Naombeni msaada mdogo tu

Paphilius

Member
Aug 27, 2023
61
57
Wana jf habari ya saa hizi. Usiku wa kuamkia alhamisi kama saa nane hivi nilikuwa nasikiliza redio tbc taifa. Kulikuwa na kipindi ambacho binafsi nilikipenda. Kilikuwa kinazungumzia maisha ya mwanamziki okara wa island aliyefariki mwaka huu. Mimi sijui kipindi hicho kinaitwaje na sijui mda wa kuanza. Naomba kama Kuna mtu anafahamu anijuze tafadhali nikipata ratiba nzima ya tbc taifa itakuwa vizuri zaidi. Natanguliza shukrani!!
 
Hii redio sijawahi skiza labda matangazo ya mpira ambayo wamehodhi wao kwa kununua Haki za matangazo,hawana ubunifu,vipindi Bora liende,yaani ni redio mbovu ya Taifa in the world!. Yaani ilibadilika kidogo alipo ingia Tido,sorry mkuu hicho kipindi kizuri nadhani uliskia redio nyingine.
 
Kinaitwa mwanamuziki wetu huanza kila alhamisi saanane mchana
 
Hii redio sijawahi skiza labda matangazo ya mpira ambayo wamehodhi wao kwa kununua Haki za matangazo,hawana ubunifu,vipindi Bora liende,yaani ni redio mbovu ya Taifa in the world!. Yaani ilibadilika kidogo alipo ingia Tido,sorry mkuu hicho kipindi kizuri nadhani uliskia redio nyingine.
Hapana bana ni hiyohiyo
 
Wana jf habari ya saa hizi. Usiku wa kuamkia alhamisi kama saa nane hivi nilikuwa nasikiliza redio tbc taifa. Kulikuwa na kipindi ambacho binafsi nilikipenda. Kilikuwa kinazungumzia maisha ya mwanamziki okara wa island aliyefariki mwaka huu. Mimi sijui kipindi hicho kinaitwaje na sijui mda wa kuanza. Naomba kama Kuna mtu anafahamu anijuze tafadhali nikipata ratiba nzima ya tbc taifa itakuwa vizuri zaidi. Natanguliza shukrani!!

Hata bahati mbaya siwezi sikiliza TBC, bora huo mda nikaoshe choo hata kama ni kisafi nitarudia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom