Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,335
- 105,748
nimeona mara nyingi unapenda mabishano ya kijinga hapa JF,mie hata hunipati kiranga!!jaza mashudu yako ukimaliza tambaa,,,,muda wa kupoteza na wewe hata sinao!
Mabishano ya kijinga kwa standards za nani? Kukemea uomba omba ndiyo ujinga? Kukataa matumizi mabaya ya pesa za umma ndiyo ujinga? Kuwaambia watu waishi within their means ndiyo ujinga?
Kati yangu mimi ninayepinga mambo haya na wewe unayetetea nani analeta mabishano ya ujinga?
Umeshajibu ndiyo maana yake nishakupata, huwezi kukataa kwamba sijakupata wakati ukweli umekuchoma moyoni mpaka ukaamua kujibu.