Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

Sasa sijui wewe unafuata mkumbo au ndio Chadema-Kata..Chadema hii ni janga la taifa juzi tena tumeona wamedakia suala la mgomo wa madaktari na kutaka kuligeuza liwe mtaji wao wa kisiasa wa kujinadi na kusikika kwa wananchi wakati inajulikana na wote kwamba mgomo ni suala la kikazi linalohusu maslahi na kwa hiyo ufumbuzi wake ni kati ya mwajiriwa na mwajiri wake, kama ni mjadala utakuwa baina ya pande mbili zinazohusika mwajiri na mwajiriwa hakuna upande wa tatu wa aidha bunge ama chama cha siasa, lakini Chadema hasa akina Mnyika na Mbowe na Slaa walitaka mgomo ujadiliwe bungeni.

huna jipya majungu tu yamekutawala mzee wewe'
 
Hizi si tuhuma za kwanza za Dr Slaa kwa usalama wa taifa mwaka 2010 alisema usalama wa taifa kushirikiana na tume ya uchaguzi imeingiza makontena ya kura za bandia kutoka Afrika Kusini polisi walipoyakamata hayo makontena wakayafungua mbele ya viongozi wa Chadema na kubainika hayakuwa na kura bandia bali ni Vipodozi! Viongozi wa Chadema wakaonekana waongo na wazushi.
Polisi wa nchi gani unawazungumzia? Kama ni polisisiemu basi utakuwa na wewe umechanganyikiwa kama Mwigulu. Mbona huelezi gari lililokamatwa na kura hewa Mkoani Mara zote zikiwa zimeshapigiwa kwa mgombea wa ccm zilikwenda wapi? Wewe ni kama hujifahamu wenzako wakishakutumia watakavyo wanakutupa kama toilet paper au ndoo zitumikazo ktk ujenzi.
 
Du kilaza na shoga wa ccm huwa hawana hoja mbona kijana unatumika kama condom ambayo imeshatumika itakupasukia utajuta
 
Kweli CCM ina madudu na uozo mwingi tu kwa sababu ambazo wote tunazijua, kulewa madaraka kwa viongozi wake wapumbavu, maana si wote werevu ingawa wapo ambao ni wazuri sana ambao kwa sasa wanawakati mgumu kukookoa chama kutoka mikononi mwa wapumbavu wachache wanaokiletea sifa mbaya chama na kushabikia ujinga.

Isipokuwa, mashabiki wote w CHADEMA humu ndani mmenisikitisha saaaaana sana, ninajua mnazungumzia ushabiki wa kisiasa ila, hakika ninawaambia, kama hamtafuata falsafa ya hoja na kujenga hoja na kupangua hoja kwa busara na uwerevu wa kipimo kinachoheshimika, basi haya mnayofanya katika majibu yote hapo juu pamoja na hasira, mwenye kujua naweza akapima, ni aibu tupu. Sitaki kukubali kuwa mnawakilisha mawazo ya CHADEMA bali yenu wenyewe. Msisahau, mimi ni CCM, lakini sisiti kukosoa viongozi wa CCM hasa pale ambapo siridhishwi na mambo fulani.

Mimi nitafurahi CHADEMA wakichukua nchi, ila hofu yangu kubwa ni kama jinsi mnavyojadili hoja humu ndio mlivyojipanga, basi si Bungeni wala serikalini kitaeleweka, maana kama mnajibu watu kwenye siasa hivi, hata ndani ya serikali kwenye maswala nyeti sitashangaa majibu yakawa haya. Onysheni mfano watu tuone wivu na tuvutiwe kwa jinsi mnavyowaza na kupangua hoja.

BADILIKENI!
 
Hivi, vile vinasa sauti vilivyotegeshwa chumbani kwa Dr Slaa kule Dodoma kesi iliishaje?...Mkuu wacha vita ya mawe wakati uko nyumba ya vioo..
 
Nini kilimtuma kwenda kwenye mkutano usiomhusu na kuanza kurusha mawe? Kipi kilistahili kujadiliwa bungeni katika ya mgomo wa madaktari na huyu mrusha mawe? Au Mwigulu na ugonjwa wake wa akili ni wa mhimu sana bungeni kwa vile anatoka chama cha mabwepande? Huna hoja wewe na uache machozi ya mamba, pokea fedha haramu ya Nape kwa kazi haramu ya kutetea machinjachinja na mafisadi wa mabwepande kioja we!

Kwa mujibu wa Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida Linus Vicent Sinzumwa, kashifa hizo zimetolewa na viongozi hao wa CHADEMA, Julai kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vilivyo karibu na kituo cha mabasi, pia karibu kabisa na kituo kidogo cha polisi cha Ndago, ambapo viongozi hao wanatuhumiwa kutoa kashifa hizo dhidi ya Mwigullu.
Sinzumwa amesema baada ya viongozi hao kuacha kueleza sera za chama chao na kuanza kumkashifu Mwigullu, baadhi ya wananchi waliwataka kuacha mara moja kumkashifu mbunge wao, lakini viongozi hao walipuunza maombi hayo ya wananchi.
Amedai kitendo hicho kilichochea kutokea kwa vurugu ambazo mwisho wake, ulipelekea kikundi cha wanachama wa CHADEMA kumuuwa Yohana Mpinga kwa kumpiga kwa fimbo na mawe.
 
Kweli CCM ina madudu na uozo mwingi tu kwa sababu ambazo wote tunazijua, kulewa madaraka kwa viongozi wake wapumbavu, maana si wote werevu ingawa wapo ambao ni wazuri sana ambao kwa sasa wanawakati mgumu kukookoa chama kutoka mikononi mwa wapumbavu wachache wanaokiletea sifa mbaya chama na kushabikia ujinga.

Isipokuwa, mashabiki wote w CHADEMA humu ndani mmenisikitisha saaaaana sana, ninajua mnazungumzia ushabiki wa kisiasa ila, hakika ninawaambia, kama hamtafuata falsafa ya hoja na kujenga hoja na kupangua hoja kwa busara na uwerevu wa kipimo kinachoheshimika, basi haya mnayofanya katika majibu yote hapo juu pamoja na hasira, mwenye kujua naweza akapima, ni aibu tupu. Sitaki kukubali kuwa mnawakilisha mawazo ya CHADEMA bali yenu wenyewe. Msisahau, mimi ni CCM, lakini sisiti kukosoa viongozi wa CCM hasa pale ambapo siridhishwi na mambo fulani.

Mimi nitafurahi CHADEMA wakichukua nchi, ila hofu yangu kubwa ni kama jinsi mnavyojadili hoja humu ndio mlivyojipanga, basi si Bungeni wala serikalini kitaeleweka, maana kama mnajibu watu kwenye siasa hivi, hata ndani ya serikali kwenye maswala nyeti sitashangaa majibu yakawa haya. Onysheni mfano watu tuone wivu na tuvutiwe kwa jinsi mnavyowaza na kupangua hoja.

BADILIKENI!
Profesa mkuu wangu,

Maneno mazito sana haya umeyasema ni ushauri wa ujenzi...
 
Last edited by a moderator:
Du kilaza na shoga wa ccm huwa hawana hoja mbona kijana unatumika kama condom ambayo imeshatumika itakupasukia utajuta

Hawa ndio wana Chadema wanataka tuwakabidhi nchi watutawale.....
 
Ulitaka Dr. Slaa auawe kama Kombe enzi hizo ndiyo tuseme hayo maneno yana ukweli?, kifupi kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo dola inavyokosa kuaminiwa, na ukweli ni kuwa mbele ya safari hata kama tetesi ikitokea wengi wataamini, niheri kuamini tetesi kabla ya mauaji kuliko kutoamini halafu yatokee maafa. kwa hili la Dr. Slaa na wenzake naamini kuna ukweli wa kiasi kikubwa, kama ni uwongo wa Dr. Slaa si amesema apelekwe mahakamani (ingawa mahakama zenyewe ni za CCM) lakini amekubali ashitakiwe akathibitishe mahakamani, sasa mbona imeshindikana?
 
Kwa maneno yako Mwigulu nae anae tangaza kutishwa anatafuta huruma ya watanzania? na Huyo naibu waziri nae? mi naona wewe ndie uliekosa hoja baddalayake unaleta uongo
 
Mkuu wangu hawa Chadema kama unakumbuka walianza kufanya maandamano ya ajabu yenye lengo la kuvamia kituo cha polisi mjini Arusha kilichokuwa na silaha za moto, haijulikani kama azma yao ingefanikiwa sijui ingekuaje.

Wakuu,
Kinachosikitisha kuliko vyote,baada ya mauaji ya Arusha ambayo yangeweza kuzuilika,waliopoteza maisha ni wananchi wasio na hatia,kwa vurugu zilizosababishwa na huyu Slaa. Wazee wengi wanapozeeka huwa na busara amayo ni adimu kuipata kwa kijana,lakini huyu mzee kadiri anavyozeeka ndio anazidi kuwa mfitini,mnafiki bila aibu. Nadhani na frustrations alizo nazo zinachangia. Tujiulize,hivi familia zilozopoteza ndugu zao leo hii CDM inawasaidia nini baada ya kufiwa ndugu zao,ambao walikuwa na nguzo katika familia zao. Ni chama gani na staili gani hii ya kutumia damu ya watanzania maskini na vijana wasio na elimu kupata popularity? Hivi hata mkipewa hii dola mtajisikiaje kutawala nchi na mikono yenu ikiwa imejaa damu za watu.? Shame on you!! Eti serikali inataka kumuua Slaa,kwa lipi? Eti hadi Lema,Mnyika nao wanataka kuuliwa,kwa lipi? Hawa jamaa wana mbinu chafu sana za kujenga chama,wanajidanganya kuwa kujichonganisha na serikali na kujisingizia vifo ndio njia ya kupata support ya watanzania? Serikali iliyoko madarakani kwenye utawala huu haina haja ya kufanya hivyo. Hivi nyie hizi dola na taasisi mnazozitukana hivi mnazijua vizuri utendaji wake kazi au mnaropoka tu! Mnaijua vizuri TISS au mnaisikia?
Vijana wenzangu,kaeni mjitafakari,CDM haitawasaidia chochote zaidi ya kuvuruga amani yetu kwa machafuko yasiyo na tija. Tunapenda mabadiliko,lakini CDM sio chama cha kuleta positive changes hata kidogo.Hiki ni chama kilichojaa ukabila na udini na si lingine,hivyo hawana hadhi ya kuongoza nchi hii. Mark my words, CDM kufika 2015 mbivu na mbichi zitajulikana,na hata hii asilimia kidogo ya uwakilishi waliyonayo itashuka sana.
 
Dr. W Peter Slaa (PhD) Ni Kama Njaa, Dr. W. Peter Slaa (PhD) ni Kama Mvua Imekumba CCM sasa wanaweweseka
 
ritz,angalia kwa Mwakyembe kwanza,kabla ya kuugua alishapiga kelele za kuuwawa na riport alipeleka polisi,mzee sita alisema hadharani Mwakyembe amepewa sumu,je sumu hiyo ilikuwa inaongeza maisha?Mbona six hakuojiwa?
 
Wanabodi,

Baada ya kuja na mbinu za kisiasa tofauti tofauti hatimaye Dr Slaa, kaja na mbinu mpya ambayo ni harakati bila mikatati na mbinu dhaifu.

Dr Slaa sasa kaanza mkakati wa kutaka aonewe huruma na wananchi kutokana na kile anachokiita kufuatwafuatwa na vyombo vya dola kwa ni ya kutaka kumuua, inashangaza Dr Slaa kubadili mwelekeo wa siasa zake za kutaka nchi isitawalike na kuomba huruma kwa wananchi.

Neno kutaka kuniua ni zito sana ni jinai ndio maana mtu akitishiwa kuuwawa anakimbilia polisi kutoa taarifa na kupatiwa RB. Hakuna aliyeko juu ya sheria ambaye anaweza kumtishia kuua kiongozi kama Dr Slaa halafu akaachwa tu eti yeye ni usalama wa taifa.

Dr Slaa anasema hana imani na taasisi za dola, huyo huyo anayelilia kutaka kwenda Ikulu sasa akifika huko atafanya kazi na taasisi gani, Itakumbukwa mwaka 2010 Dr Slaa aliwangoza viongozi wa chama chake kupinga matokeo ya urais lakini wakikubali matokeo ya ubunge na udiwani. Alikuja na msamiati wa kuchakachuliwa kura zake bila ushaidi.

Dr Slaa kama hana imani na uongozi wa rais Kikwete ilikuaje yeye pamoja na viongozi wenzake kuwa watu wa kwanza kwenda Ikulu kuonana na rais Kikwete katika mchakato wa katiba...hivi Dr Slaa kweli hujui kwamba hii amani na utulivu tunayojivunia Watanzania tangu tupate uhuru wetu inatokana na uimara wa taasisi zetu za dola.
:A S-baby: Umetumwa leo ulete ujinga wako hapa? Vyombo vya dola ndivyo vinatuhumiwa kuua raia wema badala ya kuwalinda, kwa hiyo dola inaweza kuaminiwa kwa hayo inayofanya? You must be fool.
 
wanabodi,baada ya kuja na mbinu za kisiasa tofauti tofauti hatimaye dr slaa, kaja na mbinu mpya ambayo ni harakati bila mikatati na mbinu dhaifu.dr slaa sasa kaanza mkakati wa kutaka aonewe huruma na wananchi kutokana na kile anachokiita kufuatwafuatwa na vyombo vya dola kwa ni ya kutaka kumuua, inashangaza dr slaa kubadili mwelekeo wa siasa zake za kutaka nchi isitawalike na kuomba huruma kwa wananchi.neno kutaka kuniua ni zito sana ni jinai ndio maana mtu akitishiwa kuuwawa anakimbilia polisi kutoa taarifa na kupatiwa rb. Hakuna aliyeko juu ya sheria ambaye anaweza kumtishia kuua kiongozi kama dr slaa halafu akaachwa tu eti yeye ni usalama wa taifa.dr slaa anasema hana imani na taasisi za dola, huyo huyo anayelilia kutaka kwenda ikulu sasa akifika huko atafanya kazi na taasisi gani, itakumbukwa mwaka 2010 dr slaa aliwangoza viongozi wa chama chake kupinga matokeo ya urais lakini wakikubali matokeo ya ubunge na udiwani. Alikuja na msamiati wa kuchakachuliwa kura zake bila ushaidi.dr slaa kama hana imani na uongozi wa rais kikwete ilikuaje yeye pamoja na viongozi wenzake kuwa watu wa kwanza kwenda ikulu kuonana na rais kikwete katika mchakato wa katiba...hivi dr slaa kweli hujui kwamba hii amani na utulivu tunayojivunia watanzania tangu tupate uhuru wetu inatokana na uimara wa taasisi zetu za dola.
tunajua watu tuna vyama vyetu vya siasa,ni haki ya msingi lakini kuwa na vyama au shabiki wa vyama husitufanye kuwa mazezeta wa kufikiri. Hivi we ndugu issue ya kutishiwa kuuwawa umeanza kuisikia kutoka kwa dr slaa? Hebu turudi nyuma kidogo tuone jinsi nchi yetu ilivyogeuka kuwa ya kijambazi na kitekaji, leo hii tanzania imefikia hatua mtu ambaye ni waziri katika serikari anatoa tuhuma na ushaidi wa kutaka kuuwawa.huyu ni waziri kaka hukumbuki dr mwakyembe alivyolalamika?vipi umesahau issue ya samweli sitta? Hatua gani jeshi la polis limefikia? Juzi mke wa dr mwakyembe akitoa mchango wake kwa kanisa kama sehemu ya shukurani kwa mungu anasema "wamewasamehe waliotaka kumuua dr" vipi kauli hii ni kwamba mh waziri na familiya yake wanawafahamu waliotaka kumua .sasa huyu ni waziri anawafahamu wauaji lakini hana jinsi hawawezi kushughulikiwa alafu unasema dr slaa anatafuta huruma.
 
Nimekutana na kukaa na dr Slaa mara kadhaa. Nimemsikiliza akiongea na kutoa hoja. Ila bado napata shida, ana tofauti kubwa sana ya jinsi anavyofikiri, kutoa hoja na jinsi nyinyi mnaodi kuwa wafuasi wa CHADEMA mnavyowasilisha hoja humu. Mkuu huyu akishambuliwa kisiasa huwa anajua na hoja isiyokuwa na kichwa wala miguu hajibu hata siku moja, maana anajua ni kujidhalilisha. Na hajibu utumbo kama wengi wenu mnavyojibu, yawezekana mtoa mada hakubaliki lakini haumkatai kwa staili hiyo, unakidhalilisha chama chako.
 
Back
Top Bottom