Halima Mchuka hatunae duniani

Dah! Kitambo sana tangu aanze kuumwa hata kabla tbc haijazinduliwa wala dalili ya kuwepo. Ni ngoma imemuondoa hiyo kiarusi wanazuga tu kuna siku ila kitambo sana niliwahi kukutana nae pale dar group hospital. Sisi ni wa Mwenyezi mungu na kwake ndipo marejeo ya viumbe wote.
I dont think so. nilimuona akihojiwa na TBC1 kwenye kipindi maalum miezi kama 5 iliyopita , alikuwa ameparalyse upande mmoja. Its not fair to presume the cause unless stated by the authorities. Ngoma haiui bana kinachoua ni magonjwa nyemelezi. R.I.P H.MCHUKA, you will be remembered!
 
Inna Lillah Waina Illahi Rajoon

“Ewe Mwenyezi Mungu msamehe Halima Mchuka na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye, ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake”

“Sisi ni wa
Mwenyezi Mungu nasi Kwake tutarejea, Ee Mwenyezi Mungu Walipe wafiwa kwa msiba huu na uwape badili yake bora kuliko huo”
 
Chanz klikuw ni nn?

Aliwahi kupata kiharusi na kulala kwa muda mrefu sana, kwa neema ya Mungu aliweza kuinuka tena na kurejea kazini (hasa kuongoza vipindi vya salamu kwa njia ya simu).
Ghafla tena, hatunaye.
Poleni sana wafiwa.
 
Ni mtangazaji wa TBC Taifa amefariki alfajiri ya kuamkia leo saa 9 kwa presha. Source: TBC Taifa
Nachid, pokea update hii
Update 1.

Msiba wa Halima Mchuka, upo nyumbani kwa dada yake mkubwa Mwajuma Mchuka, Mbezi Beach nyuma ya maghorofa ya BOT.

Mazishi ni kesho saa 5 asubuhi katika makaburi ya Msasani. Mwili utaswaliwa katika msikiti wa Msasani kabla ya swala ya Ijumaa.

Chanzo cha kifo ni shinikizo la damu. Jana mchana alitangaza kipindi cha salaam za mchana TBC-Taifa na inasemekana alitangaza vizuri ajabu!. Kitu cha ajabu jana aliwatumia sms wanae wawili waliopo nchini, na kuwaambia wamsikilize akitangaza akawaambia na muda. Masikini kumbe ndio kama kuwaaga kiaina kwa kuwaambia waisikilize sauti yake kwa mara ya mwisho!. Mara baada ya kipindi ndipo pressure ikampanda, akakimbizwa pale Dar Group na baadae Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mauti yalipomkuta
 
Maskiniiii! Inaonekana alijua mwisho wake umefika. RIP da Halima!
 
Dah! Kitambo sana tangu aanze kuumwa hata kabla tbc haijazinduliwa wala dalili ya kuwepo. Ni ngoma imemuondoa hiyo kiarusi wanazuga tu kuna siku ila kitambo sana niliwahi kukutana nae pale dar group hospital. Sisi ni wa Mwenyezi mungu na kwake ndipo marejeo ya viumbe wote.
kk unaonekana unatembea na maabara ya kupima kwa macho kuwa mtu fulani ana ngoma,kuna vitu si vya kushabikia ktk maisha cos ule ugonjwa ni wa kila mtu,be human ilikuwa inatosha tu kumtakia maisha mema anayoenda kuanza mbele ya haki ni sio polojo,mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi sote ni viumbe na kwake tutaleje
 
Ni mtangazaji wa TBC Taifa amefariki alfajiri ya kuamkia leo saa 9 kwa presha. Source: TBC Taifa
Nachid,

Update 3.
Leo asubuhi, Mwili wa Halima Mchuka, umeswaliwa katika msikiti wa Muhimbili na kuagwa na umati mkubwa wa waombolezaji ukiongozwa na rais Jakaya Kikwete, mkuu wa mkoa wa DSM, mawaziri, wabunge, likiwemo kundi kubwa la wanahabari.

Msafara kuelekea mazikoni makaburi ya Msasani ukafuatia na hatimaye kuzikwa na umati mkubwa wa watu.

Halima Mchuka pata pumziko la milele...
Amen.
 
Inna Lillah Waina Illahi Rajoon

"Ewe Mwenyezi Mungu msamehe Halima Mchuka na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye, ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake"

"Sisi ni wa
Mwenyezi Mungu nasi Kwake tutarejea, Ee Mwenyezi Mungu Walipe wafiwa kwa msiba huu na uwape badili yake bora kuliko huo"

Amina....
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom