Unique Sisters wako wapi siku hizi?

Machame Juu

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
1,510
3,332
Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini?

Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka, walishaishi Japan.

Kuna huyu jamaa mabangi walimshirikisha kwenye ngoma yao flani Mez B naye yuko wapi siku hizi na anafanya nini?
 
Mez B alishafariki kitambo
 
Mez B hatunaye mkuu nadhani ndio umemaliza kifungo jela kuhusu hao madada hata mimi sijui
 
Yliondoka na pneumonia ( ngoma )

Yaani mtandao wao au kila mtu aliupata alikojua
John Mjema alipogundua anao akajiua kwa kujichoma kisu moyoni laiti angepata ushauri mzuri akatafuna njugu tungekuwa naye sasa hivi. Jini Kabula yule tall naye alitakaga kujiua ila kanselling ikamsaidia akaanza dozi sasa hivi huwezi kumtambua pisii kali ataondoka na wengi.

King Kong III
 
Back
Top Bottom