TEC yatoa mafunzo kwa Mapadre Ili nao wakatoe Elimu ya Uraia na Ushiriki wa masuala ya Siasa kwa watu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Padre Dkt. Kitima amesema TEC imetoa mafunzo kwa Mapadre Ili nao wakatoe Elimu ya Uraia na Ushiriki wa maswala ya Siasa kwa watu.

1708717411754.png

Credit: Lema ukurasani X
 
Watu wamepuuza uchaguzi, Wala wasipoteze muda. Mabadiliko halisi yatapatikana kwa machafuko au mapinduzi ya kijeshi, lakini uchaguzi ni kupotezeana muda.
 
Watu wamepuuza uchaguzi, Wala wasipoteze muda. Mabadiliko halisi yatapatikana kwa machafuko au mapinduzi ya kijeshi, lakini uchaguzi ni kupotezeana muda.
System yetu inabidi kuanza 1 sema sasa kwenye kuianza hio 1 ndo mziki ulipo, ....kwa style ya uchaguzi mambo yatakua vilevile tu
 
Hakuna kitachofanyika,walikua na miaka zaidi ya 35 kufanya watakavyo maana wale wengine walikua wamelala,Leo huwezi Fanya lolote
Mwakilishi wa CCM Monduli Rostam Aziz na Hussein Bashe walikuwa Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francisco
 
Back
Top Bottom