Mkuu, ungemaliza kama ungekuwa umemweka na mtu alikuwa akitwa SHAABAN MWEZINGO SIKU HIZO.
nAKUmbuka jinsi Badi Bakule alivyoimba shairi la MGUMBA:
nAKUSIHI WALA USITIE KUFURU MWENZANGU EE
Kupata na kukosa ni kazi yake maulanaa
Elewa MUNGU ana mitihani yakeee
Kaumba matajiri na mafukara kama mimi,
kaumbva vilema na wazima
Matasa au Wagumba, yote ni kazi yakeeeee

duu halafu anaingia muumini, iiiiiii iiiiiiiiiiiii iiiiiii mgumba we
hii bendi kwa mwaka ule ilikua ni TISHIO kuzidi hata kaka zao twanga pepeta!, kwamaana jamaa walivutwa toka uarabuni na kenya wakawa kama ma-proo. Album nzima ilitisha kwa ujumbe mzito mwanzo mpaka mwisho.We jamaa mkare mbayaa! Umenkumbusha mbali kwa kweli! Big up man!
amina ngaluma yuko thailand....badi bakule ana kama miezi 2 toka arudi twanga akitokea levante musica ya morogoro hiyo ilikuwa baada ya kutoka TOT
duu halafu anaingia muumini, iiiiiii iiiiiiiiiiiii iiiiiii mgumba we