Kama kuna kwenye hizo serial number msaada please
Hivi niki reinstall window then niki install IDM upya si itakuwa poa tu.
Kwani hakuna IDM z bure?
Kwani hakuna IDM z bure?
Hivi niki reinstall window then niki install IDM upya si itakuwa poa tu.
BONA NILISHAWEKA POST KABLA YA HII KITU SEMA VIJANA MMEKOSA MAARIFA KILA CK MNAIBUKA NA POST MPYA WAKATI MNACHOTAFUTA KIMO HUMU HUMU JF KITAMBO ANYWAY CHUKUA HII HAPANitazipataje hizo crack msaada bas mana nimejaribu njia ya jamaa aliyoonyesha hapo juu ila nikashindwa.
BONA NILISHAWEKA POST KABLA YA HII KITU SEMA VIJANA MMEKOSA MAARIFA KILA CK MNAIBUKA NA POST MPYA WAKATI MNACHOTAFUTA KIMO HUMU HUMU JF KITAMBO ANYWAY CHUKUA HII HAPA
*UKISHADOWNLOAD DISABLE ANTI VIRUS AFU UEXTRACT RAR FILE NA KUINSTALL KULINGANA NA MAELEKEZO UTA KAYOPEWA UKISHAMALIZA ENABLE AN-T MCHEZO KWISHA
View attachment 57754View attachment 57755View attachment 57756View attachment 57757