Gazeti la Mawio lidhibitiwe mapema, Hii habari ya Wakiristo kuhamia CHADEMA 1 July 2013 sio kweli

Status
Not open for further replies.
We vipi? Mliberali nini? Fanya utafiti kwanza kabla ya kutaka mawio lifungiwe.mawio gazeti gazeti poa
 
Christianity in Tanzania

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jump to: navigation, search

Seconnd Catholic church at the Holy Ghost Mission in Bagamoyo.

The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 suggests that 62% of the population of Tanzania is Christian, 35% is Muslim, and 3% are members of other religious groups.[SUP][1

SOURCE Wikipedia

Inaonyesha 62 ni wakristo hii ni pamoja na Zanzibar,nadhani unajua Tanganyika inarejea so nimekisia wakristo watafikia 76%
[/SUP]
Kama ndio hivi na Mapropagandists wa CCM wanahubiri kila siku kwamba CHADEMA ni chama cha Wakristo ikiwa na maana kwamba WAKRISTO wote walioko CCM,CUF,TLP,NCCR MAGEUZI na vyama vingine vyote wanatakiwa waende kwenye chama chao cha CHADEMA,Sioni jinsi gani watakavyojinasua na Anguko kuu lijalo 2015.
 
Maji ya shingo hayo kwa viongozi wa makanisa, ni wao walomnadi JK KUWA CHAGUO LA MUNGU nadhani waliona watampelekesha sasa wamekuta mzee wa Bagamoyo amepitia kwa Shekhe Ramiya yule yuleee aliyemsilimisha Nyerere na akamwamuru afunge ili apate UHURU WA TANGANYIKA. Sasa naona maslahi ya kanisa yameguswa tangu pale walipoambiwa WAANZE KULIPA KODI KWENYE MISAADA YA TAASISI ZOTE ZA DINI. Wakaona dah mteule katusaliti. Twendeni nae huyu huyu chaguo la MUNGU mpaka tuone mwisho wake.
 
Mimi naona sawa wakristo wote waamie Chadema maana kila siku watanzania wanaambiwa kuwa chadema ni chama cha kikristo. Acha waamie kwenye chama chao
 
Nauliza hivi 2015 tunachagua kwa kutumia kadi za vyama?Kama sio huo ni uzushi!Mi ninavyojua kadi inamata sana kwa wale wenye vindoto vya uogozi ktk vyama!Lakini sisi tusiohita uongozi kadi ya mpiga kura ndio muhimu. Namsubilia tu mlibelali yoyote awe wakichana,wakijerumani ,wakimarekani ,kifaransa,kiafrika,wakingereza au mlibelali huru nisikilize sera zake kwa makini na kuzisoma sio mpaka nisomewe na wengine nianze kuotoa mapovu eti nimetukanwa!
 
Mimi naona sawa wakristo wote waamie Chadema maana kila siku watanzania wanaambiwa kuwa chadema ni chama cha kikristo. Acha waamie kwenye chama chao

kweli kabisa, chama kianze rasmi kutoa mapepo kama mzee wa upako
 
Nasikia gazeti la Mawio ni mbadala wa Mwanahalisi.Binafsi sijalisoma kujua ukweli wa mleta mada.Ila nitahadharishe kua tumekua na tabia ya kukurupuka kukubali au kupinga jambo bila ya kua na uyakini wa kile tunacokikubali/tunachokipinga.Watu makini,hutafuta kwanza ukweli wa jambo kabla ya kupinga au kukubali JAMBO LOLOTE.

Kama nilielewa vizuri makala ile viongozi wa kikristo walikuwa wanalalamika kwamba viongozi wa CCM wamekuwa wakidai kuwa CDM ni chama cha wakristo na CCM yenyewe imekaa kimya wakati wakristo wakimilikishwa CDM. Kwa hiyo kama CCM wanasema CDM ni chama cha wakristo je wakristo hao hao wana haja ya kuwa na kadi za CCM?
 
Maji ya shingo hayo kwa viongozi wa makanisa, ni wao walomnadi JK KUWA CHAGUO LA MUNGU nadhani waliona watampelekesha sasa wamekuta mzee wa Bagamoyo amepitia kwa Shekhe Ramiya yule yuleee aliyemsilimisha Nyerere na akamwamuru afunge ili apate UHURU WA TANGANYIKA. Sasa naona maslahi ya kanisa yameguswa tangu pale walipoambiwa WAANZE KULIPA KODI KWENYE MISAADA YA TAASISI ZOTE ZA DINI. Wakaona dah mteule katusaliti. Twendeni nae huyu huyu chaguo la MUNGU mpaka tuone mwisho wake.
Ndugu yangu,Mbona Lipumba nae analalamika amewasaliti Waislamu na amekiuka Makubaliano yao?.Haya Maneno ukiyatamka mbele ya Lipumba hutabaki salama.
 
Shonza alishasema mda mrefu kwamba mwanahalisi ni bwana mdogo wa lile gazeti lilikuwa la udaku wa kisiasa mwanahalisi akaishia kutukanwa tu sasa wenyewe mnajionea.
 
kubenea ambaye ni mwandishi wa habari za kuchafua watu pasipo ukweli ndiye mwandishi wa hili gazeti lakini chadema wakumbuke kuwa huyu kubenea walikuwa wanampongeza kuwa anaandika taarifa za ukweli haya oneni sasa ukweli wake.
 
Mimi naona sawa wakristo wote waamie Chadema maana kila siku watanzania wanaambiwa kuwa chadema ni chama cha kikristo. Acha waamie kwenye chama chao

kichwa chako kimejaa udini mkuu na haya mambo yatawatokea puani kumbukeni migogoro ya udini huwa haishi ikianza.
 
kichwa chako kimejaa udini mkuu na haya mambo yatawatokea puani kumbukeni migogoro ya udini huwa haishi ikianza.

anayeianzisha hiyo migogoro ni nani kama sio ccm, CCM imeleta chuki ya udini sasa hiyo dhambi inakitafuna chenyewe. CCM ikiri kwanza kuwa Chadema sio chama cha kikristo ndipo wapate nguvu ya kulikemea gazeti la mawio
 
kubenea ambaye ni mwandishi wa habari za kuchafua watu pasipo ukweli ndiye mwandishi wa hili gazeti lakini chadema wakumbuke kuwa huyu kubenea walikuwa wanampongeza kuwa anaandika taarifa za ukweli haya oneni sasa ukweli wake.

Soma habari nzima ndio uanze kumshambulia Kubenea, dhambi ya udini itaitafuna CCM mpaka 2015 mapovu yatawatoka sana magamba
 
Jana nilisoma gazeti la mawio na kuona habari inayodai kwamba wakiristo tz kupitia Majukwaa yao wanatarajia kurudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema.

Hoja kubwa ni kwamba Chadema kinaambiwa ni chama cha wakiristo jambo ambalo vuongozi wa kikiristo hawapendi.
Mimi naona hoja ile sio ya ukweli na hakuna Mpango huo.

HEBU tujiulize:
Mbona CUF waliwahi na wanaambiwa kwamba ni chama cha waislam na hatujasikia BAKWATA kuwataka waislam wahame CCM?
Mbona viongozi wetu wa wakiristo wanatwambia tusichanganye dini na siasa. sasa haya yametokea wapi tena?
Mbona hawa hawa maaskofu waliwataka watz wasiichague Cuf Kwa kuwa ni chama cha kidini. mbona leo wamegeuka hivi?
Je, Jk aliposema Uchaguzi 2010 ulikuwa umeingia maswala ya DIni ndio haya?
Je, kama ni kweli hili si kulipeleka taifa katika machafuko ya KIDINI ?

Mimi nasema huu ni uzushi wa gazeti hili kwani viongozi hawa hawa walionukuliwa katika MAWIO ndio waliokuwa wakiunga mkono wakati wa Rais wa awamu ya 3 kuhusu ya Mwembechai. HUU NI UZUSHI WA GAZETI
HILI

Tatizo hapo ni gazeti au wahusika waliotajwa? Au kwa sababu gazeti limethubuti kuandika habari hiyo?
 
Mawio ni gazeti la ukweli.nyinyi ccm na waliberali mkilifungia,tunaanzisha lingine. Kinawauma nini?Kama habari ni ya uzushi maaskofu ndio wenye wajibu wa kukanusha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom