Halima Mchuka hatunae duniani

R.I.P. Halima Mchuka. Hivi kwa nini watu wanapenda kuuliza sijui alikuwa anaumwa nini, mara mwingine mpaka aseme alikuwa anaumwa hiki au kile. Why can't you just say pole and move on?????!!!!!! Who are we to demand any explanation and judge?!!!!
 
Ifike wakati tubadirike wa jamani. Watu watajuaje ukimwi unatesa kisha unauwa kama wale wenye kufa na hayo maradhi tunaambiwa walikuwa wanaumwa kiharusi? kwani ngoma si kama magonjwa mengine tu kama malaria, kansa,gono kaswende na mengineyo?

Ni jukumu la kila mmoja wetu kujilinda,ujue au usijue una jukumu la kupima na kujikinga kila mara unapofanya ngono full stop... sasa ukishajua ugonjwa wa mtu inakusaidia nini? By the way, bado tunahitaji sana hii elimu ya HIV and AIDS, lakini sidhani kama njia sahihi ni ya kuanika magonjwa ya watu hapa JF. Na kama tumeshasema ni ugonjwa wa kawaida, kwa nini kila wakati kuanza kufuatilia mtu amekufa kwa sababu ipi....sioni kama inaleta tija yoyote!
 
Dah! Kitambo sana tangu aanze kuumwa hata kabla tbc haijazinduliwa wala dalili ya kuwepo. Ni ngoma imemuondoa hiyo kiarusi wanazuga tu kuna siku ila kitambo sana niliwahi kukutana nae pale dar group hospital. Sisi ni wa Mwenyezi mungu na kwake ndipo marejeo ya viumbe wote.
Mkuu una hakika na unachokisema au imetoka redio kifua?
MUNGU AMLAZE PAHALI PEMA - AMIN
 
Photo+003.jpg



Nahisi atakuwa huyu wa katikati aliyeshika simu nimejaribu kuoanisha sauti yake tamu na umbo lake.R I P Halima Mchuka.

Mimi nimemtambua Sarah Dumba, huyo mwenye kilemba kama mama mmoja hivi balozi-balozi hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom