni mbaya beyond reasonable doubts. Kama hujiamini wwe binafsi mi nitakuamini vipi? Si unaona watu cute kama money stunna wame weka Avatar zao. There is nothing i love like men with balls and a little competition from fellow women as a cherry on top!

Orgasm number 1: Kibamia!!!!!!! Usiudharau wembamba wa reli treni inapitaaa.
Nikiwa najishauri nimpende nani humu, nimgee huu utamuuuuu, na hivi nilikuwa na nyege za mda mrefu weee acheni tu. Mda yani mda kweli tok nilivoduu na yule mpuuzi mara ya mwisho basi ilikuwa karibu mwaka, hapo ishafika 2013 kati kati. Nikawa naperuzi jukwaa la siasa kule. Basi kuna mwanaume mmoja mbishiiiiiii hata shipa lina nafuuu! Akawa ananivutia tu na hoja zake. Yuko chama la Faiza Foxy! Yaani he had balls of steel, watu mia na mia watambishia yeye anakomaa na msimamo wake. I just though he might hav big balls physically and i was dying to hold them and kiss them. Hahahaaaaa! Basi vidada navyo kumshobokea havikauki, haswaa yule mlokole feki aliekuwa busted na Silent Killer ndo kumfanyia my dream man ass licking siku nzimaa. Alimpiga miti nini huyu CHAWOTE maana dada hajui kubana miguu yue. Basi kujifanya anamjuaa nje ndani. Alichonikoleza zaidi kada yule wa bendera ya kijani akawa kama hamuoni, anampotezea tu. Nikasema he has balls and standards too i must have him. Tatizo likawa HOW?

Manake kada yul mkavuuu, si utani. Nikajaribu kumuomba namba ya kad 1 of the MMU big 5, manake najua mtandao wake mkubwa, wanafahamiana au aniombee hata kwa Maxmalipo ikibidi, akaniambia atanisaidi kuchukua kwa kada mmoja BAZAZI flani EYE CANDY. Aaaaaaah! Kikapanda kikashuka namba sipewi. Nikasema nyoko kweli nyie labda kama mimi sio mwanamke niliekamilika. Nikaanza ku mpm Hello! Hajibuuuu! Kimyaaa bin silent. Nika m pm kama mara 3, nikaona sijibiwi. Nika kaa na halimashauri ya kichwa changu na kujiuliza kwanini sijibiwi? Manake natumia jina zuri, avatar nzuri, najiweka classic, kusema hanijui uongo manake kwa ku like post zake sina mpinzani, mention na quotes acha kabisaa. Nikawazaa holaaa!

Nikiwa kazini nikasema huyu mtu wa siasa ngoja nijifanye niko chama chake chama tawala huenda nikampata. Manake hawa wanasiasa wanaogopa sana kujaribiwa, na mambo ya scandal za kitoto humu ndani ndo maana hanijibu. Maybe nae anani admire na nini lakini kutokana na hitilafu za kimfumo anakuwa anakufa nalo moyoni. Nika m pm tena, kaka flani, kama alikuwa na akili angejiuliza namuita kaka nataka kumnyima nini? Nikaanza hivo Kaka Kada mi leo nilikuwapo pale Lumumba kwenye mkutano, sema sijakuona, or maybe nimekuona sijakujua, but unanipa raha sanaa humu jamvini blah blah blah highest as.s kissing of the highest order. Nikamwambia flani aliongea point kishenzi au ndo wewe nini kaka kada? Hahahaaa! Ikimbukwe mimi sina chama nchi hii, wala hata kitambulisho cha mpiga kura sinaaa, na kwenye daftari sipo. Hio nilisikia tu kwa mamluki mmoja alikuwa anampasha Mheshimiwa Wanyika upate za hiko kikao. Wanyika ni mtu wa UD, na siku alikuwa na Mtati wa CUF nae mtu wa UD sasa huyo kada akawa anawapasha kimasihara tu. Mjini hapa, ndo chaumbea akasikia kuja kusimulia ofisini na mie nikapata angle ya kuanzia.

Kwa unyeti wa taarifa ile, nikajua hachomoki, manake sio kikao like kina waandishi la hashaaa, unless uwe kada huwezi kukijua. Basi kila saa narefresh pm. Chezea mimi nyie, kada hajajibu! Aaaargh! Nikaacha jioni naingia naona NEW PRIVATE MESSAGE. Moyo ukasisimka. Kumbe kada bwanaa. Akaniambia wewe muongo, hakukuwa na mdada, lakini lazima utakuwa mwenzetu au uko connected. Mzima lakini? Aaaaaah! Kazi ikawa ishaishaaa. Tukachat palee, akaniambia PM aliziona, lakini akajua wasumbufu wa humu, wasio na chama wala itikadi. Basi ikawa ndo mie kujifanya namu endorse mamvi, kumbe nae hivo hivo. Kiukweli we had CHEMISTRY! Japo ni mtu very anti social lakini nilimuweza sababu mwenyewe niko smart kidogo, tatizo akawa hajiongeziii, kuonana na nini. Nilikuwa na njaa ndio lakini begging was not my style.

Nikazidisha tu kumpa invittion to treaty za kiutu uzima, kama ku m pm usiku i am lonely na mitego kama hio. Japo kada lakini mwanaume vile vile, akaelewa somo, siku hio akaniambia nitakuwepo Lumumba jmosi, wewe huji? Aaaah! Nikaona hili shuzi,kidate Lumumba ndugu yangu, nikasema no sweat, kadi yenyewe sinaa. Nikaenda kwa fundi Juma shonesha kigauni cha kijanii matata, hills za njano wapi, miwani kubwaa, scarf, Mkuu wa wilaya angesubiri miaka 800. Nikatinga pale mda najua wanatoka in 10 minutes. Zuga zuga wakatoka, nika mpm nipo Lumumba check me, namba hio. Mda si mda simu ikaita njoo huku nje, nikatoka nashangaa, simu ikaita tena, nikashikwa bega. Si habaaaaaaa! Mashallah! Kada kaenda HB. Aaaaah! Nae ananishangaa. Nikageuka kwanza aone supporting doucments vizuri,nikainama kufunga viatu, then nikavua miwani, kumdedisha kabisaa. Aaaaah kada ali R.I.P maneo hayaeleweki. Anaongea hiki hajamaliza hiki. Nikamuaga nikamwambia mi nawahi bwana but it was good kukujua. Tuonane uwanja wa home humu JF.

Hatua kumi nyingi kada katuma sms, nashukuru kukujua, blah blah, nikamseti, msione mbishi humu ndani lakini paka akiona samaki lazima alie nyauuuuuuuuuuuu! PM ikasahaulika zikaanza whats up sasa. Siku hio kajiongeza i want to buy you dinner. Nikamwambia sitaki dinner. Dinner chache sana zinaishia game, uzungu mwingiii, nikamwambia twende for drinks. Akakubali ila akasema yeye sio mnywaji anaonja onja tu. Kufika kule mi nimeagiza zinga kubwa la konyagi sijibaniii, nchi huru kwa raha zangu, yeye alikuwa anakunywa Bia, analamba lamba bia moja masaa 10 bwana, nikamtania kumtilia konyagi kwenye bia yake akacheka lakinistimu akawa kaipata. Tukaanza kuziteremsha sasa. Badae ngoja nikurudishe! Hiiiiii! Nikasema huyu hanijui. Harudishwi mtu.Kwenye gari mkono taratibu nikaupeleka kwenye pajas you know! Akasisimka! He was such a tight ass hapana kwa kweli. Kadata kuguswa kidogo breki kufunga na kupaki nikasema refa kampa sub majeruhi. Nikamdaka na busuuu! Sasa kwasababu yule ni tight ass by nature things were going too fast for him. Kwanza hanijui, afu kanijulia JF ngome ya Chadema, uchi anautaka scandal anaogopa kunila kingi akassugest his place! Nikamwambia No, wewe mwana siasa, you dont know me, i dnt know you lakini we like each other, twende hoteli it will be safe for you, kwako nikienda gazetini si ndo nitaaminika kabisaa. Haaaaahaa! Chagua wewe hoteli unayoiamni. Nikajichukulia mi point kibaooo ya ushindi, ule wasi wasi who is she ukamtoka kabisaa.

Tukaenda mitaa ya kati hapo, nika kaa kwenye gari, kaenda kalipa room watu wa siasa hawa haitakiwi kushikana mikono hoteli. Kanitext namba flani, nikaingia, anajishutukia ooh nimechukua tu hii Deluxe, sijui itafaa, mi nikamvamia tu, sitaki story, mibusu tu, chojoana, full kasi, full mzukaa, mara toa shati, toa jeans, kushika hivi Ayaaaaaaaaaaaaaaaa! KIBAMIAAAAAAAA! Daaaaaaaaaaah! Tobaaaaaaaaaaaa! Nikaganda kwanza mwenyewe akahisi. Basi mwenyewe akaanza kujiongeza baby i know i am not that big but i can make you come! Ananigeuza uso kabisaa, ananiangalia machoni, baby trust me, size is not an issue kabisa. Myoni nawaza na hiko Kimbilimbili!!!!!!!? Not in a million years. Ila sababu ile foreplay ilichokoza lile hazina la nyege nikaona sitoweza kulala, the kibamia will have to do for the night! Nikajiongeza kumbusu kada! hivo hivo kishingo upande.

Weeeeeeee! Nilikoma ubishi, kada mshenzi sana yule, anazama chumvini utafikir sijui kitu gani,aaaah, utaita majina ya ukoo wako wote, yani anapapasa kinanda ni hatariiii, nililizwa mimi na utu uzima wangu huu. Ooooh! Kadaaaaaaa! Aaaaah!Kweli usidhrau sindano nyembamba lakini inashona mikotiii. Sin hamuuuu! Nikajisahau kutoa hata ufundi. Asubuhi full kusingzia pombe zilinizidi sijui nini nikaomba re-match! Kada kanitoa tena nishai, 3 bilaaaa! Duuuuu! Mpaka leo kada mtu wangu wa kupiga mechi za kirafiki. Swali kwa nini kada hakutaka permanent relationship muulizeni kada. Mimi i work with what i get, na friendly match is what i got.

Sasa i was more conviced that ever humu JF ndo kwenyeweee. Just tu matter ya kuwa pointer!

IMEENDELEA 127 THE TEACHER! POLISHER OF YOUNG MINDS!

IMEENDELEA 240, HARD CORE HIP HOP LOVE

MUUZA ALOVERA JF 288

VERIFIED USER POST NUMBER 300 NOW RELOCATED AT 273.

CHAGA BOY 474 NA 573

GENTLE MAN WITH CRUEL INTENTIONS COMPLETE 635

USIHUBUTU KUKUTWA NA BWANA PEPSI!!!!!! (LAST EPISODE) 762! THE END!


JE KWA MTAZAMO WAKO KATI YA THE SILLENT KILLER NA THE NIGHT WALKER NANI AMEKUKUNA IPASAVYOOO?
 
Nadhani hii project ni nzuri sana..... very innovative kama Zinduna talk show ....ingawa episodes zake zilipata tetenus!
Mzee mwenzangu, kwa kipindi hiki bibi yao kasafiri, nami babu yao nikiwa kwa dozi usingizi unagoma bila bia..... hawa wajukuu wananifaa sana..... Mathalan kwa sasa tayari nshakaweka kasimu kangu kwenye power bank tayari kwa hii series mpya.
 
lara 1 umenikumbusha lisongi la Mandojo na Domokaya .... Usiponisikiliza utanielewa vipi, unanikwaruza heshima tena hunipi ninavyopendeza hawaamini nina dhiki, huko nlikotoka balaa tupu mkosi, nalia na Mola kumbe wanga ndio walomiksi, sio hadithi za sungura na fisi, mpaka safari imekua ndefu sifiki, hicho kipindi namfahamu yupi rafiki, yupi adui azidi tu kumix...... Naona umeandika kama una haraka ya kitu kuna some errors lakini nimeelewa. Naomba muendelezo uwe hapohapo juu ili irahisishe usomaji.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom