Hata mwanamke akidengua sana wakati wavulana wengi wanamfukuzia, Pindi ashukapo thamani ndio anakuwa mrahisi.Yani hapa nilipo bado kuna watu wanasikitikia yaliyotokea jana bungeni. Kwamba walikaa kitako wakisubiria kile Pinda alichosema atazungumzia Jumatatu wala wasisikie hizo habari njema. Wanalaani sana.
Yani hapa nilipo bado kuna watu wanasikitikia yaliyotokea jana bungeni. Kwamba walikaa kitako wakisubiria kile Pinda alichosema atazungumzia Jumatatu wala wasisikie hizo habari njema. Wanalaani sana.
Mkuu raia flan imekuchukua siku ngapi kuandaa andiko hili?
Bravo mkuu inafikirisha ya made my day
Salamu hizi zifikisheni kwa mjomba, mpitie ule mlango wa nyuma, unaotazama bahari
Ni ubunifu mzuri sana. Hongera Raia.Asanteni sana wandugu kwa pongezi hizi. Yote haya ni katika kuona ni jinsi gani na sisi tulio pembezoni (marginalized) tuna hamu ya kuona mabadiliko katika mfumo uliopo
Unaweza ukatakiwa kutoa ushahidi juu ya hili. Hata hivyo sidhani kama mapinduzi huwa yanafanywa na viongozi wa juu. Kama kuna mapinduzi yaliyowahi kufanywa na mkuu wa majeshi wa majeshi wa nchi nafikiri yatakuwa ni machache sana. maana hao wakuu wa majeshi siku zote huwa ni wafuasi wa uovu.Well said. Viongozi wa majeshi ndio kikwazo cha mapinduzi nchini. Wanajeshi wa kawaida wanataka sana kuipindua serikali ila viongozi wao ndio stumbling blocks.
Wanalaani sababu waziri mkubwa alibeba "ahueni" sasa ahueni yenyewe kagoma kuiweka kwenye hatma!
Sisi watz tunajichukulia kuwa watu wa "ahueni", watu tunaostahili kidogo, watu wa afadhali, watu tunaoendeshwa na misemo ya "sasa utafanyaje?, ndiyo nchi yetu ilivyo"
Ukitoa wazo kubwa (rejea uzi wa Mwanakijiji wa no half revolution),
ukitoa mawazo makubwa (rejea makala za jenerali juu ya katiba mpya)
Ukitoa mawazo makubwa (rejea andiko la Shivji juu ya ardhi )
hamna anayejali, na ndio maana hata kipindi kile cha mgomo wa madaktari wale wanaharakati walipoitisha maandamano baada ya kuona wiki nzima nchi ipo kimya huku watu wakifa, unakumbuka nini kiliwapata??
Walitukanwa na kuonwa wakorofi na wahatarishi wa amani yetu!
Ndio maana hata leo tunaomshukuru waziri mkubwa kwa kutuepushia ile "ahueni" kwamba ni kweli hii nchi hapa ilipo inataka shari kamili sio tena nusu shari.
Hapa Waziri mkubwa ametupa pa kuanzia!
Nani aanzishe?
Tunaangaliana.... Lol
Pole dada yangu usiwe mnyonge, hili joto ni humu JF tu,Nimejisikia mnyonge!