Hatimaye Prof Mwandosya arejea Tanzania toka matibabu India

ndio amerudi lakini bado anaumwa sana....mgongo wake bado unashida na hawei kusimama na kutembea bila magongo.......anahitaji kupumzika mda mrefu zaidi........lakini pia naomba asiache alivyoelekezwa na hili ntamkumbusha....kuna watu wamefumba jicho moja dhidi yahuyu mheshimiwa
 
Kuugua augue WildCard, akiugua Mwandosya, Mwakyembe, Maghufuli, Sitta,..., huyo kalogwa, kawekewa sumu. Kwa "mentality" hii mauaji ya Albino yataendelea.
 
Lusajo lwa kyala!
Karibu tena nyumbani
kyala mnunu!
 
mumrudishe tena india??
Hii yenyewe kurudi serikali imekimbia bili oooh mwacheni apumzike baba wa watu yaani kama m ni mwanae nakuwa salva wake kwa muda na nakwambia waandishi wataishia kuonana na hgirls wa nyumbani
tanzania na 50 ni wauwaji wa kubwa subirini mwakyembe ashuke dar so sad
tunaazimisha miaka 50 ya wauwaji na wapuuzi wapumbavu na washenzi wanavalishwa fulana na kupewa buku 50 wanajaa airport kama wamefiwa bila kujua serikalihii hii ndio inaua ndugu zao shame on them atakekanyaaga uwanja wa taifa na kama alshabab wapo liwalo na liwe kuliko kuishi na wahuni

I have to admit Pdidy, jinsi unavyoandika kwa kweli ni burudani ya macho! thanks!
 
Kibaigwa kuna maandamano zaidi ya wakulima 1000 wamefunga njia.sc redio one sasa hivi.
 
Shame on You Mzalendo.... you seems to like what is happen in our country true leaders... But rest assured that we as Tanzanians will come very strong on this.. the the dirty of this country leaders will be known and they will pay for it.

As for Mwandosya.... Just say welcome back.. and my wish and prayers is get well soon.

Huwa sielewi vizuri lugha hii sasa sijui waweza tutafsiria na sisi pai?
 
karibu prof nyumbani tz tusherehekee miaka 50 ya UHUNI. hope umewasili kuja kuuzima mwenge wa wahuni leo taifa.
 
Mungu aliye hai na azidi kumponya na kumrejeshea afya yake! Mungu ni mwema husikia sala za waja wake! karibu Prof.
 
Hatimae mola ameamua kumnusuru mja wake!
May the healing power of our Lord Jesus rest upon Mark Mwandosya.Amen
 
Teh teh teh, Marekani hususan Algore anakifahamu hicho kichwa, mshaurini jaman astaafu game coz kasi yake haiwezi tena

Namfahamu Mwandosya kwa kiasi fulani.

Al Gore na Clinton ndio waliomshauri Mkapa kumtumia, baada ya Mwandosya kuonekana ni jembe kali wakati wa mjadala wa "Kyoto Protocol" ambapo alikuwa msemaji wa G77 and China Group kwenye masuala ya Umoja wa Mataifa. Japo watu walimsihi sana asiingie kwenye siasa na aingie kwenye Umoja wa Mataifa, inaonekana Mkapa aliweza kumshawishi agombee ubunge.

Ukimsikia anavyoongea kwa confidence, utulivu utapenda tu umsikilize. Halafu jamaa ni genius sana, infact hajawahi kufanya Masters degree rasmi kwa kuwa alipokuwa akifanya Masters degree kule Uingereza supervisors wake waliamua kuipandisha Masters yake kuwa PhD kwa jinsi walivyokuwa impressed. Alipopewa U-profesa alishikilia record ya wakati huo ya kuwa the youngest UDSM professor, akiwa na miaka 45 kama sikosei.

Inasemekana kwamba baadhi ya mawaziri wenzake wengi wanamchukia (naona kutia ndani Mponda!), na kisa ni kwamba kwenye vikao vya Baraza la Mawaziri, atakaa kimya muda mrefu wakati wengine wakibwabwaja, sasa yeye atakapoongea wote mnajiona kama wajinga kwa jinsi anavyopangilia point! Sasa mawaziri wengine wanamchukia for his intelligence!

Wengi wanasema JK tangu achaguliwe alijua wazi kwamba asingempa Mwandosya Wizara ya Nishati - Mwandosya aliwahi kuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati wakati JK ni waziri. Kwa hiyo JK anaufahamu sana utendaji wa Mwandosya kwamba huwa havumilii ujinga na ubabaishaji, na haogopi mtu, mzungu, mhindi,mwarabu au mchina. Anafuata principles. JK alijua wazi kutokana na matatizo ya Wizara ya Nishati, kumpa Mwandosya wizara hiyo ingekuwa ni ticket ya kumfanya maarufu kupindukia, umaarufu wa aina ya Mrema alipokuwa Mambo ya Ndani, na kwamba Mwandosya asingekubaliana na ufisadi wowote katika mambo ya nishati pamoja na kuwavuruga kina EL na kina Rostam ambao walikuwa wamejichimbia sana katika wizara hiyo. In fact Rostam alitaka Wizara ya Nishati iwe na mtu wake - Ngereja.

Ukweli ni kwamba CDM wangeweza kukipata kichwa hiki kingewafaa sana, maana ni kichwa ambacho hakifai kuwa CCM, kwani hawajui kukitumia. Sana sana wanataka kuki-deal!
 
ndio amerudi lakini bado anaumwa sana....mgongo wake bado unashida na hawei kusimama na kutembea bila magongo.......anahitaji kupumzika mda mrefu zaidi........lakini pia naomba asiache alivyoelekezwa na hili ntamkumbusha....kuna watu wamefumba jicho moja dhidi yahuyu mheshimiwa
Vp kanyonyoka nywele na yeye?Ngozi yake je?
 
WEL CAM HOM
LAKIN SIFURAHI
MOJAKWAMOJA
MANAKE INAELEKEA
MWANDOSYA ALIBAKI
KULE INDIA KWA HOFU
AKIRUDI ANAWEZA UMIZWA INAELEKEA
KAJA KWA SHINGO UPANDE TUUU
baada ya sirikali
kujifanya haijui
kwanini ameendelea
kubaki india baada
ya kutoka pale
apollo
wakat wanajua
wanatyzuga tuu
 
Back
Top Bottom