Habari za kutisha gazeti la mtanzania kuhusu chadema

UWAMATA(Umoja wa mafisadi tanganyika)uko kazini lakini ni na hakika wamesha fulia HATUDANGANYIKI CDM Wangekua na madhumuni ya udini na kujenga Misikiti na Makanisa hakika waumini wangefurika au tufanye kwel muone maana mashehe na wachungaji wenye roho ya CDM ni wengi acheni propaganda ushauri wa bure kwenu ondoeni Ujinga umaskini na UFISADI kama kutakuwa na kelele au hamjui?

HABARI NDIO HIYO HATUDANGANYIKI MWANA!
 
I am afraid gazeti la Mtanzania siku hizi limepoteza sana wasomaji - mie sio mshabiki wa Chadema, ila ni mshabiki wa masuala yanayojenga demokrasia ya kweli na masuala yanayohusu maendeleo tena maendeleo ya haki na si unyanyaswaji kwa watu wengi tulio masikini katika nchi yetu hii ya Tanzania. Gazeti la Mtanzania lilikuwa ni gazeti bora enzi za zamani, na hata ilifika wakati msomaji unashindwa kutofautisha kati ya "Tanzania Daima" na "Mtanzania" - its very unfortunate credibility ya gazeti imeshuka kwa sababu ya "ushabiki" kwenye masuala ya siasa usio na tija kwa waTZ - wana JF wenye kupenda maendeleo na wasio na ubaguzi, wenye kupenda haki, mabadiliko ya kweli na amani siku zote ningewashauri wasihangaike hata kulisoma au kulinunua gazeti kama hilo. Mungu ibariki TZ na watu wake wote (bila kuwabagua kwa dini zao wala ukabila wao).
 
Kwa taarifa yako hakuna organized crime cartel hatari kama CCM!!!! Nakushangaa sana!! Wewe unachoona ni mauaji ya Arusha ambayo yamefanwa na polisi na si CDM!!! Hebu tueleze ni silaha ngapi na za aina gani ambazo polisi walizikamata mikononi mwa wandamanaji wakati wa mauwaji ya Arusha??? Hivi unajua ni watoto wangapi wanapata maji safi ya kunywa nchini??? Unajua ni watoto wangapi chini ya miaka mitano wanakufa kila mwaka kwa kukosa maji safi tu ya kunywa? Badala yake mnashikia kideda DOWANS ilipwe fedha nyingi namna hiyo bila sababu yoyote ya msingi!!!! Acha fikra zako za giza!!! Dimwit!!!

Ndugu, nakwambia Chadema ni wababaishaji na ni kikundi cha waangamizaji tu wale. Yale mauaji yamefanywa na Chadema kwa kuwazimisha police. Kwani huoni kuwa mbona kabla au baada ya maandamano hakuna mtu amewahi/aliendelea kuwawa Arusha?! Soma kwa makini maelezo.
 
Kipindi nilikiona kilitayarishwa na Idara ya Habari Maelezo. Mimi ndiyo mara yangu ya kwanza kuona Maelezo wameandaa kipindi wakati never on earth wamewahi kudeploy camera zaidi ya still!.

hivyo sishangazwi na hoyo habari ya Mtanzania pale newsroom yao wanavichwa moto chini ambao kwenye tasnia ya habari niwapiganaji wenye vyeo vya makamanda, kama makamanda wamtumikia fisadi mkuu unategemea nini?!.

Viongozi wa Chadema kama wana akili ya ukweli, wasireact wala wasijibishane kabisa na Mtanzania. Wao waendelee na agenda zao wanaowaelewa. wanawaelewa?
Hapana Mkuu Pasco, hawa wanatakiwa wapewe jibu swaafi kabisa la kistaarabu. Ninahakika Dr. Slaa hatakosa jibu la kuwaleza makosa yao ya kujitahidi kuandikia Wananchi uwongo. Tena bila kuwarudishia tusi. Ndipo CDM itajiweka katika nafasi nzuri ya kufahamu na kuheshimu demokrasia. They, Mtanzania, are allowed to write, but should be challenged to come forward and in public to prove what they've published!
 
Ndugu, nakwambia Chadema ni wababaishaji na ni kikundi cha waangamizaji tu wale. Yale mauaji yamefanywa na Chadema kwa kuwazimisha police. Kwani huoni kuwa mbona kabla au baada ya maandamano hakuna mtu amewahi/aliendelea kuwawa Arusha?! Soma kwa makini maelezo.

Kanyafu, hebu futa kote ulikokosea ukaandika Chadema uandike CCM, utaona jinsi mchango wako utakavyokuwa na mantiki! Utaeleweka. Hebu jaribu -edit uone mwenyewe.
 
Wadau nimekufa ganzi asubuhi hii baada ya kuona gazeti la mtanzania la leo,limeandika habari za matusi makubwa dhidi ya Chadema.Limeandika kwamba Chadema wamevurugana kwa sababu ya udini waliouanzisha,pili wamesema vurugu za Arusha wamewahadaa wananchi kwa sababu ya udini wao na tatu wanasema mauaji ya Arusha yamesababishwa na Chadema.Ni habari mbaya kwa mtu yeyote akisoma.Habari hii kwa jinsi ilivyoandikwa nikihusisha na kipindi maalum kilichorushwa na ITV juzi inaonekana kuna mkakati maalum umesukwa wa kuichafua na kuiangamiza Chadema.Yeyote anayeweza kulipata hilo gazeti alisome aone hayo matusi.....kwa uandishi huu sijui kama tutafika.
Mpiganaji wala hilo lisikupe homa. Kila mtu anajua kuwa Mtanzania ni ya Rostam na anachojitahidi kufanya ni kujaribu kutoa watu kwenye reli ya kutafuta ukweli kuhusu Dowans na kuhoji kulikoni mauaji ya Arusha. swala la udini Arusha halipo, madhehebu yote ya kikristo na kiislam yamelaani mauaji hayo. Pia mjue yakuwa wagombea wote wa CCM na Chadema wote ni wakristo. Hivyo kama udini hakuna hapo, basi tu ni propaganda ya watu wasiojua wanachokiongea na kujaribu kutumia uwezo wao wa magazeti waliyonayo kujaribu kusema uongo. CCM badala ya kutumia Uhuru na Mzalendo imeamua kutumia Mtanzania ambayo kwa kina na mapana kaburi lake ndiyo karibu linafikiwa maana halina wapenzi tena kama zamani.
Ni ukweli usiopingika kuwa polisi waliwaua watu wasio na hatia Arusha na walikuwa waislam na wakristo, watanzania kwa wakenya, watoto kwa watu wazima.
Tunataka tume yenye kuhusisha taasisi za kiraia zenye kuangalia haki za binadamu iundwe ili ifanye uchunguzi na matokeo ya uchunguzi huo uchapishwe bila kuficha chochote hivyo inatakiwa vyombo huru vitumike katika uchunguzi huo. Risasi zilivyoanza kupigwa Arusha Aljazeera walikuwa wa kwanza kutoa hizo taarifa na kuonyesha sakata lenyewe na baaday BBC wakaonyesha pia. Vyombo vya ndani havikufanya kazi yao ya kujulisha umma unyama huo on time hivyo mambo mengi wameonyesha baada ya extensive ommissions.
Polisi waliwaua watu Arusha na si vinginevyo.
Juzi wakati wa kuaga miili ya waliokufa Arusha watu walikusanyika zaidi ya laki na kulikuwa hakuna polisi na kila kitu kilienda kwa amani ijapokuwa wananchi walikuwa na majonzi na hasira za kupigwa lakini hawajachukua sheria yoyote mikononi. Hii ni ishara nyingine tosha kuwa Polisi waliaowaua na kuwapora wananchi.
Ukweli ubakie kuwa ukweli na tusiubake ukweli!
 
Wadau nimekufa ganzi asubuhi hii baada ya kuona gazeti la mtanzania la leo,limeandika habari za matusi makubwa dhidi ya Chadema.Limeandika kwamba Chadema wamevurugana kwa sababu ya udini waliouanzisha,pili wamesema vurugu za Arusha wamewahadaa wananchi kwa sababu ya udini wao na tatu wanasema mauaji ya Arusha yamesababishwa na Chadema.Ni habari mbaya kwa mtu yeyote akisoma.Habari hii kwa jinsi ilivyoandikwa nikihusisha na kipindi maalum kilichorushwa na ITV juzi inaonekana kuna mkakati maalum umesukwa wa kuichafua na kuiangamiza Chadema.Yeyote anayeweza kulipata hilo gazeti alisome aone hayo matusi.....kwa uandishi huu sijui kama tutafika.

Kwani Mtanzania sio gazeti la Rostam Aziz? Unategemea Rostam ataandika kitu gani chema cha chadema? Watanzania wa leo sio mbumbumbu.
 
Wadau nimekufa ganzi asubuhi hii baada ya kuona gazeti la mtanzania la leo,limeandika habari za matusi makubwa dhidi ya Chadema.Limeandika kwamba Chadema wamevurugana kwa sababu ya udini waliouanzisha,pili wamesema vurugu za Arusha wamewahadaa wananchi kwa sababu ya udini wao na tatu wanasema mauaji ya Arusha yamesababishwa na Chadema.Ni habari mbaya kwa mtu yeyote akisoma.Habari hii kwa jinsi ilivyoandikwa nikihusisha na kipindi maalum kilichorushwa na ITV juzi inaonekana kuna mkakati maalum umesukwa wa kuichafua na kuiangamiza Chadema.Yeyote anayeweza kulipata hilo gazeti alisome aone hayo matusi.....kwa uandishi huu sijui kama tutafika.

Bahati mbaya naishi nyumba inayotumia choo cha shimo. Na chooni kwangu kuna toilet pepa ninazotumia regularly: Gazeti la Mtanzania moja wapo. Mengine naweka majina kapuni.
 
Tatizo ni kwamba 61% ya watanzania hawakupiga kura kwa chaguo la maaskofu, dr.slaa sasa maaskofu hawakubali hilo na wanalazimisha wanachotaka ndio sababu ya tatizo la vurugu arusha

So what. Mko wengi lakini ni wagonjwa watupe tusizungumze Chadema tuzungumze mstakabali wa taifa hapo udini hauna nafasi.
 
mi tangu nilivyosikia kuwa fisad rostam aziz amenunua kampun anayosimamia magazet ya mtanzania/rai,nikaapa kuto yasoma
(mtanzania/rai)kwani nilijua kitakachofuata hapo tena sio habari ila habar za kiproganda na bla bla za kujisafisha.dole la kati kwa gazet la mtanzania na mmiliki wake.lol
 
Wadau nimekufa ganzi asubuhi hii baada ya kuona gazeti la mtanzania la leo,limeandika habari za matusi makubwa dhidi ya Chadema.Limeandika kwamba Chadema wamevurugana kwa sababu ya udini waliouanzisha,pili wamesema vurugu za Arusha wamewahadaa wananchi kwa sababu ya udini wao na tatu wanasema mauaji ya Arusha yamesababishwa na Chadema.Ni habari mbaya kwa mtu yeyote akisoma.Habari hii kwa jinsi ilivyoandikwa nikihusisha na kipindi maalum kilichorushwa na ITV juzi inaonekana kuna mkakati maalum umesukwa wa kuichafua na kuiangamiza Chadema.Yeyote anayeweza kulipata hilo gazeti alisome aone hayo matusi.....kwa uandishi huu sijui kama tutafika.
Tatizo una hisia za karibu sana kama 'head'. Tuliza munkari ndugu. Kuna yanayoleta ganzi kama EPA, DOWANS, RADAR, et al? Nasema tena punguza hisia hizo ndugu
 
Ndugu, nakwambia Chadema ni wababaishaji na ni kikundi cha waangamizaji tu wale. Yale mauaji yamefanywa na Chadema kwa kuwazimisha police. Kwani huoni kuwa mbona kabla au baada ya maandamano hakuna mtu amewahi/aliendelea kuwawa Arusha?! Soma kwa makini maelezo.
wewe mpumbavu, unajua mtu wakwanza alipigwa risasi saa ngapi? na ilikuwa maeneo gani?
 
Walipoandamana katika mazishi ya wale marehemu kulitokea mauaji?????????!!!!!!!!

Kukaa kwao kimya sio kwamba walitaka , waliogopa kipigo endapo wangeleta fujo tena, kwani nasikia kipigo amvacho wangekipata kwa kutotii mamlaka za sheria safari kingekuwa kikubwa zaidi
 
Gazeti la Mtanzania, pamoja na Rai, yanamilikiwa na Rostam Aziz.

Yataendelea tu kuandika mabaya kuhusu watu (au vyama) ambao Rostam anahisi ni tishio (la kweli au la kudhaniwa) kwa Kikwete au watu wengine wa Rostam ( mf. Lowassa etc).

Kwa hiyo usishangae kuona watu kama Sitta, Dr Salim, Magufuli, na chama ambacho kinaonekana ni tishio kwa CCM (kwa sasa ni Chadema) vikiandikwa vibaya na magazeti ya Rostam.

Si aibu hata kidogo kuandikwa vibaya na magazeti ya Rostam.
Ni aibu kubwa kusifiwa na magazeti ya Rostam.
 
Mbona mwandishi wa hiyo habari hajadanganya kitu! Kanisa linaitumia chadema? jibu ndiyo, Chadema kuna udini? Jibu ndiyo! Chadema wanachochea vurugu kwa maslahi binafsi na kanisa? NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOO! Msiwe wachungu, mwanahalisi na raia mwema yanaandika hivyo hivyo! Bear with it!
 
au aende facebook kwa mashost

Nako atakimbizwa mbaya, tena FB ndio unapewa za live live coz majina live hata ukitaka phone number unapewa ukipiga upewa madongo ya ukweli unatulia kimyaa. Nenda link ya JK kwenye fb uone wanavyomchana LIVE bila chenga!!!
 
Back
Top Bottom