gmosha48
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,399
- 1,478
Hivi Wassira ameamka?? maana last time nilimuona kalala bungeni
Kaamkia TBC 1 Mkuu. Lakini bado usingizi ulikuwa haujaisha vizuri ndo maana akawa anatumia lugha za ajabu ajabu pale.
Hivi Wassira ameamka?? maana last time nilimuona kalala bungeni
Inaonyesha wasirra sio progressive... ya nini kujisifia kufanya kazi hiyohiyo kwa miaka alfu lela u lela?eti wasira anasema yeye anauzoefu na uongozi mbalimbali hata mbali ya Tanzania, anasema
ameanza kuwa mbunge akiwa na umri wa miaka 25 ambayo hakuna mbunge wa sasa,
akawa anatoa mfano wa serikali ya marekani kuwa huwa serikari tawala wanakuwa
na figure yao na wapinzani wanakuwa na figure yao mwisho wanakubaliana kwa figure
moja.
Hii imekuwa kawaida kwa wabunge/mawaziri wa ccm wanapokua na midaalo na Chadema kwani wanashindwa kujibu hoja za chadema na kupandwa na jazba na kuanza kung'akang'aka je hawajui ndio wanajimaliza kisiasa na kuwapa chadema uwanja wajutamba zaidi na hili ndio tunalolitakaAsubuhi hii nimeangalia tbc,kulikuwa na mjadala ulimuhusisha Mh Mbowe na Wassira!
Mbowe akatoa hoja kuwa serikali ya CCM ni dhaifu, ilishindwa kuangalia maswala muhumu wakati wa bajeti, hasa ya Nishati,na ya uchukuzi, ndio maana walitupiwa vitabu vyao.
Wassira akapandwa na jazba, akaanza kutukana kuwa mawaziri vivuli wote ni mbumbumbu na CHADEMA si wapenda amani na mengine mengi! Mbowe naye akachombeza!'Hii ndio serikali yetu na hawa ndio mawaziri tulio nao!
inawezekana alikua anaota anafukuzwa na nyokaKaamkia TBC 1 Mkuu. Lakini bado usingizi ulikuwa haujaisha vizuri ndo maana akawa anatumia lugha za ajabu ajabu pale.
Ni mkurupukaji si unajua wenge la usingizi lilivyo?huyu wasira ana ugonjwa unamsumbua, bora azungumze ovyo asije akasinzia hapo studio maana hachelewi kuuchapa hapo hapo
The Shadow Cabinet (also called the Shadow Front Bench or Shadow Ministry) is a senior group of opposition spokespeople in the Westminster system of government who together under the leadership of the Leader of the Opposition form an alternative cabinet to the government's, whose members shadow or mark each individual member of the government. Members of a shadow cabinet are often but not always appointed to a Cabinet post if and when their party gets into government. It is the Shadow Cabinet's responsibility to pass criticism on the current government and its respective legislation, as well as offering alternative policies.Basi sema wewe ni nini maana ya kivuli. Ninavyojua hata mimi kivuli ni kitu kisichokuwa halisi. Tena huwa hakiwezi kutokea mpaka kuwe na jua. Kwahiyo hapo CCM ndiyo jua halafu inamulika vivuli kama CHADEMA navyo vinatokea.
Escape from Gombe, what do u exepect!!inawezekana alikua anaota anafukuzwa na nyoka
Hii ni kuthibitisha kwamba magamba mmechoka kimwili na kiakili. Unachokiandika hapa hata hakieleweki, umekurupuka bila shaka toka usingizini kama anavyokurupuka wassira. Wasilianeni na magamba mwezako unayekubaliana naye ili mje na tafsiri sahihi.
Kabonga upupu usio na maana kashindwa kujibu hoja na kung'aka pia kuita CHADEMA mambumbu sio tusi?Huyu Wassira mzee wa kusinzia, mbona sijaona sehemu yoyote aliyotukana?
Nimeamka asubuhi late nakutana na Mbowe na Wassira TBC 1 jambo Tanzania. Sijajua hasa yaliyojiri ila nilichoona ni kuaniki kwa Mh Wassira!
Anasema CHADEMA ni chama cha ajabu cha upinzani maana kinakosoa kila kitu, hakijawahi kukubaliana na serikali hata siku moja. Anasema
Mbowe hana baraza la mawaziri (vivuli) coz they are so weak. Kwamba Mbowe hana serikali. Kwamba CHADEMA ni chama cha maandamano tuu
na hawataki amani. Nadhani alikuwa anakana kuwa bajeti ya serikali haijafumuliwa!
MAJIBU YA MBOWE
Mbowe kwa upole amesema anamheshimu Wassira na hivyo hataki kuingia kwenye malumbano naye. Kwamba wao wanapata muda mdogo mno bungeni, na hivyo wanautumia kuishauri serikali zaidi kuliko kuisifia. Wassira alipong'aka na kutaka kama vile kukasirika, Mbowe alisema 'Hawa
nido mawaziri wetu, hii ndio serikali yetu'?
Halafu akauliza kama wassira anasema mbowe hana mawaziri kwani sasa hivi tunaserikali?
Nawasilisha wakuu, aliyeona toka mwanzo atujuze yaliyojiri zaidi. Thank you
kwa sasa nikiifananisha ccm na mfalme juha nadhani nitakua sijakosea kutokana mambo wanavyoyapeleka sasa especialy Jk juha juha kweli ukitaka kuamini angalia utendaji wa baraza lake pamoja na viongozi mbali mbali aliowateua pia na utatuzi wa matatizo yanayojitokeza ktk serikaliBasi sema wewe ni nini maana ya kivuli. Ninavyojua hata mimi kivuli ni kitu kisichokuwa halisi. Tena huwa hakiwezi kutokea mpaka kuwe na jua. Kwahiyo hapo CCM ndiyo jua halafu inamulika vivuli kama CHADEMA navyo vinatokea.