Harambee: Kuiona Mechi ya Brazil na Taifa stars

Unanishangaza sana wewe inaonekana wewe ni mbahili hahaha ..hivi mama watoto huwa unampa gud time kweli ..usikasirike lakini mie napenda kujua ??
Maana asubuhi hii ukianza jazba kutakuwa JF hakuingiliki

I did not want to go where I am going, as usually I am not the bragging type, at least when it come to these matters. I like to be discreet. Lakini naona unaniforce.

Na kama alivyosema Muhammad Ali, it ain't bragging if you done did it.

To the contrary, mimi nasomesha vijana bongo, nimetoka kuchangia about $ 5000 kwenye harusi ya cousin wangu juzi tu, na ni mtu ninayeamini katika kutoa sehemu inayohusika. Nishampa mtu baki $ 2500 wakati alikuwa na matatizo genuine -Si mkopo, nimempa, in the middle of a recession- juzi nimemtumia mtu, family friend tu $ 500 bongo kwa sababu ya matatizo ya afya. Wanaonifuatilia hapa JF watajua nishatoa scholarship ya $ 1500 kwa mtu anayehitaji kwa masomo bongo.Wabongo mpaka leo hawajaiclaim! Kama unamjua Steve B muulize, anaujua mchongo huu.

Hizi $ 200 - $ 300 ndiyo usiseme, mpaka kuna wakati naona ninazidi!

Demu wangu nampa hela mpaka ananirudishia, ananiambia mbona unanipa hela nyingi hivi? Yeye mwenyewe yuko OK na hana mapepe na hela.

Kwa hiyo suala la ubahili sina, kwa sababu ingawa siwezi kusema ni tajiri, lakini moyo wa kutoa kama ninacho ninao, na nina furaha sana kwa ajili ya hili kwa sababu kuna wengi wana hela nyingi kuliko mimi lakini kwenye scale ya kutoa bado wanashindwa.

Sisemi kwamba ninazo sana, ila najua katika moyo wangu kwamba swala la ubahili sina

Lakini si katika ku fund anasa za kijinga kama hizi za kwenda kuangalia Brazil na ku support ufisadi wa CCM.
 
Sitegemei kwamba utaweza kuona tatizo lako, kwa sababu unakuja na mentality za kisungura tope na akili za kichwapanzi.

Kuomba omba bila kufuata kanuni za msingi, kwamba hakuna cha bure, every action has an equal and opposite reaction, hata huyo kilaza Kikwete anakwambia "kula uliwe".Hata watuma salamu RTD wanakwambia "kula na kulipa ndiyo mtindo wa kisasa" sasa wewe nani unategemea utakula vya watu bure tu bila kulipa?

Mapedejee ndiyo maana wanatoka udenda kwa sababu wanaona kuku wa mdondo anajileta katika kumi na nane kirahisi hivi hivi.

Usitake kujirahisisha hivyo mtoto wa kike, aibu hiyo.

Wewe nadhani una tabia za KIFATAKI hivyo unadhani kila mtu unayempa msaada lazima alipe.Ushaambiwa kuwa tenda wema nenda zako usingoje shukurani.Usitake kuniharibia post yangu kwa kuniletea hayo mabo ya kupedeshee mie hata siyajui.Usiniharibie dhana nzima ya ombi langu kuwa eti nataka kujirahisi.
kaka shika adabu yako.Nimewaomba watu kwa heshima na taadhima zote na kama yeyote ana nia mbaya akae mbali na mimi.
Iam a DECENT woman of MORALS and DIGINITY.NIHESHIMU NITAKUHESHIMU.
 
Kiranga tafadhali ni asubuhi sana to get all worked up kama hivi (mark the bolded text).
 
Habarini za asubuhi ndugu wapendwa.
Ikiwa leo ni tarehe moja na bado kama siku nne napenda kuzidi kuwakumbusha wale wote wenye mapenzi mema kuwa bado naendelea kupokea michango mbalimbali itakayoniwezesha kwenda kuwaona Nguli wa futiboli Duniani.
Shukrani zangu za dhati ziwaendee wote walioonyesha nia ya kunisaidia kama akina Tete'a'tete,Roya roy,Masanilo na Genekai.Pia shukrani ziwaendee Ubungo ubungo,Fab na Mundu kwa upeo wao wa kuelewa na hata kumpa majibu stahiki ndugu Kiranga aliyekuja na shutuma lukuki kwa sababu eti nimeitisha harambee hii.
Ndugu Kiranga naomba uelewe kuwa hii ni haki yangu na nimethubutu ku-talk openly kama jinsi moto ya jeiefu ilivyo.Shutuma zako za kunikejeli naona hapa sio mahali pake na jaribu kuwa na hekima(huwa inatafutwa).Hata serikali yetu nayo inaomba ije iwe mimi?( sihalalishi uombaomba lakin hii ndio hali halisi)
Na kwa wale walioonyesha moyo wa kunichangia lakini kwa masharti fulani fulani nawaambia wazi SIPO TAYARI kupokea mchango kwa sharti la aina YOYOTE(Mtanisamehe).Kutoa ni moyo na si masharti.
Nawatakia siku njema na mbarikiwe na Bwana mnapoendelea na utoaji.
Ukishapata mchango unione nikupe Vuvuzela ukalipulize kule National!! huo ndo mchango wangu mamie!
 
Wewe nadhani una tabia za KIFATAKI hivyo unadhani kila mtu unayempa msaada lazima alipe.Ushaambiwa kuwa tenda wema nenda zako usingoje shukurani.Usitake kuniharibia post yangu kwa kuniletea hayo mabo ya kupedeshee mie hata siyajui.Usiniharibie dhana nzima ya ombi langu kuwa eti nataka kujirahisi.
kaka shika adabu yako.Nimewaomba watu kwa heshima na taadhima zote na kama yeyote ana nia mbaya akae mbali na mimi.
Iam a DECENT woman of MORALS and DIGINITY.NIHESHIMU NITAKUHESHIMU.

Wewe utakufa masikini kwa kutegemea wema wa jirani.

Wewe Unaijua dignity? Ungeijua dignity ungeji parade kuomba omba hapa?

Heshima unaijua wewe? Ungejua kujiheshimu mtoto wa kike ungekuja kujirahisisha na kujidharaulisha kwa kuombaomba kwa watu usiowajua hapa mtandaoni?
 
I did not want to go where I am going, as usually I am not the bragging type, at least when it come to these matters. I like to be discreet. Lakini naona unaniforce.

Na kama alivyosema Muhammad Ali, it ain't bragging if you done did it.

To the contrary, mimi nasomesha vijana bongo, nimetoka kuchangia about $ 5000 kwenye harusi ya cousin wangu juzi tu, na ni mtu ninayeamini katika kutoa sehemu inayohusika. Nishampa mtu baki $ 2500 wakati alikuwa na matatizo genuine -Si mkopo, nimempa, in the middle of a recession- juzi nimemtumia mtu, family friend tu $ 500 bongo kwa sababu ya matatizo ya afya. Wanaonifuatilia hapa JF watajua nishatoa scholarship ya $ 1500 kwa mtu anayehitaji kwa masomo bongo.Wabongo mpaka leo hawajaiclaim! Kama unamjua Steve B muulize, anaujua mchongo huu.

Hizi $ 200 - $ 300 ndiyo usiseme, mpaka kuna wakati naona ninazidi!

Demu wangu nampa hela mpaka ananirudishia, ananiambia mbona unanipa hela nyingi hivi? Yeye mwenyewe yuko OK.

Kwa hiyo suala la ubahili sina, kwa sababu ingawa siwezi kusema ni tajiri, lakini moyo wa kutoa kama ninacho ninao, na nina furaha sana kwa ajili ya hili kwa sababu kuna wengi wana hela nyingi kuliko mimi lakini kwenye scale ya kutoa bado wanashindwa.

Sisemi kwamba ninazo sana, ila najua katika moyo wangu kwamba swala la ubahili sina

Lakini si katika ku fund anasa za kijinga kama hizi za kwenda kuangalia Brazil na ku support ufisadi wa CCM.
Hayo mengine yote uliyojisifia ngoja niachane nayo,hivi kutoa karibu Tshs 6MIL kwenye arusi ni akili au matope? Hizi ni anasa za hali ya juu sana
 
Wewe utakufa masikini kwa kutegemea wema wa jirani.

Wewe Unaijua dignity? Ungeijua dignity ungeji parade kuomba omba hapa?

Heshima unaijua wewe? Ungejua kujiheshimu mtoto wa kike ungekuja kujirahisisha na kujidharaulisha kwa kuombaomba kwa watu usiowajua hapa mtandaoni?
Ushindwe na ulegee.Kamwe sitakufa masikini na Iam going to prove you wrong for this.
 
Hayo mengine yote uliyojisifia ngoja niachane nayo,hivi kutoa karibu Tshs 6MIL kwenye arusi ni akili au matope? Hizi ni anasa za hali ya juu sana

Wewe hujui huyo mtu niko naye karibu vipi, kipato changu ni kipi na huo msaada ulitokaje na hiyo harusi ilifanyikaje, kwa hiyo huna haki wala habari za kusema unachosema.

6 mil kwako wewe unaweza kuona hatari, wakati mimi napata zawadi mpaka za 15 mil mara nyingine, kwa hiyo katika level yangu kutoa zawadi 6m kwa mtu wa karibu si hatari.

Mimi najua wewe huwezi ku afford $ 200 kwenda kuwaangalia Brazil, na unataka kuwatia watu wengine gharama kwa anasa zako. Kisha unategemea dezo bila kulipia chochote.

Kwa hiyo kama kuna mtu hana akili hapa ni wewe, si mimi.
 
Ushindwe na ulegee.Kamwe sitakufa masikini na Iam going to prove you wrong for this.

Kwa rate ya uomba omba kama hii what makes you think hutakufa masikini?

Start to prove me wrong by raising the entrance fee yourself and not holding JF hostage to your extravagances.

Call this BS fundraising off.
 
I did not want to go where I am going, as usually I am not the bragging type, at least when it come to these matters. I like to be discreet. Lakini naona unaniforce.

Na kama alivyosema Muhammad Ali, it ain't bragging if you done did it.

To the contrary, mimi nasomesha vijana bongo, nimetoka kuchangia about $ 5000 kwenye harusi ya cousin wangu juzi tu, na ni mtu ninayeamini katika kutoa sehemu inayohusika. Nishampa mtu baki $ 2500 wakati alikuwa na matatizo genuine -Si mkopo, nimempa, in the middle of a recession- juzi nimemtumia mtu, family friend tu $ 500 bongo kwa sababu ya matatizo ya afya. Wanaonifuatilia hapa JF watajua nishatoa scholarship ya $ 1500 kwa mtu anayehitaji kwa masomo bongo.Wabongo mpaka leo hawajaiclaim! Kama unamjua Steve B muulize, anaujua mchongo huu.

Hizi $ 200 - $ 300 ndiyo usiseme, mpaka kuna wakati naona ninazidi!

Demu wangu nampa hela mpaka ananirudishia, ananiambia mbona unanipa hela nyingi hivi? Yeye mwenyewe yuko OK na hana mapepe na hela.

Kwa hiyo suala la ubahili sina, kwa sababu ingawa siwezi kusema ni tajiri, lakini moyo wa kutoa kama ninacho ninao, na nina furaha sana kwa ajili ya hili kwa sababu kuna wengi wana hela nyingi kuliko mimi lakini kwenye scale ya kutoa bado wanashindwa.

Sisemi kwamba ninazo sana, ila najua katika moyo wangu kwamba swala la ubahili sina

Lakini si katika ku fund anasa za kijinga kama hizi za kwenda kuangalia Brazil na ku support ufisadi wa CCM.

ok Bwana Kiranga just forget about everything ..naomba support yako niingie kwenye hili mechi muhimu katika history ya maisha yangu nataka nikamuone kaka Live ila hiki kima cha chini na juu kinanisumbua ..unajua kumsaidia mwenzio akafurahi na roho yake kukuombea kwa mungu ni faraja
Kwako ni anasa lakini kwangu itakuwa ni furaha hata huko mbiguni nitakukumbuka katika ufalme wangu... nitaiweka katika diary ya kumbukumbu zangu za Guinness
 
Wewe hujui huyo mtu niko naye karibu vipi, kipato changu ni kipi na huo msaada ulitokaje na hiyo harusi ilifanyikaje, kwa hiyo huna haki wala habari za kusema unachosema.

6 mil kwako wewe unaweza kuona hatari, wakati mimi napata zawadi mpaka za 15 mil mara nyingine, kwa hiyo katika level yangu kutoa zawadi 6m kwa mtu wa karibu si hatari.

Mimi najua wewe huwezi ku afford $ 200 kwenda kuwaangalia Brazil, na unataka kuwatia watu wengine gharama kwa anasa zako. Kisha unategemea dezo bila kulipia chochote.

Kwa hiyo kama kuna mtu hana akili hapa ni wewe, si mimi.
Ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.Wewe ukitoa MILIONI 6 kwa arusi ya siku moja unaona ni haki yako na mimi nikiomba laki na nusu nikaone mpira wa kimataifa kwa mara ya kwanza katka maisha yangu unaona nimetenda dhambi?
Unajiona mjanja sana kwa kuwa na income ya MILIONI 15 kwa mwezi wakati mimi mshahara wangu ni LAKI 1 kwa mwezi?
Sio kosa lako.Lakini nakwambia kuwa hizo pesa unazoringia ni makaratasi tu lakini Ipo siku utaziona pia hazina thamani.
HUJAFA HUJAUMBIKA na umasikini si kilema.
Nimechoka kubishana na wewe naomba niachie hapa sahizi.Nashukuru kwa KEJELI na DHARAU zako ila namwachia Mungu.
Nasema tena hili mwenye moyo wa kuchanga anichangie hata vuvuzela la kushaningilia kama Kimey na mwenye JILAZ ANIPOTEZEE tu bila maneno mengi.
 
ok Bwana Kiranga just forget about everything ..naomba support yako niingie kwenye hili mechi muhimu katika history ya maisha yangu nataka nikamuone kaka Live ila hiki kima cha chini na juu kinanisumbua ..unajua kumsaidia mwenzio akafurahi na roho yake kukuombea kwa mungu ni faraja
Kwako ni anasa lakini kwangu itakuwa ni furaha hata huko mbiguni nitakukumbuka katika ufalme wangu... nitaiweka katika diary ya kumbukumbu zangu za Guinness

Wewe kweli hujui kusoma,

Hivi mpaka sasa hujajua msimamo wangu kuhusu kwenda kuangalia mechi hii tu?

Mimi najirusha sana, na nakuja huko July, lakini upuuzi wa ku support matumizi mabaya ya fedha za umma siwezi kujiunga nao.

I am a thinking man, and whenever you are dealing with a thinking man you must be prepared to deal with the nuances of the proclivities of the dissemination of matters to the nth degree, the non-euclidian geometry, the globish mindset and the post-antidisestablishmentarianism that comes with it.

Im so much more complex than the brother who just dishes out his cash just like that.I Adam Smith this shyt with a blend of Ludwig von Mises and Hazlit before I Das Kapital and max the Marx on it and Nyerere the Makerere.

And in all of that blend, no one, including my street knowledge to top it all, no one of these sources tells me to dish out the cash like that. Even with a much more disposable income than warranted here.

You tell me if you can argue your case any different.
 
Ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.Wewe ukitoa MILIONI 6 kwa arusi ya siku moja unaona ni haki yako na mimi nikiomba laki na nusu nikaone mpira wa kimataifa kwa mara ya kwanza katka maisha yangu unaona nimetenda dhambi?
Unajiona mjanja sana kwa kuwa na income ya MILIONI 15 kwa mwezi wakati mimi mshahara wangu ni LAKI 1 kwa mwezi?
Sio kosa lako.Lakini nakwambia kuwa hizo pesa unazoringia ni makaratasi tu lakini Ipo siku utaziona pia hazina thamani.
HUJAFA HUJAUMBIKA na umasikini si kilema.
Nimechoka kubishana na wewe naomba niachie hapa sahizi.Nashukuru kwa KEJELI na DHARAU zako ila namwachia Mungu.
Nasema tena hili mwenye moyo wa kuchanga anichangie hata vuvuzela la kushaningilia kama Kimey na mwenye JILAZ ANIPOTEZEE tu bila maneno mengi.

Dada,

Principle yangu ni ndogo tu.Kila mtu aishi kwa mujibu wa uwezo wake na asiombe ombe kwa mwenzake.Kwa hiyo kama mimi nina uwezo wa kuchezea hela yangu (kama unaona nimechezea), poa.Ili mradi simuombi mtu.

Mimi sijawahi kuja kuomba kwa mtu hapa JF. Kuomba omba ni aibu katika utamaduni wangu.

Na wewe pia kama una uwezo wa kuchezea hela yako poa.

Lakini ukianza kuomba watu unaalika tusiopenda ombaomba kuja kukukemea.

Hayo mambo mengine ya income yangu ya mwezi sijui hata umeyapata wapi. Inaonyesha una matatizo ya comprehension na hujui kusoma.
 
Wewe kweli hujui kusoma,

Hivi mpaka sasa hujajua msimamo wangu kuhusu kwenda kuangalia mechi hii tu?

Mimi najirusha sana, na nakuja huko July, lakini upuuzi wa ku support matumizi mabaya ya fedha za umma siwezi kujiunga nao.

I am a thinking man, and whenever you are dealing with a thinking man you must be prepared to deal with the nuances of the proclivities of the dissemination of matters to the nth degree, the non-euclidian geometry, the globish mindset and the post-antidisestablishmentarism that comes with it.

Im so much more complex than the brother who just dishes out his cash just like that.I Adam Smith this shyt with a blend of Ludwig von Mises and Hazlit before I Das Kapital and max the Marx on it and Nyerere the Makerere.

And in all of that blend, no one, including my street knowledge to top it all, no one of these sources tells me to dish out the cash like that. Even with a much more disposable income than warranted here.

You tell me if you can argue your case any different.

Na wewe khaa najua unachukizwa na vimichango michango vya nchi hii visivyo na mpango na manufaa kwa umma ..misimamo mingine huwa inavunjwa ..haya Kiranga uwe na siku njema...narudi darasani
 
Dada,

Principle yangu ni ndogo tu.Kila mtu aishi kwa mujibu wa uwezo wake na asiombe ombe kwa mwenzake.Kwa hiyo kama mimi nina uwezo wa kuchezea hela yangu (kama unaona nimechezea), poa.Ili mradi simuombi mtu.

Mimi sijawahi kuja kuomba kwa mtu hapa JF. Kuomba omba ni aibu katika utamaduni wangu.

Na wewe pia kama una uwezo wa kuchezea hela yako poa.

Lakini ukianza kuomba watu unaalika tusiopenda ombaomba kuja kukukemea.

Hayo mambo mengine ya income yangu ya mwezi sijui hata umeyapata wapi. Inaonyesha una matatizo ya comprehension na hujui kusoma.
Nilitaka nisiendelee lakini naona Kimbelembele na kifront front hakikuachi kama mwana......
Kama wewe PRINCIPLE yako ndio hiyo sasa unataka sie watu wote duniani tuishi kwa kukuogopa wewe na kufata prinsipo zako? Ebbo!!!!!!!!!??????? Gimme a break!!!!
MAMBO YA NGOSWEEEE!!!!..........................................
 
Jamani wananchi nyie naona mnakoelekea sio kabisa mambo ya kupimiana zawadi za mil 15 sijui mshahara wa laki 1 sio kabisa.

Kiranga kama hutaki kumchangia Charity (ambayo si lazima anyway) just drop it. Tushajua msimamo wako kwamba hutaki then thats it you dont have to go this extreme ya kushow off how much you get how much you give and all that kind of babling sawa.Hakuna mtu anapenda kuombwa au kuomba ila ndo maisha yalivyo.

Charity huna haja ya kuendeleza malumbano na Kiranga kwa sababu mnaeza kuharibiana siku bure na ndo kwanza saa 4 labda yeye huko kwake ni usiku au jioni (by the sound of it that he is coming in July.....). Subiri kupata michango ya wapwazz na binamuzz wenye heri ya kukutaka uende ukaone mechi hiyo sawa dada yangu.

Kwa sababu imekuwa ni kama malumbano kwa kweli ambayo yanarise the temperature high jukwaani. its better to call it quits kila mtu asepe kimtindo wake.

Muwe na siku njema. Peace and love y'all!!!
 
Nimesema hujui kusoma, na unazidi kuni prove right.

Nimetetea haki yako ya kuomba omba hapa JF, which means siamini kwamba ni lazima kila mtu aishi kwa principles zangu.

Lakini pia nimesema nina haki ya kupinga uomba omba.

Ndiyo maana ya forum, opposing views zinakutana katika marketplace of ideas, wasomaji wanapata nafasi ya kuchagua ideas zilizo bora, uombaomba au kujitegemea. Huwezi kuelewa vitu kama hivi kwa sababu unataka vya kunyongwa, vya kuchinjwa huviwezi.Unataka rahisi, vyenye ugumu huviwezi.
 
jamani weeee ......these football stars are overated anyway! ....trust me charity .......if u dont love football and enjoy the game dont go there to waste ur time..............no point in wasting about 6 hours ( kwa traffic ya bongo) and alot of money to look at a pretty boy like Kaka ( i will rather look at Italian bad boys with tattoos myselfy)

nishaona real madrid, manchester na juventus ........i went to c ivory cost and Taifa stars even. kutoka uwanjani, hasa huo wa bongo, u can hardly see the players' face clearly.......and i was on the VIP so kwa viti vya elfu 30,000 u wont c a damn thing than football.

so just go if u feel the game, if not......watch the pretty boy from the tv screen. .....u will c him better any way lol
 
Jamani wananchi nyie naona mnakoelekea sio kabisa mambo ya kupimiana zawadi za mil 15 sijui mshahara wa laki 1 sio kabisa.

Kiranga kama hutaki kumchangia Charity (ambayo si lazima anyway) just drop it. Tushajua msimamo wako kwamba hutaki then thats it you dont have to go this extreme ya kushow off how much you get how much you give and all that kind of babling sawa.Hakuna mtu anapenda kuombwa au kuomba ila ndo maisha yalivyo.

Charity huna haja ya kuendeleza malumbano na Kiranga kwa sababu mnaeza kuharibiana siku bure na ndo kwanza saa 4 labda yeye huko kwake ni usiku au jioni (by the sound of it that he is coming in July.....). Subiri kupata michango ya wapwazz na binamuzz wenye heri ya kukutaka uende ukaone mechi hiyo sawa dada yangu.

Kwa sababu imekuwa ni kama malumbano kwa kweli ambayo yanarise the temperature high jukwaani. its better to call it quits kila mtu asepe kimtindo wake.

Muwe na siku njema. Peace and love y'all!!!

Kwanza kabisa, mimi sija show off na wala sina tabia ya show off. Kuna mtu - FirstLady1- kaniambia kwamba sababu ya mimi kukandia ombaomba ni kwamba mimi mbahili.

Katika jibu langu nikaanza kwa kusema kwamba nasikitika kwamba katika kujibu tuhuma za ubahili itabidi niseme mambo ambayo kwa kawaida nisingependa kuyasema, kwa sababu kwa kawaida mimi niko discreet, lakini kwa sababu mtu kaniita bahili, itabidi niseme ukweli kwamba ubahili haupo katika nature yangu.

Ndipo yalipoanza mambo ya ma figure.It's not like nimekuja na kuanza ku brag out of nowhere.

Halafu nika m quote Muhammad Ali alivyosema kwamba if you done did it it ain't bragging, it is just telling it.

Halafu malumbano ndiyo point ya forum, different ideas zinakutana, zinashindana, idea inayoweza ku prevail ina prevail.

So far tunaona ombaomba na patrons wao hawana nyimbo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom