Hebu kumbuka penzi lako la awali kabisa mara baada tu ya kubalehe ilivyokuwa

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
WanaJF wenzangu hebu kumbuka zamani zile ndo ilivyokuwa siku ya kwanza kabisa kujisajiri kwenye ulimwengu wa malavidavi ilikuwaje mara baada tu ya kubarehe.Je uliyempa malavidavi hayo kwa mara ya kwanza kabisa ndo mwandani wako hadi sasa au bado yu hai!!!!!?????
Mimi kwa mara ya kwanza kabisa sikuwa najua kabisa shaha...a ndo nini nilidhani yule aliyenifungulia dimba kaniambukiza ugonjwa wa zinaa kumbe ndo ilikuwa asali yenyewe
 
WanaJF wenzangu hebu kumbuka zamani zile ndo ilivyokuwa siku ya kwanza kabisa kujisajiri kwenye ulimwengu wa malavidavi ilikuwaje mara baada tu ya kubarehe.Je uliyempa malavidavi hayo kwa mara ya kwanza kabisa ndo mwandani wako hadi sasa au bado yu hai!!!!!?????<br />
Mimi kwa mara ya kwanza kabisa sikuwa najua kabisa shaha...a ndo nini nilidhani yule aliyenifungulia dimba kaniambukiza ugonjwa wa zinaa kumbe ndo ilikuwa asali yenyewe
<br />
<br />
halafu ujue sio wote wanaanzia mademu,wengine huanzia na puli,nyambafu!
 
ni kwa mke wangu na bibi yang alikuwa anashuhudia kaniwekea shuka jeupe kudhibitisha je nachinja mwenyewe huwa nakumbuka bib alivyoshanglia akitoka na shuka lenye .. ilopa
 
WanaJF wenzangu hebu kumbuka zamani zile ndo ilivyokuwa siku ya kwanza kabisa kujisajiri kwenye ulimwengu wa malavidavi ilikuwaje mara baada tu ya kubarehe.Je uliyempa malavidavi hayo kwa mara ya kwanza kabisa ndo mwandani wako hadi sasa au bado yu hai!!!!!?????
Mimi kwa mara ya kwanza kabisa sikuwa najua kabisa shaha...a ndo nini nilidhani yule aliyenifungulia dimba kaniambukiza ugonjwa wa zinaa kumbe ndo ilikuwa asali yenyewe

dah, kweli wewe ni KIBURUDISHO!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom