Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,536
- 8,625
Ktk ulowataja, Dela soul yupo NYC ana mke mtasha, Sindila yupo Cincinati, OH....Jump Around yupo Columbus, Rhymson mara ya mwisho kumwona ilikuwa Bongo safarini Canada, Y-thang nilimwacha Muhimbili akiwa mwaka wa nne, nadhani ni doctor somewhere...............................baadhi ya wengine nasikia mateja, waliovuta haya, lakini life goes on!!.
duu kolumba mwingira..mzee wa OILERS..maskani mikocheni ..TPDC..KUNA kipindi ali join pale muhimbili kusomea pharmacy..alikaa miezi sita tu ..mzee akaenda marekani..
mnawakumbuka LWP[LIVE WITH PURPOSE..kuna kale katoto kao sijui kako wapi sasa.kalikuwa kananata na mistari vizuri sana ]na concert zao pale ukumbi wa korea ..kipindi hicho 2 proud mshamba tu ndio anaingia kuitoka mbeya na raba zake za dh..du ila jamaa alikuwa commercial kichizi ..wakati wenzake wanapiga buru ..yeye alikuwa adaki mike hadi wamdakishe...
tery ..fanani..alioa halafu badaye akawa teja wa nguvu ile buuu..karibuni amere cover ..na alikuwa ana mpango wa kwenda canada..sijui amefikia wapi au kama tayari yupo canada..ila anamlaumu sana prof ..j kwa kuwamwaga ..hasa wanapooongelea kutoa album kama hard b..jamaa anangangania achukue pesa karibu yote..ndio wanashindwana..badala angalau angewavuta wenzake...