Naona Wema siku hizi anazidi kutakata ule Utanzania sweetheart unamfiti vyema

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,463
21,194
Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema kwamba ameshazeeka.

Kwa muonekano alionao sasa hivi ajiandae kupokea dili kutoka kampuni mbalimbali.

Kila la heri kwake Tanzania Sweetheart.

1435794076.jpg
-784461989.jpg
936946572.jpg
-861313547.jpg
 
Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema kwamba ameshazeeka.

Kwa muonekano alionao sasa hivi ajiandae kupokea dili kutoka kampuni mbalimbali .

Kila la heri kwake Tanzania Sweetheart.

View attachment 2814888View attachment 2814892View attachment 2814895View attachment 2814898
Uzuri halisi wa mwanamke upo Rohoni mwake. Hauchuji wala hauchujuki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom