Harakati bila mikatati na mbinu dhaifu za Dr Slaa

Mkuu JF sio sehemu ya porojo...
Mwenyekiti Mstaafu wa UWT Mkoa wa Shinyanga na mmoja wa waasisi wa CCM Bi. Jennyrose Kigola akimsalimia kwa hisia Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili ikulu ndogo mkoani Shinyanga jana . Kushoto pembeni ya Rais ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
rais-kikwete-azindua-kilimo-kwanza-maswa


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika. Jengo hili liko nyuma ya jumba la mikutano la AICC jijini Arusha.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya maaskofu wa kanisa la African Inland Church mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa michezo wa Kirumba ambapo alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe hizo.

wewe ndio unaleta porojo. Nionyeshe mahali ambako baba aliwashukuru wananchi kwa kumchagua
 
Hizi si tuhuma za kwanza za Dr Slaa kwa usalama wa taifa mwaka 2010 alisema usalama wa taifa kushirikiana na tume ya uchaguzi imeingiza makontena ya kura za bandia kutoka Afrika Kusini polisi walipoyakamata hayo makontena wakayafungua mbele ya viongozi wa Chadema na kubainika hayakuwa na kura bandia bali ni Vipodozi! Viongozi wa Chadema wakaonekana waongo na wazushi.

Mbona mnahaingaika kuchakachua na uchunguzi bila mafanikio? Waliwaona waongo na wazushi na magamba; mimi nina ushahidi wa ukweli huo ila kuuweka hapa ni sawa na kuwapa mbwa chakula cha watoto
 
Back
Top Bottom