Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,150
Hakika kweli Mungu hamwachi mtu wake, hatimae yale maneno mengi na kelele za wizara ya afya leo zimezimwa pale shangingi liliposogelea ndege ya Emirates na huku gari la kubebea wagonjwa kutoka Swiss port likijisogeza kwa ukaribu zaidi, kuashiria kuna mtu anashuka akiwa ndani ya wheelchair ama stretcher.
Hatimae gari likajisogeza pembeni na kukaribia kwenye Landcruiser gafla mikono ya shupavu Prof Mwandosya ikajitokeza kushukuru watanzania
na kwa maombi yao na ukarimu wao.
Baada ya muda akaelekea kwe nye shangingi ambalo yaaminika ni lake na hapo watanzania wakaona kweli, mzee wetu pamoja na kupungua bado Mungu anampenda na ana nguvu kubwa, huku kipenzi chake cha rihi kikisimama pembeni yake usiniulize nani kikihakisha mzee anaingia ndani kwa ajili ya kuelekea nyumban kwa mapumziko.
Kwa niaba ya JF na wote wanaompenda Mwandosya tunamtakia mzee wetu afya njema na Mungu amrudishie afya njema.