Happy birthday kimey!

Happy Birthday Kimey.....pole kwa jana mwanangu mpenzi...aunt anajua soma nyota eeh....lol
Have fun today,long live with abundance of love and blessings from our almighty God.......cheers!
Khe Kheee Kheeee nataka niongelee jana ila nitaharibu Bday halafu na wewe ujue kutangulia sio kufika mlifikiri zile 4 ndio mlikuwa mmemaliza
 
Happy Birthday Kimey.....pole kwa jana mwanangu mpenzi...aunt anajua soma nyota eeh....lol
Have fun today,long live with abundance of love and blessings from our almighty God.......cheers!
Hahaha Thanx Michelle! Mi ya jana hata cyajui nilikua tumboni mwa mama! Lol!
 
Mchakato unaendelea broda, na ndo niko kwenye hatua za mwisho kuikamilisha!
Tegemea majibu soon, lakini kwa kukudokezea tu ni kwamba huyu m-bidada sasa hivi ameanzisha mawasiliano ya karibu na MTM!, JAMBO AMBALO LINAMUUMA SANA kIMMEY!
Yesu wangu, mnaongelea nini hapa? mdada gani?
 
nimegundua kuwa MASLAHI YANGU HALISI piijeei ameyaweka rehani
 
Hakyanani sikubali, yani nasemwa halafu mnanipotezea... Pijei, nimeshabuku chumba Arachuga... jioni freedom kwa supu ya kongoro mazee, nazichanga nije na n'tu wangu mwenyewe fide
 
kuna vimbwa vitano nimevtuma apo sumr ebu kavichek saa 7 vtakuw avmewasili apo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom