Madaraka Amani
Member
- Mar 9, 2011
- 89
- 17
Inna Lilahi Wa Inna Ilayhi Rajiuna
I dont think so. nilimuona akihojiwa na TBC1 kwenye kipindi maalum miezi kama 5 iliyopita , alikuwa ameparalyse upande mmoja. Its not fair to presume the cause unless stated by the authorities. Ngoma haiui bana kinachoua ni magonjwa nyemelezi. R.I.P H.MCHUKA, you will be remembered!Dah! Kitambo sana tangu aanze kuumwa hata kabla tbc haijazinduliwa wala dalili ya kuwepo. Ni ngoma imemuondoa hiyo kiarusi wanazuga tu kuna siku ila kitambo sana niliwahi kukutana nae pale dar group hospital. Sisi ni wa Mwenyezi mungu na kwake ndipo marejeo ya viumbe wote.
Chanz klikuw ni nn?
Nachid, pokea update hiiNi mtangazaji wa TBC Taifa amefariki alfajiri ya kuamkia leo saa 9 kwa presha. Source: TBC Taifa
Nachid, pokea update hii
Update 1.
Msiba wa Halima Mchuka, upo nyumbani kwa dada yake mkubwa Mwajuma Mchuka, Mbezi Beach nyuma ya maghorofa ya BOT.
Mazishi ni kesho saa 5 asubuhi katika makaburi ya Msasani. Mwili utaswaliwa katika msikiti wa Msasani kabla ya swala ya Ijumaa.
Chanzo cha kifo ni shinikizo la damu. Jana mchana alitangaza kipindi cha salaam za mchana TBC-Taifa na inasemekana alitangaza vizuri ajabu!. Kitu cha ajabu jana aliwatumia sms wanae wawili waliopo nchini, na kuwaambia wamsikilize akitangaza akawaambia na muda. Masikini kumbe ndio kama kuwaaga kiaina kwa kuwaambia waisikilize sauti yake kwa mara ya mwisho!. Mara baada ya kipindi ndipo pressure ikampanda, akakimbizwa pale Dar Group na baadae Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mauti yalipomkuta
PJ, hao ni Watangazaji, Betty Mkwassa na Sarah Dumba ambao ni waheshimiwa ma DC, wao pamoja na Halima Kihemba, ni watangazaji waliopandishwa hadhi kuwa wakuu wa wilaya. Asante kwa picha!
Ni mtangazaji wa TBC Taifa amefariki alfajiri ya kuamkia leo saa 9 kwa presha. Source: TBC Taifa
kk unaonekana unatembea na maabara ya kupima kwa macho kuwa mtu fulani ana ngoma,kuna vitu si vya kushabikia ktk maisha cos ule ugonjwa ni wa kila mtu,be human ilikuwa inatosha tu kumtakia maisha mema anayoenda kuanza mbele ya haki ni sio polojo,mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi sote ni viumbe na kwake tutalejeDah! Kitambo sana tangu aanze kuumwa hata kabla tbc haijazinduliwa wala dalili ya kuwepo. Ni ngoma imemuondoa hiyo kiarusi wanazuga tu kuna siku ila kitambo sana niliwahi kukutana nae pale dar group hospital. Sisi ni wa Mwenyezi mungu na kwake ndipo marejeo ya viumbe wote.
Nachid,Ni mtangazaji wa TBC Taifa amefariki alfajiri ya kuamkia leo saa 9 kwa presha. Source: TBC Taifa
Inna Lillah Waina Illahi Rajoon
"Ewe Mwenyezi Mungu msamehe Halima Mchuka na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye, ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake"
"Sisi ni wa Mwenyezi Mungu nasi Kwake tutarejea, Ee Mwenyezi Mungu Walipe wafiwa kwa msiba huu na uwape badili yake bora kuliko huo"