Habari za kutisha gazeti la mtanzania kuhusu chadema

Mbona mwandishi wa hiyo habari hajadanganya kitu! Kanisa linaitumia chadema? jibu ndiyo, Chadema kuna udini? Jibu ndiyo! Chadema wanachochea vurugu kwa maslahi binafsi na kanisa? NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOO! Msiwe wachungu, mwanahalisi na raia mwema yanaandika hivyo hivyo! Bear with it!

Usilie jamani hakuna aliyekubishia. Futa machozi uoge na ukalale mtoto mzuri, sawa??
 
Rostam Azizi ni mwizi mwehu anaajili wafanyakazi wehu waliozoe utumwa, wasio na UTU na MADILI ya Kitanzania, lakini hebu ndugu zangu tujifunzeni mbeya- ubaruku tunatukanwa na Rostam ati utajiri alionao aliupata wakati babu zake wanafanya biashara ya UTUMWA bado tunamchekelea, Polisi wanamlinda na kumtetea wako Tayari kufa kwa ajili yake: Je kuna tofauti na yule aliyemtukana Rais wtu na sisi kuwa Rais wetu ni mfuga Mbwa? "Alisema kuwa wananchi hao walichukizwa na kauli ya mwekezaji huyo kuwaeleza kwamba yeye hawezi kuzungumza na mbwa bali anazungumza na mfugaji, ambaye ni Rais Kikwete" Gazeti la Majira leo!!!!!! Watanganyika acheni kuhadaiwa acheni Porojo umefika wakati wa kusema HAPANA!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Njoni tujengeni nchi. Hivi vyama historia inatuambia vinapita, hata chama kingekuwa na wanachama wengi nchi nzima.
 
Chadema ina udini gani lkn?.........mbona ccm ndiyo chama pekee ambachokiliamua kuweka hata kwenye ilani yao kuwa kitasaidia dini ya kiislamu?......mbona cuf ni taasisi ya kiislamu lakini hakuna nayeisema au kwa kuwa sasa ni ccm-b?.......hii nchi inachafuliwa na ,afisadi wananunua waandishi ili waandike uongo lkn tunaojua ukweli kuwa kikwete na ccm ndiyo wanawagawa watz kwa udini basi kamwe hatudanganyiki...............
Ccm,kikwete,makamba na mafisadi acheni kuchezea watz
 
Kanyafu Nkanwa said:
Ndugu, nakwambia Chadema ni wababaishaji na ni kikundi cha waangamizaji tu wale. Yale mauaji yamefanywa na Chadema kwa kuwazimisha police. Kwani huoni kuwa mbona kabla au baada ya maandamano hakuna mtu amewahi/aliendelea kuwawa Arusha?! Soma kwa makini maelezo.

Kanyafu, hebu futa kote ulikokosea ukaandika Chadema uandike CCM, utaona jinsi mchango wako utakavyokuwa na mantiki! Utaeleweka. Hebu jaribu -edit uone mwenyewe.

You must be a genius
 
Wadau nimekufa ganzi asubuhi hii baada ya kuona gazeti la mtanzania la leo,limeandika habari za matusi makubwa dhidi ya Chadema.Limeandika kwamba Chadema wamevurugana kwa sababu ya udini waliouanzisha,pili wamesema vurugu za Arusha wamewahadaa wananchi kwa sababu ya udini wao na tatu wanasema mauaji ya Arusha yamesababishwa na Chadema.Ni habari mbaya kwa mtu yeyote akisoma.Habari hii kwa jinsi ilivyoandikwa nikihusisha na kipindi maalum kilichorushwa na ITV juzi inaonekana kuna mkakati maalum umesukwa wa kuichafua na kuiangamiza Chadema.Yeyote anayeweza kulipata hilo gazeti alisome aone hayo matusi.....kwa uandishi huu sijui kama tutafika.

Hivi kuna watu bado wanasoma Mtanzania? Kuna mtu last week alikuwa analipigia debe akisema lime-reform au limeongoka. Mafisadi huwa wanaongoka? Lipotezeeni tu hilo gazeti. Bahati mbaya ni kwmba linabeba taswira ya kila mmoja wetu - "Mtanzania" wakati halina Utanzia wowote.
 
NILISOMA NA LIMEFICHUA MAMBO YALIYOKUWA YAMEJIFICHA......viongozi wa chadema waliwahi kutamka kuwa nchi haitatawalika.......!
 
Enyi Watanzania bara halisi amkeni kimawazo na kimtazamo kabla hamjahukumiwa na nafsi zenu kwa kutoifahamu SIASA ya nchi hii..

Kumbukumbu zangu zinaniambia kwamba miaka kumi iliyopita wakati NCCR-MAGEUZI iko taabani kutokana na ujasusi wa chama tawala na CUF kuonekana tishio hapa Tanzania Bara, TUHUMA za UDINI zilienezwa kwa nguvu zote dhidi ya chama cha CUF na kwa woga wa Watanzania Bara wengi walikisusia chama cha CUF katika uchaguzi wa 2000 na hata sasa. Woga na urahisi wa kudanganywa ndivyo vilivyopelekea 'ushindi wa kishindo' kwa CCM. Je ni wangapi wanakumbuka hilo. Hii si ajenda mpya ila ni strategy ya kizamani dhidi ya akili zenye mtazamo mpya za watanzania. Jamani naomba kuuliza swali.

Hivi wahariri wa gazeti la Mtanzania ni Watanzania au Wahindi?

Kama jibu ni wahindi au wahindi weusi basi lengo lao ni kuibua mgawanyiko wa kidini baina ya watanzania ili tusahau kwamba WAHINDI ndio WANAOHUJUMU uchumi wetu kwa kujifanya wao ni wakereketwa wa vyama vya siasa.

Nitaanzisha hoja ya Ubaguzi wa RANGI iwe mbadala wa hoja ya udini halafu gazeti la Mtanzania lichague ipi ya kuweka kwenye HEADLINE.

Kwanza tuandamane gazeti hili libadilishwe jina, nadhani M********* litafaa zaidi.

Nipeni maoni.
 
Wadau nimekufa ganzi asubuhi hii baada ya kuona gazeti la mtanzania la leo,limeandika habari za matusi makubwa dhidi ya Chadema.Limeandika kwamba Chadema wamevurugana kwa sababu ya udini waliouanzisha,pili wamesema vurugu za Arusha wamewahadaa wananchi kwa sababu ya udini wao na tatu wanasema mauaji ya Arusha yamesababishwa na Chadema.Ni habari mbaya kwa mtu yeyote akisoma.Habari hii kwa jinsi ilivyoandikwa nikihusisha na kipindi maalum kilichorushwa na ITV juzi inaonekana kuna mkakati maalum umesukwa wa kuichafua na kuiangamiza Chadema.Yeyote anayeweza kulipata hilo gazeti alisome aone hayo matusi.....kwa uandishi huu sijui kama tutafika.

Hilo gazeti, watu wengi waliichaacha kulisoma. Wewe umelipataje? Umenunua wewe mwenyewe kwa hela yako?
 
Hivi CHADEMA wamechukua hatua gani kwa yaliyotokea Arusha? itabidi waandae maandamano mengine makubwa zaidi nchi nzima kulaani hawa mafisadi na kushtaki jeshi la polisi na viongozi wake kwa mauaji yaliyotokea ingawaje tunajua hata mahakama ni vyombo vya mafisadi...polepole tutafika!
 
watu wa kawaida kabisa ck hiz hawasomi aina hizo za magazeti.ni ya hovyo. Na ikiwa mtu ni muovu. Susieni biashara zake na kila kinachohusiana nae?
 
Tunamjua mmiliki wa gazeti hilo ni nani hatushangai na kilichoandikwa, hata mwanachama mwenzake ambaye sasa ni Naibu waziri alisema hawezi kuwajudged na gazeti linalomilikiwa na Rostam AZIZI! Ni mkakati wa MAFISADI kununua na kumiliki vyombo vyote vya habari ili wazidi kuiba rasilimali za nchi na kumchafua yeyote atakayejitokeza kupinga wizi huo wa mafisadi
 
Swali la kujiuliza wale walio uwawa waliuwawa kwenye maandamano au baada ya mkutano pale viwanja vya NMC? ikiwa waliuwawa baada ya mkutano then Chadema hawana pa kujitoa ila tuwaulize wamesababisha vifo kwa faida ya nani? ikiwa waliuwawa wakati wa maandamano the Polisi na serikali ndio wa kulaumiwa na wanashatahili kutueleza zaidi amri ya kuua ilitoka kwa nani?

Uwezo wako wakuelewa una shida mkuu. inaoneka wewe na Ridhiwani mko sawa tu. Huwezi kusoma ishara za nyakati wa hushirikishi sehemu zako zote za ubongo.
 
Kwamba IGP aliongea "uhuni" na kuwa ile ni "excuse tu" ni opinion zako tu, na hata ukikasirika na kutoa hoja kwa matusi na vitisho, that doesn't make your argument valid, .. by the way asavali mi kichwani mweupe, wewe mweusi full of evil, una enjoy watu walivyokufa, wewe unaweza kujitoa muhanga ili watu tukusifie kuwa a hero.

Kama wewe ni mweupe kichwani si lazima uchangie hapa,chadema hawakulazimisha kuandamana,walitumia haki yao yakidemokrasia kufanya yale maandamano wakiwa na kibali cha kufanya hiyo demo kutoka kwa rpc wa
arusha na baadaye bila maandishi igp anaongea uhuni kwa xcuse ya inteligensia kusifanyike maandamano.fuatlia kwa makini sana utagundua cdm hawakurupuki wanapoamua kufanya jambo lolote.
 
Nafanya kazi new habari corporation na nasikitika kuwaarifu wana jamii forum kuwa maneno haya ya ndugu huyu ni uzushi mtupu. Hakuna aliyesikitika kwa habari hiyo.

Habari nilizopata kutoka kwa rafiki yangu mwandishi aliyeko huko New Habari ni kwamba waandishi wengi, wahariri na wafanyakazi wa kampuni hiyo leo hii wamesikitishwa na stoiri hiyo ambayo anasema ilishinikizwa kutoka juu kwa mmiliki.

Wanasema kwamba hivi karibuni gazeti la Mtanzania lilianza kukubalika sokoni, lakini hiki kitu cha sasa kinaonyesha litarudi kule kule kwenye mauzo duni na wafanyakazi kukosa mishahara kwa miezi kadha.

Baadhi yao hata wamediriki kusema kqwamba moto wa Chadema hauwezi kuzimwa tu na gazeti moja lililopoteza muelekeo.
 
Wadau nimekufa ganzi asubuhi hii baada ya kuona gazeti la mtanzania la leo,limeandika habari za matusi makubwa dhidi ya Chadema.Limeandika kwamba Chadema wamevurugana kwa sababu ya udini waliouanzisha,pili wamesema vurugu za Arusha wamewahadaa wananchi kwa sababu ya udini wao na tatu wanasema mauaji ya Arusha yamesababishwa na Chadema.Ni habari mbaya kwa mtu yeyote akisoma.Habari hii kwa jinsi ilivyoandikwa nikihusisha na kipindi maalum kilichorushwa na ITV juzi inaonekana kuna mkakati maalum umesukwa wa kuichafua na kuiangamiza Chadema.Yeyote anayeweza kulipata hilo gazeti alisome aone hayo matusi.....kwa uandishi huu sijui kama tutafika.

Sasa ulitarajia gazeti la kifisadi la mtanzania liandike nini!! Nina mashaka na upiganaji wako. Inawezekana ni jina tu.
 
Back
Top Bottom