Girlz..be smart bana....

Hiyo heading mbona inafanana na ya Invisible ya jana kule kwenye uwanja wa siasa!
 
Mia hivi hiyo nitajiriba yako kutoka kwa XGIRLFRIEND kuna na wengine?
 
Hii thread imenifanya nimkumbuke Kokudo kabisa leo dah unavituko wewe kijana na nyie wanaume mbona mnakuja na gia ya nitakuoa??
 
Kwenye elimu ya juu ndo sanaaa.Watu wanavalshwa mpaka pete za uchumba feki.Mtu anakula mzigo akichoka kimyaaaa wewe unakufa na pete yako ya UCHUMBA.Mfano ninayo hapa kazini kwetu tunapokea vijana wanakuja field lakini wakija wasichana 7 watano wanapete za uchumba baada ya muda unakuta wote hawana ukuuliza unajibiwa jamaa kalala mbele.Kwanini? Kapata chombo kipya bwana.Dada zangu kuwa wajanja kidogo usikimbile nioeeeee.
 
siyo mvulana anakusemesha kidogo tu unakimbilia"nioe".kwani unafikiri kuolewa ndo kila kitu duniani?kwani lazima boyfriend wako akuoe?kwanini usimchukulie kama friend tu?mwenzio siwaelewi.mia
nioe mia
 
Back
Top Bottom