Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
aisee piijeei HIVI KAZI NILIYOKUPA ILIKUSHINDA KABISA?
:sick::sick::sick:
aisee piijeei HIVI KAZI NILIYOKUPA ILIKUSHINDA KABISA?
Mchakato unaendelea broda, na ndo niko kwenye hatua za mwisho kuikamilisha!aisee piijeei HIVI KAZI NILIYOKUPA ILIKUSHINDA KABISA?
hivi ulikosa wa kumpa eee?
Mchakato unaendelea broda, na ndo niko kwenye hatua za mwisho kuikamilisha!
Tegemea majibu soon, lakini kwa kukudokezea tu ni kwamba huyu m-bidada sasa hivi ameanzisha mawasiliano ya karibu na MTM!, JAMBO AMBALO LINAMUUMA SANA kIMMEY!
Aisee Hommie!
Hongera kwa siku ya kuzaliwa.
Sababu nyingine ya kukutana na kujadili mada ya kuzidi kulisogelea kaburi.
Mada: Besidei
Location: JJ pa ukweli
Mgeni rasmi: Kimey
Mdadhili: Big Braza ODM
Mtoa mada: Mjukuu Mtiifu Mj1
Mpanga meza: Vere vere GY
Taxi Driver: Mfalme Wa Amani Teamo TI
Mhesabu bili: Crap The Finest
Mlipa bili: Crapiest Fake Ze BigiiRiita
Wageni waalikwa mabibi na mabwana: MTM, LD, Festiledi, JS, Askofu, Kaizer, Fidel,....
Arusha Wing Nao Mnakaribishwa makao makuu...Mje na Invizibo
Happy Besdei Homu boy!
:clap2:opcorn::roll::tea::laugh::msela::drum::behindsofa::cheer2::lalala::A S-heart-2::A S kiss::bange::violin:eep::emptybath:
sasa wiselady mi nadhani swala hili tulimalize mimi na wewe...!
haiwezekani mshenga anatumwa halafu anatokomea NGARENARO......!kama DOGO JANJA
hahaha dongo janja ni mtoto wa PJ ujue,,tuachane na washenga it should be me n u
tena mshenga mwenyewe PJ!!!!!!!!!!!!!!!
kwani wewe hujaona kalenda ya JF? au nikupe miwani?
Babu sahau alika mimi:A S 20:
Thanx dear!
Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote ushauri wao umeniltea mafanikio mema,
Sasa naishi na watu vizuri eee!
Ulivyo msanii, najua utam'break-heart Teamo soon!...hahaha dongo janja ni mtoto wa PJ ujue,,tuachane na washenga it should be me n u
tena mshenga mwenyewe PJ!!!!!!!!!!!!!!!
Ulivyo msanii, najua utam'break-heart Teamo soon!...
Shida ya Teamo ni kwamba akishapenda anauza nyumba ya URITHI ILI ili ajenge HESHIMA kwako!
Sasa bora astuke mapema, nisham-DIPU, atanipigia sasa hivi!!