Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,918
- 32,335
- Thread starter
- #41
Mkuu naona umetoka na single mpya unatafuta hela ya futari kwa nguvu zote
Naona saizi Dr kaja na mbinu mpya kuwa usalama wa taifa wanataka kumuua ili wananchi wamuhurumie amemua kufata mkondo wa Dr Augustino Mrema mwaka 1995 alivyokuwa anaomba ahrumiwe na wananchi kwa mambo ya uongo, yakiwamo ya kutaka kuuwa na vyombo vya dola.