Girlz..be smart bana....

D.A hapo kwenye blue usipotangaza ndoa in most cases unatoka kapa... hata kama tayari unayo na mhusika anajua na anafahamu fika kuwa huruhusiwi kuoa zaidi ya mmoja kwa mujibu wa imani yako lakini wapi bwana.... ndo maana huwa nasema kuwa akina dada hupenda kudanganywa sometimes!!

Haya maneno siamini kama yanatoka kwako.............unatongoza wangapi na gia hiyo Mkirua wewe
 
Usmart gani hapa unaouzungumzia? Nyie mnavowalaghai madada wa watu kila siku kwa kuwapa matumaini na hiyo midomo yenu iliyojaa uongo ndo mnajiona mko smart? Hivi unapomtongoza dada wa watu alaf akigeuka nyuma unamng'ong'a kisogo maana yake nini? Au nayo ni sifa? Sema basi ukweli kama umemtamani na hauna nia ya kumuoa ili ijulikane moja kama atakubali au atakataa sio ucheze na hisia za mwenzako alafu uje kumwambia eti awe smart!!
be smart teh teh teeh
 
Na nyie wanaume muwe wawazi. Mwambie mdada wakati unamfata "am not a husband material, infact it never crosses my mind even once, so please dont make assumptions or try anythng funny to bring up something called marriage!" then muulize "can u be my girlfriend now?" ili asiwe na ma expectations makubwa!
 
mimi sijawahi kumtongoza mtu nikamwambia ntamuoa.huwa naanza kwa kumuomba urakifiki mambo mengine yanakuja automatically.cha ajabu mwisho wa siku anaanza kukuambia eti"usiniache mpenzi kwani wewe ndo umenifuta machozi ya kutendwa".mi nashangaa..!!.mia
 
Naona wadada sikuiz dili kuolewa, kuna mmoja alinambia, sasa usiponioa wewe ataniona nani?
 
Naona wadada sikuiz dili kuolewa, kuna mmoja alinambia, sasa usiponioa wewe ataniona nani?
yaani wamepandisha munkari ile mbaya.hadi wanatishia kirogana.duh...!!yaani ni noma.mia
 
mimi sijawahi kumtongoza mtu nikamwambia ntamuoa.huwa naanza kwa kumuomba urakifiki mambo mengine yanakuja automatically.cha ajabu mwisho wa siku anaanza kukuambia eti"usiniache mpenzi kwani wewe ndo umenifuta machozi ya kutendwa;.mi nashangaa..!!.mia

sasa kama ukipollute urafiki kwa kisingizio cha mambo kuja automatically, then ur not smart! Buku
 
kuwa muwazi from dei wani, kuwa mnaanzisha uhusiano wa kimapenzi na kwamba wewe huna mpango wa kuoa kesho wala kesho kutwa...utajipunguzia matatizo
 
Kuolewa issue siku hizi na wasipoangalia watameg*a sana! Na kubwagwa pwaaa!
 
siyo mvulana anakusemesha kidogo tu unakimbilia"nioe".kwani unafikiri kuolewa ndo kila kitu duniani?kwani lazima boyfriend wako akuoe?kwanini usimchukulie kama friend tu?mwenzio siwaelewi.mia
<br />
<br />
you need to be extra smart to understand a lady,
 
kuwa muwazi from dei wani, kuwa mnaanzisha uhusiano wa kimapenzi na kwamba wewe huna mpango wa kuoa kesho wala kesho kutwa...utajipunguzia matatizo
hata ukimwambia hakuelewi.anakuambia eti atakusubili hadi utakapo amua kuoa.au anakuuliza kwa hiyo hutaoa?kama ninatatizo niambie nijirekebishe,mimi nataka wewe unioe.please sweetie...!!,umekubali mme wangu..!!??huku amekulalia kifuani.unakosa jibu sahihi.mia
 
Back
Top Bottom