FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,525
10,765
Leo 09.03.2024

Muda wa Saa 12 Jioni.

Coastal Union ya Tanga, Inaikaribisha Simba SC ya Dar es salaam katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara.

Simba huu ni mchezo wake wa 17, ikiwa na Alama 36. Nafasi ya Tatu(03) katika msimamo.

Coastal Union huu ni mchezo wake wa 20, Alama 27, Nafasi ya Nne katika Msimamo.

Tukutane Baadae kwa Updates.

20240309_124430.jpg
#nguvumoja#.
Kikosi cha Simba Kitakachoanza.
20240309_172735.jpg

Kikosi Cha Coast Union.
Screenshot_20240309-175925~2.png
NB: huu mchezo ni muhimu sana Simba kushinda.

Updates...

Dakika 6'
Inapigwa kick kali, Lackred anapangua.
Inakuwa kona.
Wanapiga kona Coast haileti madhara

Dakika ya 10'
Simba wanapata kona, anapiga Chama C.
Gooooooal Freddy anaipatia Simba goli lakuongoza.
Bonge la Goal....
Goooooal....

Dakika 15'
Coastal Wanapata kona hapa.
Inapigwa haileti madhara yoyote.

Dakika 24'
Lukasi Kikoti anaipatia Coastal Union goli la kusawazisha, Kupitia free kick.
1-1

45'
Nyongeza ni 4'

HT
1-1

60'
Coastal wanapata Kona .
Inatoka nje, inakuwa goal kick.

Sub Simba.
Babakar Sarr OUT
Mzamiru Inn
Miquisonne Out
Kibu D Inn.
Freddy Out
Jobe Inn

Dakika 70'
Sub Kwa Simba.
Saidoo Out
Onana Inn.

72'
Goooooooooooal Onana...
Chuma ya pili kwa Simba.
1-2.

90'
Nyongeza ni 8'

FT
Coastal Union 1- 2 Simba.
20240309_201055.jpg


Point 3 muhimu!!
 
Back
Top Bottom