Gray Mgonja: Kufikishwa Mahakamani na matokeo yake

Currently Active Users Viewing This Thread: 264 (67 members and 197 guests)
Ngongo, Adolf, allse, Alpha, an, August, Azimio Jipya, BabaH, Bazobonankira, Bi Shost, bob, Boney E.M., Bonnie1974, bulugu, Chuma, COMRADE44, Damky, Domo Kaya, don, Dotori, Edo, EvanMakundi, Francis the King, Hidayante, Himawari, Hofstede, Interested Observer, Iteitei Lya Kitee, Jibaba Bonge, KatuleJ, Kichuguu, kilongwe, Kimambo, kireka1980, korosho, leseiyo, macinkus, mageuzi halisi, Malunde-malundi, Mbalamwezi, Middle, Mizani, Mkora, moelex23, Mong'oo, mpagazi1, Mr. Zero, mtimti, MTM, mundu, Mutu, MwakyJ, Mzee Mwanakijiji, Mzuzu, Natasha Ismail, NGAUTI, Njimba Nsalilwe, Nono, Nsololi, Ochu, Realist, remyshas, Shapu, Shiduki, tofty, TooGood, Tuandamane

Wakuu leo naona hakuna kulala mpaka kieleweke.
Wenye data za mzee wa vijisenti tafadhali tunaomba up dated data
 
Wakuu leo naona hakuna kulala mpaka kieleweke.
Wenye data za mzee wa vijisenti tafadhali tunaomba up dated data

Lakini si alijua kwamba atapanda kizimbani? Kwanini hakujiandaa? Masharti ya dhamana ni yepi?

Vyumba vya VIP vya kina Mramba na Yona viko wazi vinamsubiri yeye kule! Mimi nahisi hii ya kuwapeleka mahakamani kwa zamu ni kuhahakikisha kwamba wanalala kwenye vile vyumba vya VIP kule Keko bila kubanana!
 
Lakini si alijua kwamba atapanda kizimbani? Kwanini hakujiandaa? Masharti ya dhamana ni yepi?

Vyumba vya VIP vya kina Mramba na Yona viko wazi vinamsubiri yeye kule! Mimi nahisi hii ya kuwapeleka mahakamani kwa zamu ni kuhahakikisha kwamba wanalala kwenye vile vyumba vya VIP kule Keko bila kubanana!

Wajenge V.I.P cell za kumwaga ili wasije wakabanana next time!
Teh teh..... kichaa katoa wazo!.....
 
Mkuu sio maandalizi ya uchaguzi. Ni shinikizo kutoka kwa nchi wahisani na donors. Wameelekeza kutotupa msaada kwenye budget yete ikiwa kodi ya wananchi wao ndio inasaidia budget yetu huku kuna wachache( mafisadi) wanaomisuse pesa za wananchi.
Hivyo wameitaka serikali yetu kuhakikisha inawachukulia hatua kali ama sivyo hawatatupa ruzuku.
 
3096d1229341875-mgonja-ndani-ya-kisutu-akielekea.jpg


Mgonja akielekea mahakani na baada ya kusomewa mashtaka. Check attachments
 
Ameshindwa kutimiza masharti ya dhamana na kapelekwa Keko.

Anavunga huyo, yeye si ndiye signatory wa TanGold pamoja na Chenge na Ruta.., Ile account in more than 7bn TZS. so why asingechota kabla akaziandaa

Anyway nachelea kusema kwamba labda zimewekwa kwa ajili ya uchaguzi 2010, Fixed deposit account......

Nenda Keko ili tuzugike tena ..... Yaani JK kamlaza ndani hata GM, kweli amedhimilia.

Mimi hamnidanganyi kamwe, Chezeni mchezo wenu, muwe serious or not hamnishawishi hadi nione mwisho wa yote haya ndo nitaelewa kweli mnafanya kazi tuliyowatuma. Otherwise 2010 hakuna ajira.......

Na wala msijisifu na kumwagia sifa JK kwani ndiyo kazi tuliyompa afanye....
 
Billion 5.9 ndiyo ilihitajika.

Invisible,

Huyu jamaa kesho atapeleka hati ya viwanja vyake vya mbezi beach na atapewa dhamana, wakati huo huo tunaambia Tz ardhi ni mali ya serikali, hapa ndipo sheria inaponitatiza...wanasheria mnasemaje juu ya hii kitu...

Du 5.9 bills imekaa vibaya.
 
Mzee Mwanakijiji,

What a move is this?hivi maono yako yale ya mwaka jana yameishia wapi?maono yahusuyo uzugaji.Naitamani sana ile makala yako..naomba uiweke hapa tafaradhali.

Hawa viongozi wako hapo gerenzani,hawana pingu!

Hata kina Yona hivyo hivyo.sheria za nhi hii bwana na uzuguji tu..Mie naenda kula pop corn
 
Aithee mbona baadhi ya posts zinafutika mysteriuosly hapa....or am I just seeing things?
 
Mzee Mwanakijiji,

What a move is this?hivi maono yako yale ya mwaka jana yameishia wapi?maono yahusuyo uzugaji.Naitamani sana ile makala yako..naomba uiweke hapa tafaradhali

Mkuu Gembe,

Ni mapema mno kuanza kushangilia sana maana kunaweza kuwa na kamchezo kanachezwa hapa.

Tunachoweza kufanya ni kuwapongeza wahusika ili wapate nguvu zaidi ya kuwafunga kengere mafisadi.

Mimi sitafungua wine yangu mpaka nione mwisho wa hizi cases. Huenda ukawa mwendo kama ule wa case ya Mahalu, mpaka uchaguzi unafika bado case zinaendelea tu kupangiwa tarehe.

Watu kama Mwanakijiji wamesaidia sana kutufikisha hatua hii maana wamepiga kelele mpaka ambao hawakutaka kusikia wamesikia.

Tuendelee kusubiri mwisho wa hii movie.
 
Mkuu Gembe,

Ni mapema mno kuanza kushangilia sana maana kunaweza kuwa na kamchezo kanachezwa hapa.

Tunachoweza kufanya ni kuwapongeza wahusika ili wapate nguvu zaidi ya kuwafunga kengere mafisadi.

Mimi sitafungua wine yangu mpaka nione mwisho wa hizi cases. Huenda ukawa mwendo kama ule wa case ya Mahalu, mpaka uchaguzi unafika bado case zinaendelea tu kupangiwa tarehe.

Watu kama Mwanakijiji wamesaidia sana kutufikisha hatua hii maana wamepiga kelele mpaka ambao hawakutaka kusikia wamesikia.

Tuendelee kusubiri mwisho wa hii movie.

Na ile ishu ya rada ilifikia wapi? It's so damn it's hard to keep up with these shenanigans....
 
Pls confirm this??? Mnaturusha roho namna hii jamani; Nilisikia majaji wako ktk likizo imekuwaje??? pls update this is more sensitive

Naamini hakuna jaji aliyesikiliza kesi za Yona na Mramba, bali kesi zao zilisikilizwa na HAKIMU. Hivyo sioni kama kuna haja ya kuruka roho. Hakimu anaweza kuanza kusikiliza kesi ya Mgonja kama alivyosikiliza kesi za Yona na Mramba.
Hata kama ingesikilizwa na jaji na huku SISIEMU ikiendelea kutuzuga mambo yatakuwa ni yaleyale. Chukua mfano wa Mboma kuchukuwa fomu za kugombea Ubunge Mbeya Vijijini kupitia SISIEMU ndipo utapata jibu. Kama hutakuwa hujapata jibu uliza niko tayari kufafanua.
 
naamini hakuna jaji aliyesikiliza kesi za yona na mramba, bali kesi zao zilisikilizwa na hakimu. Hivyo sioni kama kuna haja ya kuruka roho. Hakimu anaweza kuanza kusikiliza kesi ya mgonja kama alivyosikiliza kesi za yona na mramba.
Hata kama ingesikilizwa na jaji na huku sisiemu ikiendelea kutuzuga mambo yatakuwa ni yaleyale. Chukua mfano wa mboma kuchukuwa fomu za kugombea ubunge mbeya vijijini kupitia sisiemu ndipo utapata jibu. Kama hutakuwa hujapata jibu uliza niko tayari kufafanua.

nauliza tafadhari pambanua.
 
Invisible,

Huyu jamaa kesho atapeleka hati ya viwanja vyake vya mbezi beach na atapewa dhamana, wakati huo huo tunaambia Tz ardhi ni mali ya serikali, hapa ndipo sheria inaponitatiza...wanasheria mnasemaje juu ya hii kitu...

Du 5.9 bills imekaa vibaya.

In Tanzania, Land is the Property of the State. We do not own land but rather rights as to the land. (haki ya matumizi katika ardhi) Na utaratibu uliopo under the Land Act 1999 ni lease for a term of years Abosolute, inaweza kuwa 33, 99 years depending. So its obvious why someone who has rights over a massive plot in Masaki will have rights worth over 1million USD. Nikituchakawaida tuu.. So akiunganisha mbezi, masaki, mikocheni etc.. Atatoka tuu. Afterall the guy was the chief accounting officer Tresury for a long time,no doubt he took care of number1... As all of you would.. dont even front.
 
Plse tunaomba updates za Chenge pia as of todays position. maana wengine tupo nje ya jiji. Wenzetu mlioko bongo jijini tuhabarisheni.

Thanks invisible for the breaking news.

According to mjengwa

Katika muda huu Grey Mgonja anapelekwa Keko baada ya kushindwa dhamana ya shilingi za Kitanzania bilioni 8. Hali ya Mzee wa V. G. Cent bado ni tete.
Hizi ni habari nilizozithibitisha.

Huyu jamaa yupo makini sana so inawezekana ikawa ni kweli mzee wa vijisenti yupo taabani
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaa amekosa dhamana kwa hiyo anaenda keko ama seke dance
 
Sikuzote namjua huyu ni mbuzi, mbona kaanza kung'ata watu tena waliokuwa wakimlisha majani? Au nilikuwa simuoni vizuri? Atakuwa sio mbuzi? Nimeanza kujitilia shaka mwenyewe!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom