Happy birthday kimey!

aisee piijeei HIVI KAZI NILIYOKUPA ILIKUSHINDA KABISA?
Mchakato unaendelea broda, na ndo niko kwenye hatua za mwisho kuikamilisha!
Tegemea majibu soon, lakini kwa kukudokezea tu ni kwamba huyu m-bidada sasa hivi ameanzisha mawasiliano ya karibu na MTM!, JAMBO AMBALO LINAMUUMA SANA kIMMEY!
 
HAHAHA!
ameanzisha mawasiliano na MTM?...

SEMA KWELI?!...
 
Aisee Hommie!

Hongera kwa siku ya kuzaliwa.

Sababu nyingine ya kukutana na kujadili mada ya kuzidi kulisogelea kaburi.

Mada: Besidei
Location: JJ pa ukweli
Mgeni rasmi: Kimey
Mdadhili: Big Braza ODM
Mtoa mada: Mjukuu Mtiifu Mj1
Mpanga meza: Vere vere GY
Taxi Driver: Mfalme Wa Amani Teamo TI
Mhesabu bili: Crap The Finest
Mlipa bili: Crapiest Fake Ze BigiiRiita
Wageni waalikwa mabibi na mabwana: MTM, LD, Festiledi, JS, Askofu, Kaizer, Fidel,....

Arusha Wing Nao Mnakaribishwa makao makuu...Mje na Invizibo

Happy Besdei Homu boy!

:clap2::popcorn::roll::tea::laugh::msela::drum::behindsofa::cheer2::lalala::A S-heart-2::A S kiss::bange::violin::peep::emptybath:

Babu sahau alika mimi:A S 20:
 
sasa wiselady mi nadhani swala hili tulimalize mimi na wewe...!

haiwezekani mshenga anatumwa halafu anatokomea NGARENARO......!kama DOGO JANJA

hahaha dongo janja ni mtoto wa PJ ujue,,tuachane na washenga it should be me n u
tena mshenga mwenyewe PJ!!!!!!!!!!!!!!!
 
Happy birthrday Kimey,
Mungu akujalie uishi miaka mingi mpaka usahau mwaka na tarehe uliozaliwa.
 
Thanx dear!
Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote ushauri wao umeniltea mafanikio mema,
Sasa naishi na watu vizuri eee!

"Huku ninakoishi ni mbali sina ndugu!

Najiona kwamba, niko nyumbani....najiona kwamba, niko nyumbani ee mama....."

Habari yake hommie

Happy besidei ya kuzaliwa bana..

Ujumbe wa leo, "usipoutwanga, utaula mbichi"
 
hahaha dongo janja ni mtoto wa PJ ujue,,tuachane na washenga it should be me n u
tena mshenga mwenyewe PJ!!!!!!!!!!!!!!!
Ulivyo msanii, najua utam'break-heart Teamo soon!...
Shida ya Teamo ni kwamba akishapenda anauza nyumba ya URITHI ILI ili ajenge HESHIMA kwako!
Sasa bora astuke mapema, nisham-DIPU, atanipigia sasa hivi!!
 
taratibu basi pj usiniharibie mambo mengine ni mm na wewe bana,,,niachie mfalme wa amani kwa leo maana umezidi sasa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom