Harambee: Kuiona Mechi ya Brazil na Taifa stars

nimeona mara nyingi unapenda mabishano ya kijinga hapa JF,mie hata hunipati kiranga!!jaza mashudu yako ukimaliza tambaa,,,,muda wa kupoteza na wewe hata sinao!

Mabishano ya kijinga kwa standards za nani? Kukemea uomba omba ndiyo ujinga? Kukataa matumizi mabaya ya pesa za umma ndiyo ujinga? Kuwaambia watu waishi within their means ndiyo ujinga?

Kati yangu mimi ninayepinga mambo haya na wewe unayetetea nani analeta mabishano ya ujinga?

Umeshajibu ndiyo maana yake nishakupata, huwezi kukataa kwamba sijakupata wakati ukweli umekuchoma moyoni mpaka ukaamua kujibu.
 
Kiranga na wewe kama mtu ana shida asiombe. ndio maana watu wanakufa na BP kisa wanaweka matatizo moyoni

matumizi mabaya ya pesa ni yap??
 
Matumizi mabaya ya fedha ni kama kwa ujibu wa kiranga ni :-
Kuingia kwenye hizi mechi hizi ..
Kuingia kwenye ma- miss ..
Pombe na Kununua Machangu doa..
mnisamehe kama nimewakwaza ..:confused3:
 
Kiranga na wewe kama mtu ana shida asiombe. ndio maana watu wanakufa na BP kisa wanaweka matatizo moyoni

matumizi mabaya ya pesa ni yap??

Shida unaiona wapi hapa? Hii anasa unataka kuiiita shida? Hivi mtu asipowaona Brazil atakatika mguu? Atakufa? Atakosa elimu? Atakosa chakula? Atakosa maji?

To the contrary, mtu asiye na uwezo wa kwenda kwenye mechi hii, akijilazimisha kwenda, akirudi nyumbani anaweza kukosa kodi ya nyumba, anaweza kukosa ada ya shule, anaweza kukosa hela ya kwenda hospitali, anaweza kukosa chakula, anaweza hata kuongeza chances za mabalaa ya kuleta kufa.

Kwa hiyo kama unaangalia kwa makini, shida iko wapi hapa, utaona shida si kukaa nyumbani na kukataa kwenda kwenye hii mechi, shida ni kwenda kwenye hii mechi.

Haya matumizi ya $ 6 million dollar kwa nchi masikini kama Tanzania katika anasa kama hii kwa siku moja unaona sawa?

Unafanya homework yako? Unajua hayo ni mapato ya watanzania wa ngapi wa kawaida kwa mwaka mzima? Unajua tungeweza kununua vitanda vingapi kwa wagonjwa wetu wanaolala chini na kuchangia vitanda? Unajua tungeamua kununua madawati tungenunua mangapi kwa hela hizo?

Acha kuleta mzaha hapa.
 
walivyokuja ivory cost tulilipa 20,000 na niliziona nyingi mno....................kwa 80,000 nasema HAPANA! pesa yangu hailiwi kizembe hivyo! akka
 
Habarini za asubuhi ndugu wapendwa.
Ikiwa leo ni tarehe moja na bado kama siku nne napenda kuzidi kuwakumbusha wale wote wenye mapenzi mema kuwa bado naendelea kupokea michango mbalimbali itakayoniwezesha kwenda kuwaona Nguli wa futiboli Duniani.
Shukrani zangu za dhati ziwaendee wote walioonyesha nia ya kunisaidia kama akina Tete'a'tete,Roya roy,Masanilo na Genekai.Pia shukrani ziwaendee Ubungo ubungo,Fab na Mundu kwa upeo wao wa kuelewa na hata kumpa majibu stahiki ndugu Kiranga aliyekuja na shutuma lukuki kwa sababu eti nimeitisha harambee hii.
Ndugu Kiranga naomba uelewe kuwa hii ni haki yangu na nimethubutu ku-talk openly kama jinsi moto ya jeiefu ilivyo.Shutuma zako za kunikejeli naona hapa sio mahali pake na jaribu kuwa na hekima(huwa inatafutwa).Hata serikali yetu nayo inaomba ije iwe mimi?( sihalalishi uombaomba lakin hii ndio hali halisi)
Na kwa wale walioonyesha moyo wa kunichangia lakini kwa masharti fulani fulani nawaambia wazi SIPO TAYARI kupokea mchango kwa sharti la aina YOYOTE(Mtanisamehe).Kutoa ni moyo na si masharti.
Nawatakia siku njema na mbarikiwe na Bwana mnapoendelea na utoaji.
 
Kiranga unamshambulia Charity wa watu kisa kaomba kuchangiwa aione mechi ya Brazil na Taifa Stars. Kwani kuna ubaya gani akiomba huo mchango na watu wakampa kwa hiari zao akaenda kuona?? Kwani kuna ubaya gani sana wa yeye angalau once in her lifetime aone Brazil ikicheza na nchi yake na kuishangilia nchi yake??? Kwani mtu haruhusiwi kufanya kile anachopenda ikiwa ni pamoja na kuangalia mpira LIVE kwa sababu tu Serikali imetumia taxpayers money(which ofcourse its not right) kuwaleta hao Wabrazil kucheza a friendly match??? What really is your point that you have been trying to make all this time???? (dont be a hater though usinishambulie na undiplomatic words/tone to say the least)
 
kiranga .........................nasikia Zitto kabwe kaipa BRAVO serikali kwa kutuletea Brazil .....hii kitu imekaaje? ( kuna mtu alimnukuu katika moja ya threads)
 
Wewe una haki ya ku-talk openly na kuomba omba.

Na mimi nina haki ya kushutumu tabia ya ombaomba na matumizi mabaya ya fedha za umma.

Zaidi ya hapo, tabia ya omba omba ni mbaya kwa sababu kuna wengine watakupa kitu kwa kutegemea malipo, wanasema there is no free lunch in the world, na malipo yapo ya aina nyingi.Usishangae ukakutana na wakware watakaotaka kukushikisha ukuta.

Ni vijimambo vya ku "call a spade a spade" tu. Tushaona ma PedeJee wamekuja openly hapa. Ukipenda dezo utazitolea puani fadhila za wadau.

Kuna wadau wengine wanaamini jasho la mtu haliliwi bure. Shauri yako.
 
kiranga .........................nasikia Zitto kabwe kaipa BRAVO serikali kwa kutuletea Brazil .....hii kitu imekaaje? ( kuna mtu alimnukuu katika moja ya threads)

Ile quote ina utata kwa sababu haijatolewa source, lakini nimembalasa on the premise kwamba aliyeitoa hapa amemquote Zitto.

Nimemmaliza kama irresponsible, kama kweli ni yeye aliyesema hivyo, hususan kwa sababu anatakiwa awe mchumi by training.
 
Kiranga unamshambulia Charity wa watu kisa kaomba kuchangiwa aione mechi ya Brazil na Taifa Stars. Kwani kuna ubaya gani akiomba huo mchango na watu wakampa kwa hiari zao akaenda kuona?? Kwani kuna ubaya gani sana wa yeye angalau once in her lifetime aone Brazil ikicheza na nchi yake na kuishangilia nchi yake??? Kwani mtu haruhusiwi kufanya kile anachopenda ikiwa ni pamoja na kuangalia mpira LIVE kwa sababu tu Serikali imetumia taxpayers money(which ofcourse its not right) kuwaleta hao Wabrazil kucheza a friendly match??? What really is your point that you have been trying to make all this time???? (dont be a hater though usinishambulie na undiplomatic words/tone to say the least)

Kama unaona hakuna ubaya kuwa ombaomba then unanielimisha kwa nini nchi yetu ni masikini, wananchi wanaamini kuomba omba ni poa tu.

Halafu tunajidai tuna siasa ya kujitegemea.

Mimi binafsi napinga kuomba omba, sijamkataza kuomba hapa JF, ana haki ya kuomba, lakini mimi binafsi napinga.

Na kama yeye alivyo na haki ya kuomba, na mimi nina haki ya kukashifu na kukemea ombaomba wote.

Point ninayoimake ni kwamba nchi yetu itabaki masikini kwa miaka mingi, kwa sababu kuanzia serikali, chama mpaka wananchi hatujui fiscal responsibility.

Serikali inatumia $ 6 million kuileta Brazil kwa siku moja, serikali haina priorities. Tuna matatizo kibao yanayohitaji hizo hela na kuweza kuzitumia vizuri zaidi.

Wananchi wanataka kuishi maisha ya anasa kubwa kuliko mifuko yao inavyoruhusu, hawajui hata kufikiri, hawajui kwamba umasikini wao unatokana kwa sehemu kubwa na matumizi mabaya ya pesa za umma, hawaoni hata aibu kuja kuomba msaada ili kufanya anasa.

Point yangu ni kwamba kila siku tunaishambulia serikali ufisadi and all, kumbe hata wananchi wenyewe wanataka kuishi maisha ya kifisadi.Ukitaka kuishi maisha yaliyo juu ya uwezo wako unataka kuishi kifisadi, unaishi kwa tamaa.

Utaanza kuomba omba, utakuta watu wamechacha, utaanza kuiba au kuuza VISIVYOTAJIKA!!

Ndio ufisadi wenyewe huo.
 
Kiranga .........i blv charity ana play around tu ........hahitaji mchango wa mtu! hata hayo majibu anayopewa ya mapedejee and the likes ni kuburudisha baraza tu

so chill out

i kinda dig msimamo wako though..................u cant eat your cake and have it too
 
Kiranga unamshambulia Charity wa watu kisa kaomba kuchangiwa aione mechi ya Brazil na Taifa Stars. Kwani kuna ubaya gani akiomba huo mchango na watu wakampa kwa hiari zao akaenda kuona?? Kwani kuna ubaya gani sana wa yeye angalau once in her lifetime aone Brazil ikicheza na nchi yake na kuishangilia nchi yake??? Kwani mtu haruhusiwi kufanya kile anachopenda ikiwa ni pamoja na kuangalia mpira LIVE kwa sababu tu Serikali imetumia taxpayers money(which ofcourse its not right) kuwaleta hao Wabrazil kucheza a friendly match??? What really is your point that you have been trying to make all this time???? (dont be a hater though usinishambulie na undiplomatic words/tone to say the least)
Nisaidie mamii,naona huyu ana lake jambo.Nadhani itakuwa matatizo ya kifamilia.
 
Kiranga una matatizo.siioni dhambi yangu ya kuomba.Usitake kunibebesha makosa ya SERIKALI ya kuileta Brazil na ukataka nijifeel guilty.Umechelewa sana ndugu yangu.Nishakuambia hata wewe unaombaomba vilevile kwa maana rais wako akienda kuomba ulaya basi amekuwakilisha.Na usitake kuniambia kwamba wewe huwa huombi na hutakuja kuomba kwani kuomba sio lazima iwe pesa.
Usitake kuwaogopesha watu kunichangia wenye mapenzi mema.kaa na roho yako mbaya ya kutotaka kusaidia wenzio.
 
Kati yangu mimi na wewe ambaye umeshatiuambia bwana wako heshi kwenda kwenye mabaa huko wakati wewe uko nyumbani nani ana matatizo ya kifamilia?

Kati yako wewe ambaye familia yako imeshindwa kukuhudumia mpaka unakuja kuomba omba hapa JF, nani hasa an matatizo ya kifamilia?

Kati yako wewe unayeingia katika kishawishi cha kupakatwa na mapedejee ili uende kuona Brazil na mie nilie chill, nani ana matatizo ya kifamilia?
 
Shida unaiona wapi hapa? Hii anasa unataka kuiiita shida? Hivi mtu asipowaona Brazil atakatika mguu? Atakufa? Atakosa elimu? Atakosa chakula? Atakosa maji?

To the contrary, mtu asiye na uwezo wa kwenda kwenye mechi hii, akijilazimisha kwenda, akirudi nyumbani anaweza kukosa kodi ya nyumba, anaweza kukosa ada ya shule, anaweza kukosa hela ya kwenda hospitali, anaweza kukosa chakula, anaweza hata kuongeza chances za mabalaa ya kuleta kufa.

Kwa hiyo kama unaangalia kwa makini, shida iko wapi hapa, utaona shida si kukaa nyumbani na kukataa kwenda kwenye hii mechi, shida ni kwenda kwenye hii mechi.

Haya matumizi ya $ 6 million dollar kwa nchi masikini kama Tanzania katika anasa kama hii kwa siku moja unaona sawa?

Unafanya homework yako? Unajua hayo ni mapato ya watanzania wa ngapi wa kawaida kwa mwaka mzima? Unajua tungeweza kununua vitanda vingapi kwa wagonjwa wetu wanaolala chini na kuchangia vitanda? Unajua tungeamua kununua madawati tungenunua mangapi kwa hela hizo?

Acha kuleta mzaha hapa.

Unanishangaza sana wewe inaonekana wewe ni mbahili hahaha ..hivi mama watoto huwa unampa gud time kweli ..usikasirike lakini mie napenda kujua ??
Maana asubuhi hii ukianza jazba kutakuwa JF hakuingiliki
 
Kiranga una matatizo.siioni dhambi yangu ya kuomba.Usitake kunibebesha makosa ya SERIKALI ya kuileta Brazil na ukataka nijifeel guilty.Umechelewa sana ndugu yangu.Nishakuambia hata wewe unaombaomba vilevile kwa maana rais wako akienda kuomba ulaya basi amekuwakilisha.Na usitake kuniambia kwamba wewe huwa huombi na hutakuja kuomba kwani kuomba sio lazima iwe pesa.
Usitake kuwaogopesha watu kunichangia wenye mapenzi mema.kaa na roho yako mbaya ya kutotaka kusaidia wenzio.

Sitegemei kwamba utaweza kuona tatizo lako, kwa sababu unakuja na mentality za kisungura tope na akili za kichwapanzi.

Kuomba omba bila kufuata kanuni za msingi, kwamba hakuna cha bure, every action has an equal and opposite reaction, hata huyo kilaza Kikwete anakwambia "kula uliwe".Hata watuma salamu RTD wanakwambia "kula na kulipa ndiyo mtindo wa kisasa" sasa wewe nani unategemea utakula vya watu bure tu bila kulipa?

Mapedejee ndiyo maana wanatoka udenda kwa sababu wanaona kuku wa mdondo anajileta katika kumi na nane kirahisi hivi hivi.

Usitake kujirahisisha hivyo mtoto wa kike, aibu hiyo.
 
Kati yangu mimi na wewe ambaye umeshatiuambia bwana wako heshi kwenda kwenye mabaa huko wakati wewe uko nyumbani nani ana matatizo ya kifamilia?

Kati yako wewe ambaye familia yako imeshindwa kukuhudumia mpaka unakuja kuomba omba hapa JF, nani hasa an matatizo ya kifamilia?

Kati yako wewe unayeingia katika kishawishi cha kupakatwa na mapedejee ili uende kuona Brazil na mie nilie chill, nani ana matatizo ya kifamilia?
Kiranga kaka yangu matatizo ya kifamilia sio pesa tu.Eti kwa vile familia yangu au CHRISPIN hana hela ya kunipeleka kuiona Brazil basi ndo nongwa.
Hata kunyimwa unyumba na mkeo nayo ni matatizo makubwa(nahisi ndo yanakusumbua)
 
Habarini za asubuhi ndugu wapendwa.
Ikiwa leo ni tarehe moja na bado kama siku nne napenda kuzidi kuwakumbusha wale wote wenye mapenzi mema kuwa bado naendelea kupokea michango mbalimbali itakayoniwezesha kwenda kuwaona Nguli wa futiboli Duniani.
Shukrani zangu za dhati ziwaendee wote walioonyesha nia ya kunisaidia kama akina Tete'a'tete,Roya roy,Masanilo na Genekai.Pia shukrani ziwaendee Ubungo ubungo,Fab na Mundu kwa upeo wao wa kuelewa na hata kumpa majibu stahiki ndugu Kiranga aliyekuja na shutuma lukuki kwa sababu eti nimeitisha harambee hii.
Ndugu Kiranga naomba uelewe kuwa hii ni haki yangu na nimethubutu ku-talk openly kama jinsi moto ya jeiefu ilivyo.Shutuma zako za kunikejeli naona hapa sio mahali pake na jaribu kuwa na hekima(huwa inatafutwa).Hata serikali yetu nayo inaomba ije iwe mimi?( sihalalishi uombaomba lakin hii ndio hali halisi)
Na kwa wale walioonyesha moyo wa kunichangia lakini kwa masharti fulani fulani nawaambia wazi SIPO TAYARI kupokea mchango kwa sharti la aina YOYOTE(Mtanisamehe).Kutoa ni moyo na si masharti.
Nawatakia siku njema na mbarikiwe na Bwana mnapoendelea na utoaji.

Charity mie pia nasisitiza tunapohitaji msaada lazima tuombe kusaidiwa .....Mie naungana na wewe kuchangisha ..
najua sitaweza kuwaona tena Brazil live wakishaondoka TZ .....ni kweli nina TV ya nchi 14 inaweza kunisaidia sana kuangalia hizi mechi......Lakini tuendelee na harambee ..
Kuna changia CCM uchanguzi ...sirikali haina fungu???? mbona tunaombwa kuchangia
Changia.......changia ...tafadhari kutoa ni moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom