Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

Wanabodi,

Baada ya kuja na mbinu za kisiasa tofauti tofauti hatimaye Dr Slaa, kaja na mbinu mpya ambayo ni harakati bila mikatati na mbinu dhaifu.

Dr Slaa sasa kaanza mkakati wa kutaka aonewe huruma na wananchi kutokana na kile anachokiita kufuatwafuatwa na vyombo vya dola kwa ni ya kutaka kumuua, inashangaza Dr Slaa kubadili mwelekeo wa siasa zake za kutaka nchi isitawalike na kuomba huruma kwa wananchi.

Neno kutaka kuniua ni zito sana ni jinai ndio maana mtu akitishiwa kuuwawa anakimbilia polisi kutoa taarifa na kupatiwa RB. Hakuna aliyeko juu ya sheria ambaye anaweza kumtishia kuua kiongozi kama Dr Slaa halafu akaachwa tu eti yeye ni usalama wa taifa.

Dr Slaa anasema hana imani na taasisi za dola, huyo huyo anayelilia kutaka kwenda Ikulu sasa akifika huko atafanya kazi na taasisi gani, Itakumbukwa mwaka 2010 Dr Slaa aliwangoza viongozi wa chama chake kupinga matokeo ya urais lakini wakikubali matokeo ya ubunge na udiwani. Alikuja na msamiati wa kuchakachuliwa kura zake bila ushaidi.

Dr Slaa kama hana imani na uongozi wa rais Kikwete ilikuaje yeye pamoja na viongozi wenzake kuwa watu wa kwanza kwenda Ikulu kuonana na rais Kikwete katika mchakato wa katiba...hivi Dr Slaa kweli hujui kwamba hii amani na utulivu tunayojivunia Watanzania tangu tupate uhuru wetu inatokana na uimara wa taasisi zetu za dola.

Wewe ni usalama wa taifa au umetumwa,kaa pembeni huna hoja.
 
Masopakyindi, au ndio mtumikie kafiri upate mradi wako? See mwakyembe, mwandosya, dr uli, mwanjisi nk! Sio wanafiki!
 
We all know the mwanjisi?s died for their prudence those days, we know the mwakyembe?s plot! The ulimboka?s etc!
 
Kama wewe ni kyusa utakuwa c original! Najua wa huko they call a spoon spoon! Wewe je? Yuo call it a little spade shame
 
Hujambo ritz,habari za kazi.
Hivi nafasi za ukuu wa wilaya bado zipo?
Changamka imebaki miaka mitatu baada ya hiyo miaka itabakia history kama uchifu.
 
Mimi siku zote najiuliza , mtu akitaka nchi istawalike ana maana gani.
Kutotawalika ni kwa aina gani?
Tuna mifano kama Somalia na hivi karibuni kuna Syria.
Je huko ndiko CHADEMA ilikoelekeza macho yake? ili mradi tu wapate kutawala?

Aombaye gharika, na hana hata boti, asitegemee weledi wake wa kuogelea, atachukuliwa na maji tu.

Mkuu wangu hawa Chadema kama unakumbuka walianza kufanya maandamano ya ajabu yenye lengo la kuvamia kituo cha polisi mjini Arusha kilichokuwa na silaha za moto, haijulikani kama azma yao ingefanikiwa sijui ingekuaje.
 
Chadema haiwezi kuwaambia wananchi kwamba CCM imeshindwa hili na sisi tutafanya hili na lile, ndio maana wamebakia kuwa watu wa kudandia matukio na kuyatolea kauli za ajabu ili waendelee kusikika kwa wananchi kwamba bado wapo kwenye harakati za kisiasa.
 
Hawa ndio wafuasi wa Chadema angalia majibu yao.

Aibu, mi si mfuasi wa chama chochote lakini nasoma hoja za wale wa CCM, na CDM, lakini maneno ya wafuasi wa CDM ni aibu tupu. Mbona viongozi wao wako makini? Lakini Hawa jamaa sijui wehu hawa?
 
Sasa hivi tena Chadema saizi tena wamedandia suala la Dr Ulimboka kutekwa nyara, ambalo kimsingi ni suala la jinai na sio la kisiasa, kama wanavyotaka kuushawishi umma.
 
Kati ya watu wanaoandamwa tz hii ni dr slaa.
Uzuri ni kwamba kila kashfa inayokuja hamyumbishi kamanda huyu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kweli wewe ni brain dead idiot!

Sasa sijui wewe unafuata mkumbo au ndio Chadema-Kata..Chadema hii ni janga la taifa juzi tena tumeona wamedakia suala la mgomo wa madaktari na kutaka kuligeuza liwe mtaji wao wa kisiasa wa kujinadi na kusikika kwa wananchi wakati inajulikana na wote kwamba mgomo ni suala la kikazi linalohusu maslahi na kwa hiyo ufumbuzi wake ni kati ya mwajiriwa na mwajiri wake, kama ni mjadala utakuwa baina ya pande mbili zinazohusika mwajiri na mwajiriwa hakuna upande wa tatu wa aidha bunge ama chama cha siasa, lakini Chadema hasa akina Mnyika na Mbowe na Slaa walitaka mgomo ujadiliwe bungeni.
 
Hizi si tuhuma za kwanza za Dr Slaa kwa usalama wa taifa mwaka 2010 alisema usalama wa taifa kushirikiana na tume ya uchaguzi imeingiza makontena ya kura za bandia kutoka Afrika Kusini polisi walipoyakamata hayo makontena wakayafungua mbele ya viongozi wa Chadema na kubainika hayakuwa na kura bandia bali ni Vipodozi! Viongozi wa Chadema wakaonekana waongo na wazushi.
Mkuu naona umetoka na single mpya unatafuta hela ya futari kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom