Handbag ya Madam

Mimi sikagui bag ila napenda kumnusa mke wangu bila yeye kujua. Sababu huko mtaani naona jinsi wake za watu wanavyodandiwa nikaamua kuchunga mzigo wangu angalau aki cheat nitajua viharufu tofauti. Juzi juzi nimesikia harufu ya vile visabuni vya guest nilivijua enzi sijaoa nimeamua nitamfuatilia siku isiyo jina na yatakayotokea nitawawekea hapa jamvini.
 
mi naona poa tu... ila huyu wako kanishangaza kwa nini anafanya kwa siri (kama mwizi) ? Ajiamini tu na tena labda angekuwa hajifichi huenda hata wewe usingechukia kihivooooo. Mimi wangu huwa anatizama mara moja moja but naona powa anachoniuzi akimaliza harudishi vitu jinsi alivyovikuta.. either aviache hapo kwa kitanda au anavitupia tu.
 
Naima79 pole sana. huyu jamaa anakuhisi tu vibaya na kama huna jambo lolote ubaya juu yake, mwache asachi hiyo handbag iko siku ataacha
 
mimi sioni tatizo mume kukagua handbag ya mke na mke kukagua wallet au mifuko ya suruali ya mumewe,hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi labda kama una mambo yako mengine
 
Back
Top Bottom