Handbag ya Madam

My friend I realy mean it my dear take it from me..........ni kero ajabu yaani hata mimi nafungia pesa ofisini maana home hakukaliki pesa

Dah, kweli ndoa ni mtihani. Aso na hili, ana lile! Kumbe huwa tunatalikiana kwa sababu zisizo za msingi? Najiandalia kitchen party gala, naomba uwe kungwi wangu,lol. Ushungi unakuponza, ningewasha risasi moja kwenye makalio, asingerudia tena.
 
Ha ha ha nitakuja usijali nitakuwa kungwi...............eti anauliza mbona siku huna pesa kwani mshahara unapeleka wapi ukimwambia na huo ugali unakula umetoka wapi hana majibu .......................nadhani talaka kuiomba iko njiani
 
Inamaana hatoi matumizi?
 
mwekee pedi ulizotumia, tena wala usizikunje vizuri ziwe wazi wazi tu, siku saba mfululizo

lazima zimchefue tu
 
Mimi sioni cha kukuchukiza kama una uhakika huna cha kumficha mumeo ndani ya hiyo h/bag yako,muache tu aendelee iko siku atachoka,huo ndio utamu wa ndoa mama umeshaingia shurti ucheze,leo kicheko ,kesho huzuni basi ili mradi mashalianzisha mnasonga mbele,muhimu ni kuvumiliana mapungufu yenu if only you want it last longer.
 
snowhite yamenikuta kama yako looo nikitoka job
nikilala usingizi kidogo tu nikishtuka namfumania anapekua
ha ha jamani nachoka mie
mara ya kwanza nikamuuliza unatafuta nini?akanijibu naangalia hela za chenjichenji nina shida nazo loo eti mia 200 tu
mara ya pili kanijibu kwani kunaubaya nikiifungua
sasa nampango wa kuvua pedi iliyolowa nikaiweka kwa handbag nimuone ningeiweka kondom ila naogopa loo
 
Last edited by a moderator:
mi pia ni mhanga wa kukaguliwa pochi,simu, e mail zangu n.k
jamaa ana password zangu zote mpk account zangu anakagua..

mi nimeshajionea sawa tu maana nimebadilisha password mpka nshachoka
nikitoka zangu job nabwaga mpochi na simu zote hapo akague anachotaka

but sometime nabambwaga na vitu vya ajabu ajabu..
as mikoba yetu ina mambo mengi..

milipshiner,pedi,chupi, makeup lipstick,perfyume e.tc
hata hivyo tu vya kawaida nikikutwa navyo huwa ni ugomvi

nataka siku nimtegee condom na chupi ya kiume nione itakuaje!

ntakuja kuwapa story..

men are trouble makers sometimes!

tabia mbayaa!!!!!!!1
 
pole mwaya !ila sio mimi nilituma hiyo post alikuwa ni ! naima79
usimwekee pedi bwana!we mwache apekue ataacha mwenyewe!since hakuna kitu unamficha sio?though najua unakuwa unahisi privacy yako inaingiliwa na huaminiki!so muache tu!
 
Last edited by a moderator:
mi pia ni mhanga wa kukaguliwa pochi,simu, e mail zangu n.k
jamaa ana password zangu zote mpk account zangu anakagua..

mi nimeshajionea sawa tu maana nimebadilisha password mpka nshachoka
nikitoka zangu job nabwaga mpochi na simu zote hapo akague anachotaka

but sometime nabambwaga na vitu vya ajabu ajabu..
as mikoba yetu ina mambo mengi..

milipshiner,pedi,chupi, makeup lipstick,perfyume e.tc
hata hivyo tu vya kawaida nikikutwa navyo huwa ni ugomvi

nataka siku nimtegee condom na chupi ya kiume nione itakuaje!

ntakuja kuwapa story..

men are trouble makers sometimes!

tabia mbayaa!!!!!!!1

huyo mwanaume hajiamini, dawa yake akirudi tu na wewe mkague na mnuse mminye dhakari yake nk....siku mbili tu atanyooka
 
Habari zenu wapendwa, Jamani naomba mnisaidie nina tatizo dogo tu ambalo kadri siku zinavoenda naona linanikwaza, mume wangu kila nikirudi home kutoka job au popote tu lazima atavizia handbag yangu ataipekua, nimeshamkutia karibia mara 15 sikumuuliza wala sikuchukia, juzi nimemkutia tena na hafanyi hivo mbele yangu anapekua kwa usiri hivo ata kumkutia inakuwa ni bahati tu, hiyo ya juzi nilikuwa nimetoka chuo nikaenda kuweka handbag room, nimerudi sitting room nimekaa kama dakika 5 tu akaja nayeye alikuwa chumbani, akachungulia pale sitting room kaniona niko busy na mtoto akarudi tena chumbani, namie hapohapo nikaingia chumbani nikamkuta tena busy anachambua handbag yangu, jamani ata kama kuna kitu anatafuta kwa mara hizo zote angekuwa ameshakipata, mimi binafsi nachukia na nilishawai kumwambia karibuni tu kama mara ya 13 hivi kuwa kwanini unapenda kufungua handbag yangu, unatafuta nin nikamuuliza vipi mimi nikiwa nakagua mifuko yako ya suruali kila ukirudi utajisikiaje maana wanaume hawabebi handbag, nikamwambia naomba uwe na imani na mimi hili jambo kwakweli linanikwaza, tangia nimemwambia hiyo juzi kaninunia mpaka leo hii eid imepita kimyakimya tu, jamani nisaidieni nifanye nini ili huyu mtu awe na imani namm au anatafuta sababu?
Wewe ndio mkorofu sio mumeo. Una wasiwasi na nini hata akipekuwa? Hivyo huoni fahari kuwa mumeo anakujali na kukuonea wivu,au tuseme unaogopa kuwa ipo siku utateleza na kusahau mambo. Kwanini ukasirike kwa jambo ambalo linampa nafuu mwenzako huku ukijuwa kuwa wewe binafsi ni msafi? Naam mara 15 amepekuwa handbag yako na mara ngapi kati ya hizo mmekasirikiana? Isipokuwa pale ulipoonesha kumind na hivyo kumfanya ahisi kuwa unamzuwia ukiogopa kuwa ipo siku atafuma kitu.
Halafu hivyo wewe binafsi huchukui hatuwa yoyote ya kuhakikisha kuwa mahusiano yenu hayaingiliwi? Basi labda humpendi mumeo!
 
Hapo ndio anapokosea, anatakiwa awe huru tu kila wakati kuangalia hata akiwepo mwenyewe Naima.

Hivi ni nini unadhania unaweza ukakiona kwenye pochi ya mke kama humuamini, pesa za ziada isiyo na maelezo? Kaganda ka iliyotumika? risiti ya guest au nini? Ni kujitafutia mapresha yasio sababu tu
Labda kufuli mbichi ambayo haijafuliwa nyumbani n.k
 
Habari zenu wapendwa, Jamani naomba mnisaidie nina tatizo dogo tu ambalo kadri siku zinavoenda naona linanikwaza, mume wangu kila nikirudi home kutoka job au popote tu lazima atavizia handbag yangu ataipekua, nimeshamkutia karibia mara 15 sikumuuliza wala sikuchukia, juzi nimemkutia tena na hafanyi hivo mbele yangu anapekua kwa usiri hivo ata kumkutia inakuwa ni bahati tu, hiyo ya juzi nilikuwa nimetoka chuo nikaenda kuweka handbag room, nimerudi sitting room nimekaa kama dakika 5 tu akaja nayeye alikuwa chumbani, akachungulia pale sitting room kaniona niko busy na mtoto akarudi tena chumbani, namie hapohapo nikaingia chumbani nikamkuta tena busy anachambua handbag yangu, jamani ata kama kuna kitu anatafuta kwa mara hizo zote angekuwa ameshakipata, mimi binafsi nachukia na nilishawai kumwambia karibuni tu kama mara ya 13 hivi kuwa kwanini unapenda kufungua handbag yangu, unatafuta nin nikamuuliza vipi mimi nikiwa nakagua mifuko yako ya suruali kila ukirudi utajisikiaje maana wanaume hawabebi handbag, nikamwambia naomba uwe na imani na mimi hili jambo kwakweli linanikwaza, tangia nimemwambia hiyo juzi kaninunia mpaka leo hii eid imepita kimyakimya tu, jamani nisaidieni nifanye nini ili huyu mtu awe na imani namm au anatafuta sababu?
Kwanza: Hiyo tabia ameanza lini?
Pili: kama hakuwa na hiyo tabia awali mlipokutana, umefanya nini mpaka aanze huo upekuzi? Kwa sababu mara nyingi mtu haanzagi upekuzi wa aina hiyo hivihivi tu lazima kuwe na sababu either ya ukweli au ya uongo.
 
huyo mwanaume hajiamini, dawa yake akirudi tu na wewe mkague na mnuse mminye dhakari yake nk....siku mbili tu atanyooka

Mi najiamini bana kama yy hajiamini shauri yake
jamaa mwenyewe bandidu unadhan atanisubiri hadi nimminye hiyo dhakari?
 
Vitu vingine ni soo simple kama wewe ni msafi mua2he ahangaike na hilo poch tena ukimfuma mcheke na sio kumfokea utafikili na wewe una Agenda ya siri.
 
Back
Top Bottom