figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,493
- 54,897
- Thread starter
- #81
ivooo...eeeh!.basi wajirekebishe.wewe una akili sana.miawengi wanakimbilia kutaka ndoa pasipo hata kufanya maandalizi yao binafsi kwa vile wanachukulia kama fashion lakini hawana uelewa kwamba itawasumbua