Madame Joy(Mwalimu wangu wa mathe)

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,289
Huyu ni mwalimu wangu alie tufundisha somo la hesabu tukiwa form two. Ni madam ambaye alijaaliwa uzuri wake alikua mweupe kapanda hewani na anabonge la shepu yaani sijui hata kwa nn alikua mwalimu wakati watu kama yeye tunawaona bank au kwenye sanaa au makampuni ya simu.

Shule yetu ilikua na mpangilio huu form one na form two tunatengenishwa na wanawake ila tunakuja kuungana nao form 3,4.

Basi siku nisiyo ikumbuka alikuja mwalimu wa darasa kaongozana na huyo madam na kutambulishwa kuwa ndio atakua mwalimu wetu wa namba. Kama darasa tulibaki kushangaa shangaa tu.

Basi mwalimu wa darasa akaondoka na kutuacha nae basi ndipo utambulisho rasmi ulipo anza karibu kipindi chote tulikua tunajitambulisha na kusema unapenda nn katika hesabu basi kila mtu akasimama na kufanya hivyo na kama kuna kitu cha ziada unapewa chaki na kwenda kuandika ubaoni.

Kipindi kilivyo isha maana hatujawahi kukutana na utambulisho wa aina ile kila mtu ni kama akawa ameanza kumpenda madam ..maana alikua na sauti nzuri , mwenye tabasam na mcheshi. Alikua ukimuuliza hata swali la nje academically alikua anajibu kifupi alifuti akili zetu.

Akisimama pale mbele na shepu yake akiandika ubaoni basi tunafurahi sana hasa kwa mistari ya chupi inayo jichora kwa mbaali kwenye suti yake.

Basi huyu madam alitufanya tulipende sana somo lake ilifika kipindi , tulikua tunaenda kumchukua ofisin aje atufundishe hadi waalimu wenzie wakawa wanashangaa, yaani anabebewa vitu vyake hadi class na kipindi kikiisha anarudishwa oficn.

Ilifika hatua kama darasa ukionekana unazingua juu ya kitu chochote juu ya somo la namba na madam joy kama darasa unaweza kutengwa na kuonekana haufai.

Yaani ili uonekane mjanja inatakiwa ufaulu namba tulitokea kulipenda sana somo la hesabu na madam wetu. Ilifuka kipindi tukamuomba awe anakuja na jmosi kutufundisha na kutusovia past paper alafu tunachanga buku buku kama darasa akakubali..aisee darasa letu lilikua lina wakali wa namba ila ukija masomo mengine kawaida tu.

Basi pale shule kuna ticha mmoja hivi alikua anaitwa (ticha domi) huyu alikua na mate sana na madem tulipataga za chin chin alikua anamfukuzia huyu madam ila madam alimtosa. Kama darasa tulichukia sana huyu ticha na kisomo chake cha civics tulikua tunafeli wa kwanza akipata 60/100 nyingi sana.

Kiufupi yule madam hata angesema tuchome shule tungechoma maana alituteka haswa akikufuta kukuelekeza kitu kwenye dawati lako kale kapafyum kake, tabasam lake aisee burudani full kuelewa.

Kubwa zaidi alikua anatuita majina mazuri mazuri ( handsome ......., Engineer......, doctor...., ) basi ukiitwa hivyo kanakuja kamolale ka kusoma na kuto muangusha.

Ilifika hatua hadi mikondo mingine wakawa wanajiiba na kuja kwetu.

Kuna ile mitihani ya karibia na Nacte inakua ya mkoa shule yetu iliongoza kwa kufaulu namba na aliongoza alitoka class na kishule bado kama darasa tulikua na ufaulu mkubwa. Na huku somo la ticha domi tukiendelea kushika mkia

Kama ilivyo kawaida vizuri havidumu.....madam alikuja kufa kwa ajari kipindi tumefanya Nacte tukiwa tunasubiria majibu...zile Habari zilikua mbaya sana kuzisikia na kupeana taarifa yaani ilikua kama kiama hivi kwa wanafunzi wa darasa letu. Japo wengine waliona ndio fresh kwa nini tupate sisi.
 
Mbn chai kbs hii, nacte na sekondari wap na wap??
Au ndo wasomi wetu wa nacte form2, mkuu inaonyesha hat number hujawah kupata maksi juu ya umri wako, shule zkifunguliwa muulize mwl wako tofaut ya nacte na necta
 
Nadhani ni typing error alitaka kusema NECTA
 
Mkuu kapicha kidogo ka mwalimu wa mathe hata Kwa hisani ya mtandao ☺️😊
 
R I P madam Joy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom