FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

wapi tumekandwa kote tumeshikilia bomba hadi refa kaingilia kati kuwaokoa watoto wa motsepe

nenda page ya caf ista uone watu wanavyo lalamika huko
Alafu sio watanzania tu, hata wasouth na toka mataifa mengine. Ona hawa.
96cc375bdf6d41fdb4c07311b3f5dc18.jpg
 
Wewe park bus kama mbwa koko aliyeficha mkia wake, sisi hiyo sio falsafa yetu.

Mwisho wa yote si mmetoka lakini?
tumetolewa kwa utashi wa refa sio uwezo wa mpinzani

wewe umetolewa kwa uwezo wa mpinzani kakukanda nje ndani

yanga hawezi ruhusu iyo fedheha
 
Mimi ni Yanga,lakini mtani wangu kuwa mpole tu..hata ufurukute vipi,lazima utabaniwa ili mradi Mamelodi vs Al ahly zifike fainali,it is already fixed!
 
Ila aina ya wachezaji inamaana sana. Yaani Al hly ikiwa inashambulia ni balaa. Tofauti na sisi.
 
tumetolewa kwa utashi wa refa sio uwezo wa mpinzani

wewe umetolewa kwa uwezo wa mpinzani kakukanda nje ndani

yanga hawezi ruhusu iyo fedheha
Umetoka acha mbwembwe. Umetoka ni umetoka. In short UMETOKA hata simba ikifungwa haipunguzi lolote.
 
wapi tumekandwa kote tumeshikilia bomba hadi refa kaingilia kati kuwaokoa watoto wa motsepe

nenda page ya caf ista uone watu wanavyo lalamika huko
Mlikuwa na second chance ya kuwafanya mpite lakini mmeshindwa kuitumia

Au ule mpira mliopaisha nao ni hujuma za refa?

Semeni wenyewe
 
Back
Top Bottom