BUSARA6
JF-Expert Member
- Jan 8, 2007
- 357
- 51
Aithee mbona baadhi ya posts zinafutika mysteriuosly hapa....or am I just seeing things?
Mh hii lugha....!
Aithee mbona baadhi ya posts zinafutika mysteriuosly hapa....or am I just seeing things?
ngoja wampe mdhamana mtaona !! atakimbia nchi hata kama watashika passport yake.mke wake na watoto wote wanaishi California Marekani.
hana lakumuweka bongo.passport ziko nje nje hapo bongo
Mkuu FMES,
Hivi Meghji ndio alie ibua soo la EPA ? Hii ni mpya kwangu. Nilidhani ni kina Dr. Slaa. Nilidhani Mgonja na Meghji ndio walikua the usual suspects from day 1, sasa wangewezaje kuji-implicate kwa kujiibulia soo ?
- Na huo mdomo wa farasi mwenyewe uliyeongea nae ni nani, DPP au Mgonja, au Kikwete mwenyewe ?
- Mstaafu wa Idara ndio nani ? Mbona umekuwa na mapungufu ya confidence kwenye ku-spell out the info?
NAMSUBIRI ROSTAM AZIZI Wa IGUNGA.....
- Huyu naye yuko njiani tena soon, maana nasikia deal nyingi za huyu Mgonja zinaenda mlangoni mwa Rostam, ingawa kwa kweli mambo mengine bongo tunajitakia wenyewe, huyu Mgonja amenunua nyumba US in the early 80s, kwa hiyo maisha yake yote mke yuko US yeye yuko bongo, I mean what a political joke?
- Kiongozi wa kuwa mpaka katibu mkuu wa wizara ya jamhuri, familia haipo iko US yeye anaongoza serikali ya bongo?
Kumfikisha Mgonja kwa Pilato huenda kukamwondoa Mgonja uongozini lakini hakutaondoa ufisadi uliojijenga kwenye system. Chimbuko la matatizo yetu ni mfumo mbaya wa uongozi, wa kulindana, wa CCM. Wenyewe wanaitana Wenzetu. Huyu ni mwenzetu huyu!
Kutatua tatizo kisawasawa ni kulingoa tangu mzizi wake. Kama CCM haiendi benchi (upinzani) basi tunajidanganya. Haitoshi kuwashitaki wachache waliochaguliwa kwa shughuli hiyo.
Tunampigia mbuzi gitaa. Kinachotakiwa ni vongozi wapya (sio hawa wenzetu) waingie madarakani ndio wawashtaki hawa. Huku kushtakiana wenyewe kwa wenyewe ni dongo la macho.
Inawezekana kuwaondoa hawa madarakani kwa kura zetu. Mbona Kenya waliweza kuiondoa KANU? Mbona Zambia waliweza kuiondoa UNIP? Hata sisi tunaweza!
corruption is a way of thinking.. Its there in Tanzanian society.. Hakuna chama Tanzania kitakachopewa madaraka alafu kisiyatumie vibaya.. That is the harsh truth.
Inamaana huoni juhudi za polisi au na we ndio wale wale wanaoyasema maovu tu mazuri mnayakali kimya?? kwa kiasi kikubwa sana Nchi imetulia wimbi la ujambazi limetulia na hata wadokozi nao wametulia kwa kiasi kikubwa sana, Ni vyema tukajenga mazoea ya kushukuru pale kwenye maendeleo si kukurupuka na kulaumu tu kila kukicha alafu tunategemea nchi yetu iendelee mwe!
Its very dissappointing kusikia kijana kama wewe unaamini hivyo. Mabadiliko ya kweli yatatoka wapi? Why cant we change that way of thinking? It starts with you. Nothing is impossible under the sun. We just have to change our mental slavery. I do believe we can change! What about you?
corruption is a way of thinking.. Its there in Tanzanian society.. Hakuna chama Tanzania kitakachopewa madaraka alafu kisiyatumie vibaya.. That is the harsh truth.