Girlz..be smart bana....

na wewe unajua kutongoza tu upige kisela usepe watoto wa kike wanataka future...unataka umtongoze akubali utembee nae lakini wakati huo huo ajiheshimu tena asikuzoee coz una demu wako (tamaa tupu vijana wa skuizi) so unakua nao kama wanne hivi uchafu mtupu matokeo yake sisi vijana wapole mnatuachia skrepa mshachakachua weeeeeee...
 
si kila unaeokota nae kuni then mzoe nae majivu.......mia
 
@ Hashycool......... mwengine anaenda mbali zaidi unamkuta anakuletea na listi ya majina ya watoto, unaskia "Honey kafasti born ketu tutakaita zawadi". wanawake bana!
 
Hii thread imenifanya nimkumbuke Kokudo kabisa leo dah unavituko wewe kijana na nyie wanaume mbona mnakuja na gia ya nitakuoa??

D.A hapo kwenye blue usipotangaza ndoa in most cases unatoka kapa... hata kama tayari unayo na mhusika anajua na anafahamu fika kuwa huruhusiwi kuoa zaidi ya mmoja kwa mujibu wa imani yako lakini wapi bwana.... ndo maana huwa nasema kuwa akina dada hupenda kudanganywa sometimes!!
 
Usmart gani hapa unaouzungumzia? Nyie mnavowalaghai madada wa watu kila siku kwa kuwapa matumaini na hiyo midomo yenu iliyojaa uongo ndo mnajiona mko smart? Hivi unapomtongoza dada wa watu alaf akigeuka nyuma unamng'ong'a kisogo maana yake nini? Au nayo ni sifa? Sema basi ukweli kama umemtamani na hauna nia ya kumuoa ili ijulikane moja kama atakubali au atakataa sio ucheze na hisia za mwenzako alafu uje kumwambia eti awe smart!!
 
Hiyo imani yako inakuruhusu kutongoza mwanamke/Mdada wakati una mke/mchumba itakuruhusu tu koa mke zaidi ya mmoja.
Acheni upumbavu nyie wanaume, kama una mke kwa nini unaenda kuhangaika? Wengine hata kama wana pete za ndoa wanadiriki kuzivua wakati wakiwa mawindoni..Ridhikeni na wake zenu Bwana...Aggrrrrrr.........!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Usmart gani hapa unaouzungumzia? Nyie mnavowalaghai madada wa watu kila siku kwa kuwapa matumaini na hiyo midomo yenu iliyojaa uongo ndo mnajiona mko smart? Hivi unapomtongoza dada wa watu alaf akigeuka nyuma unamng'ong'a kisogo maana yake nini? Au nayo ni sifa? Sema basi ukweli kama umemtamani na hauna nia ya kumuoa ili ijulikane moja kama atakubali au atakataa sio ucheze na hisia za mwenzako alafu uje kumwambia eti awe smart!!
Dah! hapa greti thinka kipipi kaongea kwa hasira kweli aisee!
 
kuna mtu kalazimisha ndoa nini?
halafu na nyie acheni kudanganya mtawaoa.
 
Back
Top Bottom