Thanx dear!
Pamoja Lizzy, thanxHongera kwa kuongeza mwaka!Uishi kuongeza mingine mingi!
Thanx dear!
Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote ushauri wao umeniltea mafanikio mema,
Sasa naishi na watu vizuri eee!
Hahaha kamanda si mchezo ku blow a hundred candles! Thanx for ya wish!
Mkuu utu uzima huu huwezi kwepa hii! Thanx!
Hehehe na wadhungu tunajibu Thanks mkuu for your wish!Wadhungu wanathemaga long live kimey!
Pamoja wit! ThanxHongera sana mkuu,Mungu akufanikishe na akupe maisha marefu
Hehehe thanx mshiki! Alafu mishkaki itanirudisha moro!Happy birthday dearest. mzima ww karibu mishkaki
Thanx kamanda kuna kaubeti kanasema! "huku niliko wazazi wangu sina ndugu,