Happy birthday kimey!

taratibu basi pj usiniharibie mambo mengine ni mm na wewe bana,,,niachie mfalme wa amani kwa leo maana umezidi sasa

Hivi hii birthday party leo ni ya kimey au teamo? sielewi elewi hapa
 
1008-092-29-1068.gif

god bless u .i hope your all wishes may completed ………..
 
HAHAHA!
ameanzisha mawasiliano na MTM?...

SEMA KWELI?!...
[/QUOTE]

Mkuu nikudanganye nina raha gani?

Sasa wewe kama unataka kuhakikisha jambo hili, wasiliana na MTM, muulize kuanzia wiki hili atakuwa mkoa gani, na atafikia kwenye chumba cha mtu wa aina gani!...
Mi nakwambia bana ukweli bana!
 
taratibu basi pj usiniharibie mambo mengine ni mm na wewe bana,,,niachie mfalme wa amani kwa leo maana umezidi sasa
Si umeona eeh!
Si umeona eehhh!

Anasema nimwachie uhuruKWA LEO!.. ha ha haaa..mi ni kisema naonekana saundi!..
Sasa kwanini ampende mtu KWA LEO tu?..Hujiulizi mkuu Teamo?..
Nanihiino utamjua tu!
 
hahahaha!
lakin huyu MTM huyu....!

ngoja,will personnally deal with him
 
Hi
Mkuu wetu,
Hongera sana kiongozi...Naagiza Voice-Of-Reason moja, bili kwako!

Labda nikutaarifu kuwa Head-Office ya JF iliyopo Arusha imeanzisha utaratibu maalum wa kutuma zawadi kwa wale wote wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa!
Zawadi zako nyingi sana zimekabidhiwa kwa m-bidada aliyeleta ujumbe huu jukwaani, (..japokuwa kwa sisi huku huwa HATUMWAMINI KABISA, nina kisa ambacho nitakileta kama thread!)

All in all, enjoy hizo zawadi, na tunategemea feedback!
Hahah mkuu PJ thanx for ya wishes! Natumaini zawadi zitanifikia! Hahaha hapo ulipoandika na chaki naisubiri!
 
Happy Birthday Kimey.....pole kwa jana mwanangu mpenzi...aunt anajua soma nyota eeh....lol
Have fun today,long live with abundance of love and blessings from our almighty God.......cheers!
 
"Huku ninakoishi ni mbali sina ndugu!

Najiona kwamba, niko nyumbani....najiona kwamba, niko nyumbani ee mama....."

Habari yake hommie

Happy besidei ya kuzaliwa bana..

Ujumbe wa leo, "usipoutwanga, utaula mbichi"
Thanx hommie nimeupata ujumbe ntaufanyia kazi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom